Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Hahaha!!! Ila inawezekana pia akawa hana evidence yeyote...

Ila Paul hana jeuri ya kwenda kushitaki ilihal kuna case nyingine anatakiwa kureport mahakaman na anakukimbia
 
Mkuu Mmawia huyu jamaa ananishangaza sana.Alipoanza kutaja majina ya watuhumiwa wa madawa eti alidai yuko tayari kufa wakati sasa anahitajika kujibu tuhuma tu anakimbia.
Kama alidanganywa basi kaingizwa chaka atabaki kushinda kajificha kwa baadhi ya viongozi wa dini ili kuombewa
 
Dah huyu jamaa kama kuna vilaza basi ni moja wao, si kwa supplementary hizo khaaa.
 
Hahaha!!! Ila inawezekana pia akawa hana evidence yeyote...

Ila Paul hana jeuri ya kwenda kushitaki ilihal kuna case nyingine anatakiwa kureport mahakaman na anakukimbia
Angekuwa na hivyo vyeti angesha lianzisha
 
Bashite kwisha jeuri yake, nilimuona mahali kapwaya sana...

Mmmaa full aibu, daah napata picha pale alipomfokea Afisa Ardhi Manispaa Kinondoni Rehema Mwinuka daah eti "Hawa ndio vichaa tunaohangaika nao tokaa hapa nasema tokaa"
 
Mmmmmh hii inaitwa kunya Mimi niharishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…