Mchungaji na Mbunge Getrude Rwakatare azikwa na Serikali kanisani kwake (Mlima wa Moto) na watu wasiozidi 10

Ushauri wangu. Kwa kuwa kaburi liko mazingira ya Kanisa lake. Wanakondoo jumapili watataka waende hapo kwa wingi kumuaga kipenzi chao.

Pawe na mtu wa kulinda utaratibu hapo. Machozi nayo ni maji maji yatokayo mwilini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PICHA: Leo Alhamisi April 23,2020 tayari mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CCM na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto Askofu Gertrude Rwakatare umepumzishwa kwenye eneo la kanisa la Mlima wa Moto huku mazishi yakihudhuriwa na Watu wachache kama taratibu za Kiserikali zilivyoshauri.
#RIPMamaYetu View attachment 1427843wView attachment 1427845View attachment 1427852View attachment 1427875
Hivi Millard Ayo ataacha lini huu uhuni wa kuchukua picha mitandaoni ambazo hajazipiga yeye kisha kuzibandika label yake,


R.I.P mama G.Lwakatare
 
Kumbe umeona eeee. Hizo picha mimi ndo wa kwanza kuzitupia mtandaoni(humu) zimetoka direct kwa original source. Moderators wamezipandisha kwenye uzi mara paap naona zimetiwa nembo ya millard ayo.
Hivi Millard Ayo ataacha lini huu uhuni wa kuchukua picha mitandaoni ambazo hajazipiga yeye kisha kuzibandika label yake,


R.I.P Mama Lwakare
 
Kumbe umeona eeee. Hizo picha mimi ndo wa kwanza kuzitupia mtandaoni(humu) zimetoka direct kwa original source. Moderators wamezipandisha lwebyw uzi mara paap naona zimetiwa nembo ya millard ayo.
Yeah, amekuwa akifanya hivi mara nyingi tu. hii haina tofauti na wizi mwingine wowote
 
Kwani siku hivi wakristo wameasha kumuaga marehemu akiwa kwenye jeneza?

Vipi mchungaji mpenda kama mama Rwekatare asiagwe na ndugu, jamaa marafiki au waumini wake?

Kwanini azikwe kama furushi?
 
Back
Top Bottom