Mimi naona yeye ndio kadanganya , mkuu iwapo unamfahamu aliyedanganya ni vyema uwe mzalendo kwa taifa lako,kwa kuwafichua hao wadanganyifu. Ni dhahiri kwenye hili upo udanganyifu.
Ni jukumu la wabunge sasa kupigia kura ya kutokuwa na imani na Rais Magufuli kwa kosa la kumlinda Mhalifu Daudi Bashite. Kashifa inayomkumba ndugu Daudi Bashite kisheria anabidi aende jera si chini ya miaka saba.
Wabunge hatukuwatuma kwenda uko bungeni kuwa kama mbwa koko ambaye hawezi hata kubweka wala kungata. Mtakuwa hamna msaada wowote kama mmeshindwa kusimamia katiba na kuwajibisha kiongozi yeyote anayevunja katiba ya nchi yetu.
Kama Makonda anavyeti feki hata wabunge mnaweza kumuwajibisha. Rais akimkingia kufua hata yeye mnaweza mwajibisha. Hii ni nchi yetu sote sio ya Bashite wala Pombe.
Tena mkitaka kudeali na Pombe mnamuunganisha na kutumia mali ya uma ovyo bila kuheshmu budget ya bunge.
Bunge gani, ila bunge alijawai kuwasaidia watanzania, zaidi ya wao kulinda maslai yao, naomba wathubutu, ili bunge livunje na Rais afanye mabadiliko ya sheria mbunge asipokee zaidi ya milion moja..
Sio tu kututelekeza, yaani anatamani tungepakwa upupu au tukalowekwa kwenye acid. Utu wa kiongozi huanzia kwenye familia yake, ukikosekana huko the rest mjue ni shida.
Nimepata kusikiliza kipindi Xxl cha clouds fm jioni hii.watangazaji wamasema rais Kenyata ameamzisha vita ya madawa ya kulevya naye wametoa angalizo nae asije akaombwa vyeti.Nawamesema angeshangaa kama bashite angetoa vyeti kutokana na kelele za wauza unga. Kwahiyo wote wanaopiga kelele ni wauza unga na wamesema hang'oki mtu wauza madawa waendele kupiga kelele wakichoka watalala. Na wamesisitiza wanaendelea kumuunga mkono mkuu wa mkoa.
Ibrahim masoud na habash wamenena maneno hayo.Naomba uzi wangu usiwe merged.
Nadhani katika dunia hii kuna baadhi ya watu siyo wa kuchezea, na kwa Tanzania Gwajima ni shida nyingine ambayo kwa sasa inawakosesha usingizi JPM na Bashite.
Kwa video hii tunamuomba anayejiita makonda atoe kifua aje aseme kama anasingiziwa.
Mzigo huu hapa.