Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

shule 6 kuwa za mwisho Dar ni Urithi Toka Kwa Baba.
Ila nilichojifunza katika ulimwengu huu ni kwamba kosa likiangukia kwa mnyonge utadakwa na polisi au kufukuzwa kazi siku hiyo hiyo hata kama ni habari za mtandaoni.Kama ni wakubwa khaaaa...!kimyaaaaaa....! Wale masela waliotoa kichapo kwa mwanafunzi mbeya walichukuliwa hatua mara moja mara baada ya kusambaa video. La huyu bashite sijui ...nani... Mhmmmm... kimyaaaaaaa

ha haha kabisa
 
adai Ana ushahidi Daudi bashite aka ..RC alipiga zero.

movie inaenda patamu

"Alipata zero hakurudia mtihani wa form four na leo ana degree ya Community Economic Development."

Hili litakuwa ajbu lingine Tanzania na litatuongezea watalii.
 
oh pole kumbe na wewe ni mtu wajuzi juzi...mamy....enzi hizo zero walikuwa wanapata vyeti but miaka ya 200_ ndipo vyeti vya waliopata zero vikawa vinazuiwa
Umesema miaka ya 2000 kurudi nyuma walikua wanapewa .
Cv inaonyesha kamaliza miaka ya elfu2 na zaidi je hcho cheti cha ziro yeye Gwajima kakitoa wapi??

Ivi serikali inatoa vyeti vyenye division zero miaka zaidi ya elfu2???

Kama havitolewi Gwajima amekitoa wapi??

Je,Necta inatoa vyeti viwil original ama kwa mtu asie kua halali muhusika wa cheti manake kama alipata zero na vyeti kipind hcho vikawa vinatolewa bas lazma atakua alipewa yeye je Gwajima ni muhusika wa hcho cheti??

Maswali ya Tafakari
 
Uyo mwenye cheti kasema hajampa makonda na angeweza yeye kusoma xhuo kama angempa makonda cheti chake? ina maana chuo wangeenda watu wawil wanaotumia cheti kimoja? kuweni na akili axheni kulishwa maneno, gwajima yeye sio waziri wa elimu wala mwenyekiti wa necta, nitachoamn gwajima ana povu la kutajwa, mungu anajua sana ndomana hakumpa urefu gwajima maana angesumbua sana. Gwajima namfahamu kama mzinifu mwizi wa wake za watu....na muuza unga hasiyetumia unga...namn ushahidi upatikane zaidi atiwe hatiani.....Ninachoamini kuwa gwajima na story zake za kutunga na kujingiza kwenye siasa uku akisahau kazi yake alonayo...Namkumbusha gwajima haache kula pesa za wahumin wake kuwatapeli na kujijengea majumba ya fahari mno.....Who iz gwajima....?? Gwajima ni mzinfu mwizi....mropokwaji,,,,Mfitinishaj wa ndoa za watu
 
Huyu bwana maamuzi yake hayatofautiani na Daud or fake makonda

Kwa kuwa imethibitika makonda alitaga form four kwa kupata zero
Na ilimbidi anunue cheti cha bwana mwingne kuendelea na elimu

Je Rc wa arusha lile ni jina lake?
Au na yeye yupo hapo kwa hisan ya mrisho gambo

Magufuli aliwahi kusema alikuwa analazimika kulala usiku wa manane ili kupitia na kukagua majina ya wateule wake

Ni kwel magufuli yupo smart km anavyoongea au yeye husema tu aonekane yupo hivyo

Mweye kumjua huyu Rc gambo tafadhali isije kuwa arusha inaongozwa na kilaza km hapa dar
 
Xhuo ?
 
X ndio C
 
shule 6 kuwa za mwisho Dar ni Urithi Toka Kwa Baba.
Ila nilichojifunza katika ulimwengu huu ni kwamba kosa likiangukia kwa mnyonge utadakwa na polisi au kufukuzwa kazi siku hiyo hiyo hata kama ni habari za mtandaoni.Kama ni wakubwa khaaaa...!kimyaaaaaa....! Wale masela waliotoa kichapo kwa mwanafunzi mbeya walichukuliwa hatua mara moja mara baada ya kusambaa video. La huyu bashite sijui ...nani... Mhmmmm... kimyaaaaaaa
kanywe juice ya ukwaju usikilizie utamu wa ugwadu na si kuongea mambo ya bashite
 
Huyu bwana maamuzi yake hayatofautiani na Daud or fake makonda

Kwa kuwa imethibitika makonda alitaga form four kwa kupata zero
Na ilimbidi anunue cheti cha bwana mwingne kuendelea na elimu

Je Rc wa arusha lile ni jina lake?
Au na yeye yupo hapo kwa hisan ya mrisho gambo

Magufuli aliwahi kusema alikuwa analazimika kulala usiku wa manane ili kupitia na kukagua majina ya wateule wake

Ni kwel magufuli yupo smart km anavyoongea au yeye husema tu aonekane yupo hivyo

Mweye kumjua huyu Rc gambo tafadhali isije kuwa arusha inaongozwa na kilaza km hapa dar

Duh!Hii itabidi umtag Mange Kimambi
 
Tulia mkuu, huku pande ya coast kuna limti likubwa na niwachache waliotambua kuwa ulikuwa mbuyu usio na mizizi kabisa. Ukishadondoka huu huenda 'wafitini' wakahamia huko 'Geneva' ambapo hukumu ya Mahakama ya Rufaa leo ndio rasha rasha zenyewe. Palipo na haki....!
 
Huyu bwana maamuzi yake hayatofautiani na Daud or fake makonda

Kwa kuwa imethibitika makonda alitaga form four kwa kupata zero
Na ilimbidi anunue cheti cha bwana mwingne kuendelea na elimu

Je Rc wa arusha lile ni jina lake?
Au na yeye yupo hapo kwa hisan ya mrisho gambo

Magufuli aliwahi kusema alikuwa analazimika kulala usiku wa manane ili kupitia na kukagua majina ya wateule wake

Ni kwel magufuli yupo smart km anavyoongea au yeye husema tu aonekane yupo hivyo

Mweye kumjua huyu Rc gambo tafadhali isije kuwa arusha inaongozwa na kilaza km hapa dar
wote hawa wapo kwa kwazi moja kuhangaisha wapinzani

naomba cv ya gambo
 
Back
Top Bottom