Mchungaji na Mbunge Getrude Rwakatare azikwa na Serikali kanisani kwake (Mlima wa Moto) na watu wasiozidi 10

Hivi kuna msiba wowote kwa wakati huu ambao serikali haihusiki kuzika? Labda kwa kuwa wanazingatia kuzuia msongamano/mkusanyiko…..wakiwaachia ndugu wazike ndugu wana uwezo wa kuzuia watu wasije kumzika mpendwa wao?...… Sidhani kama kuzikwa na serikali kunamaanisha ni corona case.
Unataka kusema misiba yote inayotokea Tz kwa sasa, mazishi yanafanywa na serikali? Si kweli, kuna jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Kanisani ilikuja order tusizidi watu 20 na tuwe tumevaa mask
Mbona ibaada zinaruhusiwa kama kawaidabila kuwa na kizingiti cha idadi ya watu...

Jumapili hii tu kanisani kwake hapohapo watu watajaa ama ule huwa si umati??

Ni corona hii ndugu fungua macho, nawahurumia sana wawakilishi wetu bungeni watapukutika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ng'wanamalundi,
Utetezi wako una hoja za msingi, je UK kama taifa, wamenufaika vipi na kutangaziwa kuwa PM wao amepata ugonjwa wa corona?
Waziri Mkuu wa Uingereza alitangaza mwenyewe kwamba ameugua korona. Siyo serikali yake iliyotangaza hivyo. Hata kabla ya kuwekwa chumba cha mahututi, yeye mwenyewe alitangaza kwamba anajiweka karantini. Ugonjwa ukapamba moto mpaka akaishia kwenda hospitali. Hiyo ni sawa kabisa kujitangaza mwenyewe. Hakuna tatizo pia mgonjwa wa ukimwi akijitangaza kwamba ana tatizo hilo, kama kufanya hivyo kutamsaidia mwingine asiupate ugonjwa huo. Lakini si sawa kwa mwingine yo yote kutangaza kwamba fulani ana ugonjwa fulani. Hata daktari wa marehemu haruhusiwi kufanya hivyo. Mtu anayetaka kufahamu nini kilimsibu mama huyu, awaulize ndugu wa marehemu; ingawa hata wao maadili yangewabana kutaja ugonjwa uliompeleka. Kama serikali ingetangaza hilo, ndugu wa marehemu wana haki ya kwenda mahakamani kutetea siri za mpendwa wao.
 
Unaishaurije family ya Mbowe baada ya Makonda kumtaja mtoto wake bila ruhusa ya familia?
 
Unataka kusema misiba yote inayotokea Tz kwa sasa, mazishi yanafanywa na serikali? Si kweli, kuna jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninamaanisha kwenye jiji hili la Dar na pia ndio maana nikauliza...… But kwa sababu ni mawazo yangu tu inawezekana kuna nilisilolijua Mkuu. Ngoja niendelee kujifunza.
 
Waziri Mkuu wa Uingereza alitangaza mwenyewe kwamba ameugua korona. Siyo serikali yake iliyotangaza hivyo. Hata kabla ya kuwekwa chumba cha mahututi, yeye mwenyewe alitangaza kwamba anajiweka karantini. Ugonjwa ukapamba moto mpaka akaishia kwenda hospitali. Hiyo ni sawa kabisa kujitangaza mwenyewe. Hakuna tatizo pia mgonjwa wa ukimwi akijitangaza kwamba ana tatizo hilo, kama kufanya hivyo kutamsaidia mwingine asiupate ugonjwa huo. Lakini si sawa kwa mwingine yo yote kutangaza kwamba fulani ana ugonjwa fulani. Hata daktari wa marehemu haruhusiwi kufanya hivyo. Mtu anayetaka kufahamu nini kilimsibu mama huyu, awaulize ndugu wa marehemu; ingawa hata wao maadili yangewabana kutaja ugonjwa uliompeleka. Kama serikali ingetangaza hilo, ndugu wa marehemu wana haki ya kwenda mahakamani kutetea siri za mpendwa wao.

Dah Sometimes ninaonaga ni vema wakatangaza tu kwa sababu hebu imagine unasikia mshua, mdingi mkuu tu maisha safi.au ndo mkuu full kupuliziwa sanitizer kila apitapo afu ameukwaa………… mimi wa madongo kuinuka si nitajilinda zaidi kwa sababu sisanitiziwi, wala sina maji tiririka. Haitasaidia watu kuwa makini??

Au tukiambiwa idadi ya vifo si itatusaidia au ndo tutaongeza hofu na kukata tamaa?

Najiuliza tu.…………….
 
Unaishaurije family ya Mbowe baada ya Makonda kumtaja mtoto wake bila ruhusa ya familia?
Kujitangaza kwa Mbowe kwamba alijiweka karantini kwa kuhisi kuugua korona, ni sawa kabisa. Hata kusema kwamba mtoto wake aliugua korona, na kwa kuwa alihusiana naye ndiyo maana alishuku anaweza kuwa ameambukizwa, huko nako si mbaya, kwa kuwa yeye ndiye mzazi.

Lakini kwa Mkuu wa Mkoa kutangazia umma kwamba mtoto wa Mbowe ameugua ugonjwa fulani si sahihi. Alikiuka madaraka aliyonayo na familia husika wanaweza kuchukua hatua yo yote wanayoifikiria, ikiwa pamoja na kumtaka aombe msamaha hadharani kama alivyoutangazia umma hapo awali.
 
#NUKUU "Niko hapa kuwahakikishieni, mimi ni miongoni mwa watu wasiosema uongo. Nilikuwepo pale mochwari pamoja na binti Rose mtoto wa marehemu, tumemuona kwa macho yetu kuwa ndiye. Ieleweke kuwa aliyelala hapa ni Askofu Getrude Rwakatare" - Dkt. Furaha Mramba, Mzee wa Kanisa eastafricatv on Twitter

1587657428718.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom