Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Sijawah kuona kiongozi wa kiroho asiyejitambua Kama gwajima. Ulimwengu unazid kuchafuka yeye Kama kiongozi wa kiroho badala ya kuhubiri watu waache maovu(dhambi) zao wampokee na kumkiri kirsto katuma maisha yao ili yesu akirudi waokolewe. Yeye amekomaa na mambo ya kipuuzi kabisa
 
Wenzie wanakomaa kusoma ili waweze kufanya kazi wanazozisomea nae amefumba macho anawaza namna ya kuongoza nchi
 
Kama ni kweli Daudi alifoji vyeti hiyo nguvu ya kuwaita wenzie vilaza, mizigo, wapumbavu aliipata wapi?
 
Acha kutetea ujinga.angekuwa anajisomea kama wenzie asingepata zero mkuu
Jifunze kusoma comment na kuzielewa kwanza kabla ya kukurupuka na kuanza kuharisha hovyo tu humu,

Hakuna sehemu niliyotetea na wala sina sababu yeyote inayonifanya nitetee bali nimetoa maoni yangu kwa mtazamo wangu kuhusiana na hiyo picha.
 
nashauri kuwe na IQ test kujiunga na jamii forum naona sasa wale wa facebook na istagram wamevamia. nilikuwa najifunza vitu vingi kupitia hapa lakini kwa sasa....mmmh!!!
Uko sahihi kabisa mkuu, vile vitoto vya Fesibuku na Insta vyote vimekimbilia huku,mtu akiokota kapicha huko anakuja kukafungulia thd JF.
 
Sasa kama kazidiwa usingizi angefanya nini? labda ataamka tena atoboe hadi asubuhi, hahahahahahhaahha
 
Hao walioko kwenye picha hawamo humu? Kama wamo, watoe uthibitisho wa uhalali wa picha hiyo.
 
haijalishi mkuu. kikubwa ni mwisho wake alipata marks ngapi au grade ipi?

kama alipasua, poa. lakini kama alipiga miswaki, hii picha ina relevance kubwa sana!
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Ile JF iliyozoeleka kwa hoja makini na mambo yake makubwa katika kuelimisha na kuchambua mijadala ambapo ilijitanabahi kwa jina la Home of Great Thinkers , imepotea.

JF imeathirika sana na aina uchangiaji katika mitandao mingine ya kijamii, kama FB, Instagram, n.k, ambapo uchangiaji wa huko uko juujuu, kimipasho pamoja na umbea zaidi.
Kwa kuwa mtu mmoja anakuwa mwanachama wa mitandao yote, anashindwa kutofautisha kati ya JF na mitandao mingine katika kuchangia na kutoa hoja.

Jambo lingine ni elimu. Elimu yetu ya sasa sio rafiki sana na mambo mazito na yanayohitaji mtu kufikiri kwa kina kabla hujatoa hoja. Vijana wa siku hizi ni wavivu sana kusoma. Ukiandika topic ndefu kidogo, (kama alizokuwa anaandika mdau Kyoma au MgonjwaUkimwi), utakutana na hizi kauli..."nani asome gazeti lote hilo", au "aliyesoma anieleweshe". Kwa uvivu huu wa kusoma usitegemee upate tena watu makini kwenye hoja makini kwa wingi kama ilivyokuwa mwanzo.
 


Kuwa na na PHD ama degree sio guarantee ya kufanya kazi vizuri. Unaweza kuwa mchapa kazi bora ama mfanya biashara mkubwa bila ya shahada kubwa. Kuna watu wenye shahada na ikifika kwenyeujuzi wa kazi, wanashindwa, na wasio na shahada wanafanya vizori kwaajili ya mazowea na tabia zao za kufanya kazi. Kwenye kesi ya Makonda, kama haya yanayosemwa ni kweli, basi Rais lazima achukuwe hatuwa, sababu amewachukulia hatuwa watu wote wenye vyeti fake, wengine walikuwa kwenye kazi zao kwa mda mrefu na pengine walikuwa na uzowefu wa kazi kuliko mtu mwenye shahada.

Wapenda haki, tunataka Rais afanikiwe kwenye vita zote zinazo hatarisha amani na maendeleo ya Mtanzania, kufanikiwa kwa vita hizi lazima zipiganwe bila ya upendeleo wowote. Hata kama mtoto wako mwizi usimuachie lazima hatuwa ichukuliwe ili kuonyesha ya kuwa hakuna upendeleo na kila mtu yuko chini ya sheria. Kama ni kweli, kuna utata kwenye elimu na Mali za makonda, na sheria isipochukuliwa tutakuwa tunarudi kule kule kwenye sheria za kubagua. (Selective justice). Na hii ita undermine juhudi zote za Rais za kufuata utaratibu wa sheria kwa wote, bila ya kuchaguwa cheo, Kabila na dini. Kagame ameigeuza Rwanda ikawa ni nchi yenye kuheshimika duniani kwa kuwa mkono wa sheria ulimpitia mtu yeyote bila ya kujali uhusiano wake, cheo chake, dini yake wala kabila lake, alimufunga kaka yake kwa ufisadi. Tanzania ni kubwa kushinda Makonda, na kama shutuma hizi zote ni za ukweli, Rais ama wanaohusika lazima wachukuwe hatuwa, ama sivyo juhudi za Rais za kuirudishia Tanzania hes, na akishindwa wapenda haki Tanzania tutashindwa pia.
 
Hizi nguvu zingetumika kuwanyooshea vidole viongozi wasiofanya kazi. Hii nguvu ingetumika kuwalaani wauza dawa za kulevya. Tanzania tungekuwa mbali saana. Kinyume chake mtu anayechapa kazi saana, tena mwenye umri mdogo tu na elimu ya wastani ndiye anayeshambuliwa. Maajabu haya hutayakuta popote Duniani bali ni Tanzania. Nguvu kubwa inatumika kumuonea huruma kwa mfano aliyetukana mtu tena kiongozi tena Rais wa nchi , lakini mjane akionewa au ya tima kimywa. Maajabu haya ni Tanzania tu. mtategemea tutaendelea kweli?!?!?!?!!?
 
Duuuu!! Kama ni yeye nimeamini maisha ni bahati na kufanikiwa kwako ni latiba ya Mungu wako, jamaa alikuwa anapiga mbonji wenzie wapiga kitabu mwisho wa siku wanamwita Muheshimiwa daaaa!!!!
 
Ni kweli usemavyo lakini tukirud katika uhalisia Na kujarbu kufkiria Mara mbili, tutagundua kuwa katika hali ya kawaida hamnaga masuala ya kupigana picha wakati wa kunyoosha msuli, hivyo inaonekana hao jamaa walifanya hivyo kwa Nia ya kubaki na kumbukumbu pengine kwa sababu Mr.Daudi alizoea kuuchapa wakati wa misuli
 
Kama hii game ni kweli, from Bashite to Makonda sio game ndogo,trial zote hizo daah!..he is real thug,anajua nini maana ya hustle...
 
Soma tena
 
Mh alafu watu wenye ulimi uliojaa mdomoni km daud bashite hutoa udenda wakilala. Hapo atakua aliumimina udenda wa kutosha kwny shuka
 
Maajabu ya Musa sasa utakuta hao wote waliojipinda hapo nia Waalimu au Maofisa lishe somewhere huko Nanjilinji au Utete, na huku aliyembonji anakula kuku kwa mrija na kutembelea VX brand new....hii elimu ya bongo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…