johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Hakuwai pia kuwa mbaguzi, mwenye roho mbaya , chuki na muuajiNelson Mandela hakuwahi kuwa FISADI
Mchungaji Maksai wa KKKT kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache.
Kwa mfano Nelson Mandela rip wa Afrika ya kusini Mungu aliweka kipawa cha uongozi ndani yake na hapa Tanzania Mungu ameweka kipawa cha uongozi kwa Yohana (John) Magufuli, amesisitiza mchungaji Maksai.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Kumfananisha Mandela na Magufuli ni kufananisha mbingu na Ardhi.Hahahahaha daaaah naishiwa maneno kbs
Huyu Mastai keshaona utakatishaji wake fedha kupitia miradi ya kanisa lake aulinde kwa kumbeba magufuli. Hajui Mungu keshasema Magufuli ni mstaafu kuanzia hapo mwezi November 2020.Mandela hakuwahi kutoa vitisho kama hivi au kuwadhalilisha akina mama na mashangazi wa South Africa kiasi hiki. Acheni kumfananisha Mandela na watu wa ajabu ajabu wasio na hadhi.