Mchungaji na mkewe wanusurika kuuawa

Mtu anakuteka na panga we unamkemea shetan unaakili kweli bro? Utakuja kufa kijinga acha uboya
Ndo maana mchungaji alikufanya kimbola wake akakutuma ukatoe gogo jamaa wa panga angeanza na ww ndo ungejua mchungaji aliwahi kushiriki mbio za magari
Hahaaa! wanaposikia Israel ni taifa Teule wanadhani Mungu alikua anawapa ushindi kizembe zembe.
 
Hii story ni ya uongo, Kama ukitaka kuwasaidia wananchi ungesema ni wapi kisa hicho kimetokea, lini na kuwapa watu tahadhari vinginevyo ni kutafuta Kiki tu
Kisa ni cha kweli kabisa. Mimi nauchukia uongo kama ukoma. Uongo ni dhambi na hukumu yake ni kubwa. Soma:

Ufunuo wa Yohana 21:8​

"Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili."

Unataka nitaje eneo niwatishe watu waache kupita barabara hiyo? Kwani majambazi wanakaa eneo moja kila siku. Ukisafiri chukua tahadhari huku ukimtanguliza Mungu mbele, utakuwa salama.
 
Unayosema wenzako hawawezi kukuelewa hata uelezee siku nzima 1 korinth 2;10
 
Kisa ni cha kweli kabisa. Mimi nauchukia uongo kama ukoma. Uongo ni dhambi na hukumu yake ni kubwa. Soma:

Ufunuo wa Yohana 21:8​

"Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili."

Unataka nitaje eneo niwatishe watu waache kupita barabara hiyo? Kwani majambazi wanakaa eneo moja kila siku. Ukisafiri chukua tahadhari huku ukimtanguliza Mungu mbele, utakuwa salama.
Acha sound kijana
 
Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama.

Siku kadhaa zilizopita, mimi na Mchungaji wangu pamoja na mke wake, tulinusurika kuuawa. Ilikuwa alasiri, mimi na Watumishi hao wa Mungu, tulienda kufanya huduma katika mji mmoja. Barabara inayokwenda katika mji huo ilikuwa ya vumbi na ilikatisha katika pori kubwa lenye miti mirefu.

Baada ya kufika katika mji huo, tulifanya kile kilichotupeleka kisha tukaanza safari ya kurudi. Wakati huo ilikuwa inakaribia saa 12 jioni. Tulivyolifikia lile pori tukaona mbele yetu vijiti vyenye futi kama mbilimbili vimesimikwa chini kwa karibu karibu, mstari mmoja. Mchungaji wangu ndiye aliyekuwa anaendesha gari, akaona sio vema kuvikanyaga vile vijiti akatafuta upenyo pembeni ya vijiti hivyo tukafaulu kupita bila kuvikanyaga. Kwa mawazo yetu tulifikiri labda ni watoto walikuwa wanacheza kwenye barabara hiyo wakaona wasimike vijiti hivyo. Kwa sababu hiyo tuliendelea na safari bila kuhisi chochote kibaya mbele yetu. Siku hiyo hakukuwa na magari wala pikipiki tulizoziona zikipita barabara ile.

Kabla ya kulipita lile pori, tukaona kikwazo kingine kikubwa mbele yetu. Gogo kubwa, refu, lilikuwa limelazwa barabarani kuzuia gari lisipite. Gogo hilo lilikuwa nene sana hivyo kulikuwa hakuna uwezekano wa kulivuka kwa gari. Pembeni ya barabara hiyo hapakuwa na upenyo kama ilivyokuwa pale mwanzoni hivyo ilibidi Mchungaji asimamishe gari. Tulipoangalia kulia kwa barabara, mita kama kumi kutoka kwenye gogo hilo, tukaona mtu ameshika upanga mkononi. Ghafla tulipaza sauti na kuanza kumuomba Mungu atupiganie huku tukimkemea shetani ashindwe kwa Jina la Yesu, sawasawa na Neno la Mungu katika Yakobo 4:7-10. Tulikemea sana, kisha Mchungaji akaniomba nishuke niliondoe lile gogo. Mungu alinipa ujasiri usiokuwa wa kawaida, nikashuka kutoka kwenye gari nikaliendea lile gogo. Nilitumia nguvu nyingi kulivuta na kuliondoa barabarani; kisha nikapanda tena gari, tukaanza kuondoka. Tulivyomtazama yule mtu mwenye upanga, alikuwa bado amesimama palepale alipokuwa. Naamini Mungu alimpiga upofu, kama alivyofanya wakati wa Elisha(2Wafalme 6:18) ndio sababu hakuweza kusogeza unyayo wake kutukaribia. Tuliendelea na safari kwa furaha kubwa huku tukimsifu Mungu aliyetuvusha salama eneo lile.

Kazi za Ibilisi ni kuiba, kuchinja na kutafuta kuharibu maisha yetu(Yohana 10:10), lakini Mungu anapokuwa upande wetu, shetani na majambazi yake yanashindwa na kulegea.
Nimefika mwisho nimejikuta nacheka ahalafu sijajua kilichonichekesha
 
Mbona hutaji ni sehemu gani na mji wenyewe ili tukipita tuwe ngangari!
 
Haya mtumishi 🤣🤣🤣🤣
 
Ila mimi Mungu apishie mbali tu mtu mmoja mwenye panga tunaetazamana nae uso kwea uso haniteki aban asilani.anaweza kuniua tu ila kuniibia nikiwa hai HAPANA.Ile kitu naheshimu kwa heshima ya juu kabisa ni chuma tu
 
Back
Top Bottom