UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Sasa hapo ndio penye utata kwa maana tunashindwa kuelewa kipi kinapotosha na kipi hakitakiwi watu kujua. Mfano hii video hapaZote za kupotoshwa zifutwe
inapotosha kipi? ila video zengine wamezifuta hivyo hata hii link muda wowote itakuwa haina issue maana wataifuta hiyo video.
Sasa niambie anachopotosha huyo Doctor ni kipi?