Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

Hadithi yako ya kubunibuni hivi wala haina mshiko kamili. Ka uliambiwa wanatoka guest tu, hukuweza hata kumpima mkeo kuona ka kulibaki mtelezo, wala hujatuambia ka una mtoto au umekaa na mkeo muda gani.
Naona una tatizo la siku nyingi kwa nyumba sasa unataka kumpakazia mkeo na mchungaji wake. Hakuna aliyemtukana mtumishi wa Mungu aliye hai, huyo mtu akapona.
Umekosa wa kutukana hata uingie kwa anga za watumishi?? Ati majirani wakamwona mkeo akimtengea maji ya kuoga. Huoni ka ni kweli, mchungaji amesha jipatia jiko? Huoni kuwa weye unalinda mke wa mtu? Kama kishafikia mahali pa kupakua mgodi mchana kilichobaki ni kukupakua tu.
 
Pole Mwanangu! PAPUCHI ni kitu hatari Sana! Kumbuka Malaika waliacha Makao Yao mbinguni na kuja duniani kwaajili ya k.u.m* sembuse huyo mtumishi ndg yangu?? Tafuta mnyonge na wewe UMDIDIMIZE NAO!

Duh! Watu mna mambo.
 
Habari wapendwa katika bwana,

Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

Je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.

Umefuga ugonjwa wewe mwenyewe. Sasa deal with it.
 
Ulichokosea ni kumuuliza huyo mkeo, we ungekausha halafu ukaanza kuchunguza kimyamya...btw jitahidi tu kuomba mungu kwa sasa,kwani itakuwa ngumu sana kuwakamata, usimlilie mungu na hayo matatizo yako ila muite mkeo umueleze jinsi mungu alivyo mkubwa... ataacha mwenyewe huo mchezo wake na pastor uchwara.
 
Habari wapendwa katika bwana,

Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

Je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.

Hao majirani na rfk yako wanafk wanakugombanisha na mkeo. Chunguza mwenyewe
 
Walokole wengi wa sikuhizi ni Wanafiki na Wanatumia mwamvuli wa ulokole/dini kujifanya wao ni watakatifu na watu wengine ni wadhambi tu. Hlf wengi wana roho mbaya na usengenyaji...wanavaa nguo za kondoo ila ni mbwa mwitu.

Wewe nawewe ni umeambiwa,chunguza na ukipata uhakika kuwa ni kweli Mwache huyo mwanamke mzinzi.
 
Thanks a million
 
Habari wapendwa katika bwana,

Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

Je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.
Msugue vzr mkeo,hatokwenda huko!,jitume acha uvivu
 
Kama amemchukua kiroho sawa tuu we jitu zima kama goliath
 
Habari wapendwa katika bwana,

Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

Je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.

MKuu si utani.....haki ya Mungu sijapata kuona watu wanafiki kama walokole. Tena wao, wana ule umalaya wa chini chini na kusengenyana kwao ni kama maji ya kunywa. Usikute huyo demu wako kachukuliwa na mchungaji lakini anachangiwa na wote (washikaji wa mchungaji) kunako 6 * 6.
 
Pole Mkuu, Imeandikwa mshukuru mungu kwa kila jambo. Wewe peleka sadaka ya kuteketeza kanisani kwa huyo mchungaji utaona matokeo yake.
 
Back
Top Bottom