mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 759
Mkuu kweli jeneza kavu lizikwe kanisani? mama kama yule hata angezikwa usiku ukweli hauwezi kufichwa
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Ni kwa sababu amekufa na Corona, msitishwe na ukali wa Magufuli huo ndo ukweli.
Kwa kuwa ni mbunge
Swali la kijinga sana hili...
Kama Watanzania tungekuwa tunadadisi vitu vya maendeleo kiasi hicho, mbona tungekuwa tumefika mbali sana. Unatutaka tukae tukijiuliza kwa nini mama huyu azikwe na serikali! Tukipata jibu, ndiyo iweje?Guys kwel tujiulize kwanin azikwe na serikali kwani hana ndugu huyu mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni siri mtoa mada angepata hizi picha? Au kuna siri nyingine?
Ni heri yake amekufa akiwa kwenye maombi ya kumtafuta Mungu kuliko wengine kufia kwenye viuno vya watu.
Sawa unaweza ukawa umeipata hiyo siri hata kama hukushudia watu wakitongozanaSiri haiko kwenye picha ya mazishi. Kumbuka tendo la siri ndio huwa la kificho, lakini kutongozana huwa wazi peupe.
Sawa unaweza ukawa umeipata hiyo siri hata kama hukushudia watu wakitongozana
Sio kila mtu afanye unvyoamini wewe! Unaweza kuamini kuna kitu kimefichwa kwa ajili yakoSerikali iache FICHA FICHA JAZZ BAND maana kuweka wazi nayo ni njia bora ya kuwasanua watu na kuzidi kuchukua tahadhali.
Hahaha! Really?Watu waliokuwako pale wanafika 100 ...sio 10 kama walivyoshauriwa , hii ni kuweka maisha yao kwenye risk na majirani kwakuwa mikocheni ni makazi ya watu .....na ukizingatia hata ndugu mwili wameonyeshwa kwa mbali tena wawili tu kabla haujawa bagged
Alikuwa mbunge