Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Atubu yote sio hii tu la mzee Kinana, amalize kabisa hatutaki aje siku ingine tena na lingine akumbuke yeye ni Mchungaji.
 
..mbona bwana mkubwa alisema UONGO kuwa vichwa vya treni alivyovikuta bandarini vilikuwa havina mwenyewe?
Wakati ukweli ni kwamba vichwa hivyo vilinunuliwa na serikali ya JK?

Bwana mkubwa mpaka leo hajakiri UONGO wake.
Yeye alikwambia hamjui mmiliki, sasa wewe unajuaje kama siku ile anasema hivyo alikuwa anamjua tofauti na alivyosema? Wewe unakaa kichwani mwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa si watu wa kuaminika kabisa. Hivi maisha hayawezi kwenda bila ya siasa na wanasiasa? Hawa watu wamekuwa wakituvuruga sana.
 
Back
Top Bottom