Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

Sioni tatizo hapo maana guest walienda kufanya maombi
 
Naamini mungu,lakini ukishaona nyumba ina hawa watu wanajiita walokole ujue tatizo limeingia ndani ya nyumba na umasikini unanukia,watu hawa kazi yao ni kuimba na kusali na majungu na wengi wao wanakuwa wasengenyaji na wahuni ambao wanatumia dini kama kivuli tu.
 
Habari wapendwa katika bwana,binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku,kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kaz pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.

kumbe khabari ya kuambiwa!
 
fanya uchunguzi zaidi utawabaini ww mwenyewe kwani mapenzi hayana siri
Uchunguzi wa nini tena. ingekuwa mimi ndo wewe meno yote seblen nshabomoa. Hawa wala vyondoo taabu kweli. Piga marufuku kusali kwake
 
Siku ya kumfuma huyo mchugaji msisahau ku deep laini ya tigo
 
Kwanza nikupe pole mkuu. Sijui ingekuwa mm ningefanyaje. Sema ulikosea kumwambia ur " my wife" huku hauna hata evidence walau hata ya picha. Cha kufanya jifanye umekosa. Imba msamaha. (jaribu kuwa sincere) Kama ni kweli wana ako ka tabia, basi vuta subira. Mwizi huwa haibi mara moja na za mwizi siku zote huwa ni arobaini.
 
Okonkwo jr wew hufai kushauriwa, nikikushauri utamwambia mkeo, acha apigwe tu hamna namna
 
Sio mshenga huyo?
Hawa jamaa sio wa kuwaamini hata kidogo. Ukimuamini mchingaji kujivinjari na mwenza wako 'kirohp' imekula kwako.
 
Kijana hapo! Tulia jifanye mjinga, tafuta masele wamle mroda huyo mchungaji! Ndo dawa pekee ya wanaochukua wake za watu! Fanya mpango aolewe tu, unatafuta laki 5! Laki 2 ya masela wafuatilie mtonyo wote! Inayobaki ya masela 6 wakumuoa huyo mchungaji feki
 
Kumbe mchungaji sharo?

Tangu lini nunda akaruhusiwa kuwa karibu na mke wa mtu?

Ila angewa na mke haki ya nani ningekwambia ukalipize kisasi kwa mama mchungaji!!
 
Yani mkeo anajenga mahusiano na mchungaji we unaona sawa tu?mchungaji anakuja kwao kila siku we unaona sawa tu?mkeo anakuaga anaenda kwenye maombi we unaona sawa tu?nafasi yako kama kichwa cha familia iko wapi?nakushauri mwache aendelee kuliwa tu sababu toka mwanzo we unaona sawa tu!
 
Back
Top Bottom