Daudi Bashite (Paul Makonda wa sasa) ameshindwa kuthibitisha kua hajanunua cheti au kupata ZERO katika matokeo yake ya kidato cha nne. Hivyo ukweli wa kwamba yeye ni mwizi wa kitaaluma uko palepale.
Huyu jamaa lazima tuhakikishe anang'oka tu,.. Watachelewesha lakini Mungu anasikia kilio chetu.. Haina kulala,. Sisi ni sauti ya wanyonge lazima tukaze uziHana vyeti jambazi huyu
Anatuma ma body guard wake wamtolee bastola Nape
Na huyu waziri Wa mambo ya ndani shame on you kwa kudanganya watanzania, au ndio kujipendekeza kwa makomeo
Kweli hii nchi imeoza more than we think
Lazima waondoke tuHuyu jamaa lazima tuhakikishe anang'oka tu,.. Watachelewesha lakini Mungu anasikia kilio chetu.. Haina kulala,. Sisi ni sauti ya wanyonge lazima tukaze uzi
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
Hatuwezi kukaa kimya, na wajue sauti ya wengi ni sauti ya Mungu... Hakika tutashinda. Watake wasitake.. Bashite atang'oka tuWakizikataa kokoto, basi mawe yanakuja kuhitimisha!
Najua mnaotoa huduma ya tako mko wengi.. Mnategemea biashara hiyo kukaa mjini sio.. Mtang'oka tu.. Mr. 0Ila vyeti si anavyo gwajima na nakala katoa..wahi nakala yako upesi nyumbu we.
Najua mnaotoa huduma ya tako mko wengi.. Mnategemea biashara hiyo kukaa mjini sio.. Mtang'oka tu.. Mr. 0
Nasikia rais ametoa uhuru wa kutoa mawazo bila kushutumiwa kutoa matusi. Asante modsLazima waondoke tu
Tena wote bashite na bae wake
Mahaba yatamponza,anamthamini bashite kuliko wananchi waliompa kura
Mwanzako Ana Refalii ambaye ndiyo baba mwenye Nyumba kuwa mpole kijana acha hamasaWadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
Nani alitegemea Daudi atashinda vita dhidi ya wafilisti?. Mungu yu pamoja nasi.... Twenzetu....Walioanzsha huu mjadala wa umbea washaufyata na wengine wameukosa uwaziri...wamesalimu amri ww bado humo tu?