Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Hapa naona matusi ya kihuni huni kwa familia ya mtu ambaye mamilioni ya Watanzania wanamheshimu. Staili hii ya uchangiaji usio na staha umechangia sana kuvuruga jukwaa hili kwa muda mrefu. Hivi kweli mnategemea mtu makini au wazee wenye heshima zao kusoma comments kama hizi? Mnadhalilisha heshima ya jukwaa hili na moderators wamekuwa wakiacha mijadala kama hii wakifikiri wanabalance mambo ya upinzani na chama tawala.Very sad.
Kwakweli anguko la dr.slaa ni huyo mama,
We mama yako alipima DNA yako?Nakushauri Dr.W.Slaa kama jamaa yangu jipange ukapime DNA ya dogo junior.
Ni Jambo la ajabu kuwa watu wanatoa comments utadhani ni washamba wa mawasiliano kwa njia ya mtandao.Hivi ni watu wangapi tumekua nao na urafiki mitandaoni bila kujali historical background yao? Kosa la Josephine ni nini?
Unajua vijana wa CCM wakati mwingine mnakua washamba na kujidhalilisha bure tu
Nakushauri Dr.W.Slaa kama jamaa yangu jipange ukapime DNA ya dogo junior.
mama mshumbusi naanza kuwa na wasiwasi naye kuwa ni pandikizi LA kishushushu alilopenyezewa Dr slaa kiutaalam sana kwa ujasusi was hali ya juu bila ye kujua. subirini tutaona mwisho wake
Ati kuja kuonja K? Wewe ushaonjwa?Kumbe Josefina kawaponza wengi, si Khalida Kagenzi pekee.
Babu ndiyo hivyo tena, utawa wa miaka mingi na yale mambo ya Kanisa Katoliki, kuja kuonja K na kung'oka huko akawa anafanya kwa fujo na umri tena, sasa nguvu imepunguwa na Josefina ndiyo anaingia kwenye umamachuriti wa uanamke.
Kuna kazi hapo si mchezo.
Kumbe Josefina kawaponza wengi, si Khalida Kagenzi pekee.
Babu ndiyo hivyo tena, utawa wa miaka mingi na yale mambo ya Kanisa Katoliki, kuja kuonja K na kung'oka huko akawa anafanya kwa fujo na umri tena, sasa nguvu imepunguwa na Josefina ndiyo anaingia kwenye umamachuriti wa uanamke.
Kuna kazi hapo si mchezo.
Wewe Mwehu kama Wehu Wengine.Kumbe Josefina kawaponza wengi, si Khalida Kagenzi pekee.
Babu ndiyo hivyo tena, utawa wa miaka mingi na yale mambo ya Kanisa Katoliki, kuja kuonja K na kung'oka huko akawa anafanya kwa fujo na umri tena, sasa nguvu imepunguwa na Josefina ndiyo anaingia kwenye umamachuriti wa uanamke.
Kuna kazi hapo si mchezo.
Ni Jambo la ajabu kuwa watu wanatoa comments utadhani ni washamba wa mawasiliano kwa njia ya mtandao.Hivi ni watu wangapi tumekua nao na urafiki mitandaoni bila kujali historical background yao? Kosa la Josephine ni nini?
Unajua vijana wa CCM wakati mwingine mnakua washamba na kujidhalilisha bure tu
Mkuu MTAZAMO hii ni unprofession way of running the forum. Josephine ni mama na ni mzazi. Kuna namna ya kumlinda. Sio kuacha connents za kipuuzi zinakaa jukwaani hivi. Tukianza kuandika mambo ya Salma au Jacq wa Zitto kabwe thread itaondolewa hata sekunde haipiti. Moderator na wenzake kuelekea uchaguzi mkuu wameanza mapema kuonyesha rangi zake. Imenisikitisha sana