Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

Habari wapendwa katika bwana,

Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

Je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.
Mtakoma na mapenzi yenu ya kizungu na wachungaji matapeli.

Utaruhusu vipi mwanaume asiye harimu wako kuja na kushinda nyumbani kwako bila ya wewe kuwepo? Inakuwaje mke wako anaenda kuzurula mitaani bila ruhusa yako?
Uislam hautaki uhayawani huu. Si mnaiga uzungu!!!

Muache na uoe mwingine
 
Masuala Ya Michepuko Nje Ya Ndoa Au Mahusiano, Yanahitaji Uchunguzi Wa Kina Ulio Makini Kwa Kila NUKTA Unayoisikia, Utakayoiona Au Kuambiwa, Kabla Ya Kukurupuka Tu Kumuuliza Mtuhumiwa Au Kupambana Naye!! Hivyo KUSHINDWA Kwako Kuvumilia Na Kufanya Uchunguzi Ambao Ungekuja Kukupa Ushaidi Usio Na MASHAKA!!! Hapo Tuhuma Zako Zimekosa Mashiko!!
 
Sasa mchungaji naye kasoma hii post, naye anachukua tahadhali kama wewe baada ya wewe kushauriwa. Ikiwezekana naye ana comment pia. Patamu hapo!
 
Kwanza nikupe pole mkuu. Sijui ingekuwa mm ningefanyaje. Sema ulikosea kumwambia ur " my wife" huku hauna hata evidence walau hata ya picha. Cha kufanya jifanye umekosa. Imba msamaha. (jaribu kuwa sincere) Kama ni kweli wana ako ka tabia, basi vuta subira. Mwizi huwa haibi mara moja na za mwizi siku zote huwa ni arobaini.

Duh kwa hiyo asubirie mke wake agongwe mara 39 ili siku ya 40 amkamate?
 
Masuala Ya Michepuko Nje Ya Ndoa Au Mahusiano, Yanahitaji Uchunguzi Wa Kina Ulio Makini Kwa Kila NUKTA Unayoisikia, Utakayoiona Au Kuambiwa, Kabla Ya Kukurupuka Tu Kumuuliza Mtuhumiwa Au Kupambana Naye!! Hivyo KUSHINDWA Kwako Kuvumilia Na Kufanya Uchunguzi Ambao Ungekuja Kukupa Ushaidi Usio Na MASHAKA!!! Hapo Tuhuma Zako Zimekosa Mashiko!!

Thanks, be blessed
 
Ur not serious. Sasa umekuja huku kujidhalilisha. Umeshindwa kuchukua hatua.
 
Kwanza nikupe pole mkuu. Sijui ingekuwa mm ningefanyaje. Sema ulikosea kumwambia ur " my wife" huku hauna hata evidence walau hata ya picha. Cha kufanya jifanye umekosa. Imba msamaha. (jaribu kuwa sincere) Kama ni kweli wana ako ka tabia, basi vuta subira. Mwizi huwa haibi mara moja na za mwizi siku zote huwa ni arobaini.

Mh! Mkuu 40 zote bora aowe kabisa
 
we baba we.Nawe ulishauriwa uokoke ukashupaza shingo.Mungu ameamua kulivunja shingo lako kwa njia hiyo.Mke wako anapenda kudeal na waliookoka.ukiendelea kukomaa na shetani mkeo utamkuta keshapanda daraja la ulokole na atakuwa analiwa na askofu.
 
Kwanza fuatilia ili ujiridhishe pasina shaka kwamba kweli mkeo anachepuka.

Ni vizuri ukamzuia mkeo kuendelea "kuokoka" japo kwa Muda. Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Ulevi huu huwaondolea watu wengi uwezo wa kufikiri kwa mantiki.

true mkuu hasa wanawake sijui akili zao zina nini, yaani wanawaamini wachungaji wao kupita kiasi
 
habari wapendwa katika bwana,

binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.
jisafishe simamana mungu ukiona mkeo kaliwa ujue.kuna sehemu na wewe umeteterereka weka sawamahusiano na mungu..
 
MUNGU ATAMBADIKISHA LAKN INATEGEMEA PIA NA UKARIBUWAKO NILITOKEWA NAHAYA SINAHAMU NILICHUKUA MDA KUPATA JAWABU MBAYA SHETAN ANAWEZA KUKUFANYA UKAONA NYUMBAN AKUFAI KABISA..NOP JICONNECT NA MUNGU OMBA TOBA FATA REHEMA ZAKE ANAKWENDA KUFANYA. USISAHAU SHuKRAN...
 
Thanks mr
 
Back
Top Bottom