Mchungaji na Mbunge Getrude Rwakatare azikwa na Serikali kanisani kwake (Mlima wa Moto) na watu wasiozidi 10

Mkuu kweli jeneza kavu lizikwe kanisani? mama kama yule hata angezikwa usiku ukweli hauwezi kufichwa

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧

Niambie Umeona ndani ya jeneza, halafu aisee kuan mazee mmoja anaapa kabisa. Walokole hapana aiseee tunawapata kwa uongo ila hadi hili.. Wahumini wataendelea kwenda kuambukizana na kufa hawawajali.. mimi na watu wa area tupo hatujashangaa uongo wao bali ulokole wao
 
Guys kwel tujiulize kwanin azikwe na serikali kwani hana ndugu huyu mama


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Watanzania tungekuwa tunadadisi vitu vya maendeleo kiasi hicho, mbona tungekuwa tumefika mbali sana. Unatutaka tukae tukijiuliza kwa nini mama huyu azikwe na serikali! Tukipata jibu, ndiyo iweje?

Nahisi unachotaka kusema ni kwamba amekufa kwa korona. Umma wa Tanzania ungefaidikaje kama Serikali ingetangaza kuwa mama huyu amekufa kwa korona, au ukimwi, au malaria, au kipindupindu?

Inatosha kama ndugu wa karibu wameelezwa kilichomsibu. La muhimu ni kwamba masharti ya kujilinda na korona yamezingatiwa: waombolezaji wachache tu ndiyo wamehudhuria na wao walikaa mbalimbali. Sidhani kama wewe ungependa ulimwengu utangaziwe ugonjwa unaokukabili.
 
Serikali iache FICHA FICHA JAZZ BAND maana kuweka wazi nayo ni njia bora ya kuwasanua watu na kuzidi kuchukua tahadhali.
Sio kila mtu afanye unvyoamini wewe! Unaweza kuamini kuna kitu kimefichwa kwa ajili yako
Watu waliokuwako pale wanafika 100 ...sio 10 kama walivyoshauriwa , hii ni kuweka maisha yao kwenye risk na majirani kwakuwa mikocheni ni makazi ya watu .....na ukizingatia hata ndugu mwili wameonyeshwa kwa mbali tena wawili tu kabla haujawa bagged
Hahaha! Really?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom