Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

Mungu anajali sana roho ya mtu mmoja anayemheshimu na kumcha.

Kama mchungaji anapotoka lakini ana kanisa, Mungu huwa ananamna zake za kudeal nao. Sisi kama raia tunatakiwa kuzeep up our mouth for him. Na ukigundua mch. hayuko sahihi beba vilago vyako tembea taratibu ukiwa kimya.

Back to you SIR; mkeo ni jukumu lako, huna wa kumlaumu kwa chochote anachokifanya pengine ulimpa uhuru wa kupitiliza ndio maana amefika hapo alipo. Jitahidi kumrudisha katika njia maana kiapo ndicho kinachokufunga na kukubana. Do your best as much as you can so that you can have a clear concious. Siku ya mwisho unachajujibu juu ya mkeo na mkeo anachakujibu juu yako.

Yesu akusaidie kusolve kwa amani na si kwa shari. Dawa ya mito sio moto ila ni maji.
 
We kachukue mahari kwa mchungaji ili unitumie kuolea mke mwingine.
 
Duuh Kumbe wa c hungaji wanakula kondooo wa bwana sasa wewe ulitaaka akale wp na yy binadam kama ww anakula anashiba tumien akili sio kila kitu wanachowaambia wazungu mufate
 
weka ulokole pembeni kwanza udili na huyo pastor lasivyo utakuwa mume -----
 
Pole sana mkuu......una kila sababu ya kufanya maamuzi magumu....baada kujiridhisha.....
 
Kawaida yao kondoo kuliwa..kwavile hayo maombi hata ambiwe usiku wa manane kondoo ataenda tu
 
Kawaida yao kondoo kuliwa..kwavile hayo maombi hata ambiwe usiku wa manane kondoo ataenda tu

Imagine if the case was to you mr what could you do? try to give out the real solutions mr
 
Habari wapendwa katika bwana,

Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

Je ni nifanye nini juu la hili wapendwa

ndo dini gani hyo???

hlf upo serious kweli unauliza ufanye nini??? unastahili kuchapiwa
 
Hahaaa uliambiwa mchungaji anakuja kwako anapewa maji ya kuoga
hukustuka?
umestuka kusikia wako gesti?
subiri mkeo aseme ana mimba
na mchungaji aje kuleta maombi ili mtoto akizaliwa awe 'mchamungu'
ikiwezekana awe 'mchungaji' pia

Una manenoooo

Long time no see you.
 
Ndio ukome, mwanaume gani umeshindwa kulinda na ku control familia yako...
 
Umefanya pupa sana Mkuu,stori kama hizi hukupaswa kumwambia wife,ungenyamazia ukamchunguza taratibu.

Any way kuchapiwa ni siri ya ndani.:redface::redface::redface:
 
Habari wapendwa katika bwana,

Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

Je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.

Bwana Okonkwo,usidanganyike uko chini hakuokoki.Muonye mkeo mambo ya kuleta wachungaji nyumbani yawe na mipaka.Anzisha maombi ya familia muwe mnaomba wenyewe na sio kwa kupitia mchungaji.Simama mkuu kama baba mwenye nyumba
 
hivi unauhakika gani kwamba wametoka ku do. walipotoka guest inaweza kuwa kuna mgeni wameenda kumpatia malazi c unajua mambo ya mjini unakuta karoom kenyewe kiduchu au wamenda kumtembelea kunamshirika wao .kwa suala la watu kutoka guest tusijuge
 
Hii habari uliyoleta bado haina ushahidi wa kweli...usiendekeze mambo ya kusikia...fanya uchunguzi wako mpaka ugundue ndio ulete habari hapa tukupe ushauri au tujazie nyama juu ya maamuzi unayotaka kuchukua.
Nikuulize maswali haya
1- mchungaji ni kijana wa 30's je mkeo ni wa umri gani?
2- kwa mchungaji anayepewa maji ya kuoga nyumbani kwako unadhani anashindwa nini kumla mkeo hapohapo nyumbani kwako mpaka waende gesti?
3- naamini mchungaji hana hata mahali pa kuishi kwa mwenendo huo wa kuoga kwako naamini pia chakula anakula hapohapo kwako...anawezaje kuwa jasiri kiasi cha kukuchapia mkeo ambaye naamini anamuheshimu kama mama yake.
4- umeambiwa walikuwa wpote gesti na jamaa yako aliwaona?...je ulipomuuliza mkeo kuhusu kuonekana guest alijibu nini?...maana sio kila anayeonekana na mwanaume guest ameenda kuduu...inawezekana walienda kufanya booking ya vyumba vya wageni wa kanisa wanakuja kahama kwa maombi na mahubiri....kahama mji wenyewe nadhani hata wewe unaujua...ukichelewa tuuu unalala kwenye gari stendi.
5- je unajua ni dhambi kuwazushia watumishi wa mungu?...je unajua laana unayoipata kwa kumdhalilisha mtumishi wa mungu ni sawa na dhambi inayoitwa "blasphemy" kwa kiingereza?....kuwa makini na hawa watu wa mungu...ukikosea kidogo unakuwa umeingia hatiani na mungu mwenyewe anakulipia fasta.

Angalizo:- shutuma zozote dhidi ya viongozi wa kiroho uzitoe baada ya kupata ushahidi wa kutosha .
 
Jamani wa baba, chonde chonde na ndoa zenu, ukiona mchungaji analeta mazoea ya maombi na visit za mara kwa mara huyo kama hamfuati mkeo, basimwanao kama sio anataka kukupiga mizinga. Mi nimeokoka lakini tumeaeka distance na hao watumishi na wapendwa wakuleta mazoea.huduma ya maombi ni kanisan, na maombi ya kila siku kuombewa nini hasa tatizo? Maana niwajib wa muumini kujenga personal relationship na mungu..ili akue kiroho na kumjua mungu ktk ubinafsi zaidi badala ya kuombewa kila siku...hao matapeli muwe macho kuendekeza upendwa wa aina hiyo!
 
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom