Matokeo yote ya watahiniwa huwa yanabandikwa hata waliopata div 0, hata kama Gwajima hana cheti anaweza kuwa na vithibitisho vingine. Lakini siku ya siku ikifika kila kitu kitajulikana.Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
Basi inaonekana unoko alianza longSina uhakika sana ila tetesi zinasema aliwataja wanafunz wanaotumia bhangi parade lkn akajichanganya akaweka na majina ya walim ,inasemekana lkn
Ana tumia jina la mtu mwingine na alisomea cheti fake....So what? Uteuzi wa rais ni wa kisiasa? Au kielimu.. Hao wenye masters wamethubutu kufanya nini? Kikubwa?! Nitamshangaa pia JPM akisikiliza ushauri kama huu.
Mpuuzi ni wewe, sijazuia wala kumtetea makonda.
Pointi yangu ni hiii...gwajima kujiingiza katika hili anajichafua zaidi bora hata awasaidie wengine taatifa hizo wazifanyie kazi kuliko yeye ambaye dunia inajua wanaugomvi na makonda.
Pili katika ukristo kisasi hakiruhusiwi, hili la makonda dunia inajua ni mtumishi batili kwani hana sifa.
Zuia povu
Kwa hiyo uteuzi wake unabariki kufoji?So what? Uteuzi wa rais ni wa kisiasa? Au kielimu.. Hao wenye masters wamethubutu kufanya nini? Kikubwa?! Nitamshangaa pia JPM akisikiliza ushauri kama huu.
Si ndio maana matokeo mabaya ya form four Dar hayamsumbui kichwa.Daah! Kumbe raisi wa dsm alitaga yai form four?! Ngoja tuona kama lile zoezi LA uhakiki WA vyeti litamgusa huyu rafiki mkuu wa Sizonje
SawaTulia wewe, husisome mstari mmoja kwenye biblia, kuna mistari mingi tu watumishi wa Mungu walipigana na waovu tena wafalme
Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
Kwa hiyo ni ukweli kabisa pasipo shaka kwamba aliyekuwa anaitwa Daudi alipata sifuri na sasa anaitwa Paul?Sina uhakika sana ila tetesi zinasema aliwataja wanafunz wanaotumia bhangi parade lkn akajichanganya akaweka na majina ya walim ,inasemekana lkn
Matokeo yote ya watahiniwa huwa yanabandikwa hata waliopata div 0, hata kama Gwajima hana cheti anaweza kuwa na vithibitisho vingine. Lakini siku ya siku ikifika kila kitu kitajulikana.
matokeo ya zero yanapatikana