Hajijui kuwa mshamba ni yeye, maana inaelekea hana wazazi wala wajomba(si ajabu mtoto haramu)Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwachelewesha. Watanzania tumezoea kuchangiana wakati wa shida na raha na utamaduni huu tumedumu nao hadi enzi ya mababu zetu.
Pamoja na ukarimu uliopo miongoni mwa watanzania, eti mchungaji huyu hapa chini anapinga kabisa mambo ya kuchangiana kwenye harusi! Anasema harusi sio dharura; kwamba kila mtu aandae sherehe yake kwa gharama zake mwenyewe.
View attachment 3674943
MAONI YANGU
Huyu mchungaji bila shaka ameshiba sadaka anazovuna kutoka kwa wafuasi wake. Ikiwa hataki watu wachangiane kwenye harusi na sherehe mbona yeye anachangiwa sadaka? Ningemuona wa maana zaidi kama angekataa kupokea sadaka kutoka kwa waumini. La sivyo, apuuzwe tu.
Anatafuta kickMchungaji wa kondoo za Bwana
Kwani anachosema ni uwongo mkuu? Kuwa mchungaji sio lazima ukubaliane na kila kitu ktk jamii.Hajijui kuwa mshamba ni yeye, maana inaelekea hana wazazi wala wajomba(si ajabu mtoto haramu)
Mtu akijiita mchungaji kwanza awe na hekima pili awe na akili.
Kuimba ni kupokezana, ndiyo maisha yetu, lazima tuchangianeKwani anasema uwongo mkuu?
Wewe wale watu waliokuchangia utawalipaje michango yao mkuu?Mimi binafsi huwa nachangia misiba, maradhi na dharula zingine za kibinadamu ambazo zinahitaji utatuzi wa haraka!!!
Nilishaachana na kuchangia harusi miaka zaidi ya kumi iliyopita..... zingine za watu wangu wa karibu.....lakini huo ndo umekuwa msimamo wangu.....
Neno la mtu ambaye ni mchungaji wa kweli, halina utata.Kwani anachosema ni uwongo mkuu? Kuwa mchungaji sio lazima ukubaliane na kila kitu ktk jamii.
Huyo mchungaji wa mchongo, akikua ndiyo atajuaHakika. Michango ni deni. Kama wewe ulikubali kuchangiwa halafu unakataa kuchangia wengine, huo ni zaidi ya uhaini. Michango uliyochangiwa utairejeshaje?