Mchungaji na Mbunge Getrude Rwakatare azikwa na Serikali kanisani kwake (Mlima wa Moto) na watu wasiozidi 10

Baba yake SimbaChawe alizikwa na watu kama wote pale Idodomya, hakuzikwa na serikali, mama Corona anadaiwa kufa kwa presha anazikwa na watu 10!

Presha ni hatari kuliko "kovid"

Anyway naona jehanam siku hizi wanatumia smartphones, maana mama korona namuona mitandaoni anachat sana, anawajibu watu kwenye comments
 
Mhujumu Uchumi,
May be muda, mahali na wakati vinaweza kuchangia maamuzi hayo. Ugonjwa wa Corona umeenea sana Dar kulinganisha na Dodoma na kwa kipindi anafariki Mzee wetu wa Simbachawene.

Inawezekana ugonjwa huu ulikuwa bado haujawa very much pronounced kule Dodoma..... sijui lakini …. kwamba kwa sasa mkusanyiko wowote Dar hata kama mtu amefariki kwa ajali ni hatari sana kulinganisha na mkusanyiko wa aina hiyo mikoani.
 
Naona kuna kitu hapa , walioshuhudia mwili ni mtoto wake na kiongozi wa kanisa wanasema wameushuhudia mwili lakini hawakuruhusiwa kuukaribia. Hivyo ni ushahidi kuwa kuna tatizo la CONVID19 hapa, ila huyu amepewa special treatment ya kuzikwa na ndugu tofauti na wenzake ni kama Privilage

Vidole havilingani ...dunia hii
Ni Codiv19 mkuu.
 
Ni Codiv19 mkuu.
Ingekuwa busara kwa watumishi wa Mungu kuwa tu wazi ...
Lakini pia kuna taarifa kuwa kabla ya kukubali kumpeleka hospitali walitumia muda mwingi sana kumuombea kwa kumuwekea mikono , hivyo lazima serikali ifanye contacts trace ili watibiwe baada ya kuwa wamepimwa
 
Kabisa contact tracing ifanyike na wale aliowasalisha J2(siku moja kabla ya kufariki) wajifanyie self isolation na kujifukiza kama mkemia alivyoshauri.
 
Ni kweli kulikuwa na mwili kwenye hilo jeneza?
Naona kuna kitu hapa , walioshuhudia mwili ni mtoto wake na kiongozi wa kanisa wanasema wameushuhudia mwili lakini hawakuruhusiwa kuukaribia. Hivyo ni ushahidi kuwa kuna tatizo la CONVID19 hapa, ila huyu amepewa special treatment ya kuzikwa na ndugu tofauti na wenzake ni kama Privilage

Vidole havilingani ...dunia hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila km kweli watu waliruhusiwa kuingia baada ya hayo wanayoita mazishi basi Kuna jambo la Siri sn limetokea.....
Naomba picha za baada ya mazishi
 
Kwanini Nguvu Kubwa sana imetumika katika Kutoa Ufafanuzi kwa Watu kuwa aliyezikwa hapo ni Yeye kweli? Ni mazingira gani yamepelekea hadi ikalazimika kulitolea Maelezo marefu hivi hasa kupitia Kwake Mchungaji Furaha Mramba kama alivyosikika katika Vyombo vingine akilithibitisha hili?

Na kama ni kweli aliyezikwa hapo ni Yeye hasa kutokana na Ufafanuzi ni kwanini Jukumu hili hakupewa Mwanafamilia wake na hasa Mmoja wa Watoto zake hasa Diwani Mutta ambaye muda wote wa huu Msiba ndiyo alikuwa anausimamia na Kuuratibu hasa kwa Kushirikiana na Serikali na badala yake akapewa Mtu baki kabisa.

All in all sitaki Kujua hayo mambo mengine ila nami niseme tu RIP Community Service Icon Mchungaji Mama Gertrude Rwakatare. Umeshaumaliza mwendo wako na tuliobaki tunaiendeleza yetu kwa Kadri nasi alivyotupangia Mola / Maulana.
 
Back
Top Bottom