Hoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic
Gwajima ni mtu mdogo sana kwa serikali mkatamateni mpeleke mahakamani ili akathibitishe mnaogopa kitu gani wakati mna mapolisi wenye virungu na bunduki
Gwajima ni mtu mdogo sana kwa serikali mkatamateni mpeleke mahakamani ili akathibitishe mnaogopa kitu gani wakati mna mapolisi wenye virungu na bunduki
Mkuu sikumaanisha hivyo ila nimesikiliza hii clip nikaona huruma. Hakuna sababu ya kufika huko ila naona hili litufundishe kitu ndugu yangu. Hatari sana hii. Hii ni nivue nikuvue style
Mkuu sikumaanisha hivyo ila nimesikiliza hii clip nikaona huruma. Hakuna sababu ya kufika huko ila naona hili litufundishe kitu ndugu yangu. Hatari sana hii. Hii ni nivue nikuvue style
Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Hilo ni swali la kitoto lililo ulizwa na mtoto, kila jambo huwa na wakati wake kutokana na influence itakayo sababisha jambo hilo kutokea, unapo jipanga kutaka kupigia kelele usafi wa nyumba za majirani ndipo nao watakapo anza kukagua kwanza usafi wa nyumba yako kikamilifu.
Kwa mchezo huu bwana daudi bashite mpaka dakika hii kapigwa 5 bila Na bado dakika za mwanzo mkisikia Kumi bila ndo hapa sasa ngoja dakika tisini zikiisha ntarudi