Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kama hii ni kweli,narudia kama hii ni kweli Makonda anastahili kuchukuliwa hatua kama Watanzania wengine.Na kwa details hizi Makonda ana maswali ya kujibu.Vinginevyo serikali haitaeleweka na hatutaielewa.Ili kusafisha hali ya hewa,ni vema Baraza la Mitihani likatoa tamko.Makonda anaweza akatoa tamko lakini liwe confirmed na Baraza la Mitihani.Ni kweli upo utata mkubwa kuhusu elimu ya Makonda.

Kwa nini Serikali ina-ajiri watu kama hawa wakati tunao so many capable people around us ambao hawana maswali,huwa sielewi.
 
Mtukufu mkunjufu hapo hatii neno yupo kimya..cos muhusika ni msukuma kama mwengine angeshauliza kwenye mkutano wa hadhara...nimtumbueeeee!!!!
 
Kwa mfano huo wa Jacob ndiyo unatupa uthibitisho kwamba Makonda kaiba jina?!
 
Akanushe bassi
 
Tumieni tafakari, siku hizi ukituhumiwa kwa jambo flani hata kwa kusikika tu lazima ukamatwe, kwa nini hamjiulizi huyu mtu pamoja na shutuma zote kanyamaziwa tu. Tungojee hili la cheti. Angekuwa mwingine mngesikia.
Alishawahi kuumbuliwa mkurugenzi wa jiji kwa kisaini mikataba miwili tena shutuma hizo zilisomwa mbele ya Raisi Magu mwenyewe. Je kulikoni hamjiulizi huyu kanyamaziwa????????
TAFAKARI........
 
Dah hii kali ...lakini mkuu Magu si alikua anasema amehakiki CV za wateule wake yeye mwenyewe ? Sasa cha huyu jamaa cjui kilipitaje aisee
 
wangapi wana 1 ya saba na wako kwenye system ila hawana manufaa kwa taifa zaid ya ufisad mtupu
 
Haya bhana FBI wa bongo kwa udadavizi wa mambo. Acha picha liendelee and I BET hii thread itakula replay nyingi kuliko ile ya MAKAPUKU FORUM
 
Mamlaka husika zinapita hapa kimya kimya! Aibu! Inabidi iundwe tume kuchunguza iwapo wanaohusika na vetting walikuwa wanajua uozo huu lakini wakaificha mamlaka ya uteuzi hivyo kuipotosha au mamlaka iliambiwa laki ni ikafumbia macho!
Namhurumia yule atakayeangukiwa na kura ya kufanywa kafara!
Pamechafuka! Lazima itafutwe namna ya kusafisha!
Mhusika MKUU atakuwa amesaidia sana kama akichukua uamuzi wa kujiuzulu ili kuiondolea mamlaka husika shinikizo na aibu!
 
Paul Makonda alipata division two point 18 form four na chuoni ( muccobs) alipata upper second class hakuwahi kudisco alikuwa very bright .

BY: Wanafunzi waliosoma na Makonda chuo na secondary.
 
Sidhani kama ni kweli,appearance matters my friend,jins anavyofanya mambo na hand writing yake siamini labda chama kimeamua kuingilia kuokoa jahazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…