Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Huo ndo ukweli tena Bashite aliingia Kwenye mfumo rasmi akiwa form three ... ndugu zangu ni wenyeji wa Misungwi wanajua in and out Gwajima kajipanga vizuri we subir utakuja kujua hata sababu ya kufagiliwa na Sitta utashangaa Muda ni msemaukweli sana

halafu akijipanga inakuwaje mkuu?

RC anaondolewa? au Rais atakuwa alikosea vetting, hivyo usalama wa taifa utakuwa lawamani!
 
kaka nikurekebishe kidogo. sio kwamba alinunua cheti baada ya kutokuchaguliwa kutoka darasa la saba kwenda sekondari. ni kwamba ukifeli la saba bado sekondari za private zitakuchukua bila shida nadhani hilo liko wazi. daudi bashite aliendelea pamba sekondari kwa jina hilohilo la daudi bashite na ndio amemaliza kidato cha nne kwa jina hilo. pale dauidi bashite akapata divisheni sifuri. afenyeje ili aendelee na elimu sasa ndio akanunua cheti cheti cha kidato cha nne kutoka kwa bwana Paul Christian M. akabadilisha jina lmwisho la cheti kipya kuwa Makonda ndio akaingia chuo cha uvuvi kwa jina la Paul Christian Makonda. mwenye cheti halisi bwana paul christian yeye akaendelea na high school na cheti chake. na hii inaleta ushawishi fulani kwani cheti hicho cha paul christian kina matokeo ya divisheni one. katika hali ya kawaida ungetegemea mtu huyu aendelee na high school moja kwa moja ili hata kama uvuvi ni hobi yake aende kuchukua digrii ya acquaculture ambayo ni kubwa kuliko certificate na diploma. mwenye cheti halisi ndiye aliendelea na high school. aliyekinunua yeye akala denge chuo cha uvuvi yawezekana ni mashart walioyopeana. maana utaona kabisa daudi bashite hakua na hobi ya kusoma uvuvi na ndio maana baada ya bagamoyo akabadili upepo kabisa na chuo cha ushirika moshi
 
Yetu macho na masikio
Pesa zote alizopewa kwa ajili ya operation unga na pesa za GSM sasa Makonda zinamkondesha bara-bara amegundua njia pekee ya kumuokoa ni Ndumba pamoja na Dua za BAKWATA ingawa baadhi ya mashehe wa BAKWATA hawataki kumsikia makonda
 
sasa hapo ndo home boy ajifunze kwamba you have to think before leap? yeye mbona alimchafua hoome boy tena mchungaji na ishu ya hatari kama ya unga??
Wapo wa kusamehe lakini mpenda sifa kama Makonda hafai kusamehewa milele.
 
Unakubali kuongozwa na Zero basi naww ni zero kabisa

kabisa mkuu!! kama uliruhusu system ikuchagulie huyu wa ziro, tatizo sio huyu mmoja

wanasiasa wote asilimia 70 ni failures.....kubali kataa

huyu wetu ngau anakuja na amshaamsha nzuri yu

ikiwamo madawa

wenye degree na first class hatuoni wanafanya nini
 
Huo ndo ukweli tena Bashite aliingia Kwenye mfumo rasmi akiwa form three ... ndugu zangu ni wenyeji wa Misungwi wanajua in and out Gwajima kajipanga vizuri we subir utakuja kujua hata sababu ya kufagiliwa na Sitta utashangaa Muda ni msemaukweli sana
Kwa nini sitta alimfagilia dogo.?
 
Tusiwe na double standard katika kudeal na watumishi wa umma, sheria ni msumeno, kama Makonda anatumia vyeti si vyake basi mama Ndalichako avisaidie vyombo husika kuchukua hatua.
Identity theft is a serious crime!!
 
Reactions: BAK
Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Unamaanisha Chri Ole,huyu yeye walau ana ka D na hajafoji kutumia jina LA mwingine.Daud Bashite future yake kwisha kazi.Nasikia alikuwa na ndoto za kwenda kumuondoa Kitwanga ili awamu ijayo alambe chaka la uwaziri!!
 
Inashangaza sana kuona kimya cha Ndalichako na Magufuli kwenye hili.

Tusiwe na double standard katika kudeal na watumishi wa umma, sheria ni msumeno, kama Makonda anatumia vyeti si vyake basi mama Ndalichako avisaidie vyombo husika kuchukua hatua.
Identity theft is a serious crime!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…