binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 9,048
- 22,781
๐๐๐๐ aloooo!Mkuu hiyo ni fursa.Kama una uwezo wa kumkemea jambazi mpaka akakauka basi fungua kampuni za kulinda(Security Companies)ili ulinde kwa kukemea tu.
Za kuambiwa changanya na zako.