Unadhani atashinda nani badala yake. Tupe mawazo yako. Lakini usituletee majina ya watuhumiwa wa ufisadi na mafisadi hapa. Chunga sana mduguMasahihisho - amebakiwa na miaka mitatu tu , siyo 8 , hawezi kushinda uchaguzi wowote mwingine , chukua hili andiko mkuu , Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Uko sawa Mkuu....waache Maneno walete ushahidi....na siyo anaetuhumiwa kuleta ushahidi....nyambafu.Hakuna kilichowekwa wazi.
Kilichopo ni maneno tu.
Hata huyo anayedaiwa kuwa ndo Paul Makonda mwenyewe sura yake haijulikani.
Hayo majina ya watu unaodai walisoma naye hayajathibitishwa na mwingine yeyote zaidi ya wapinzani wake ambao hawawezi kuaminika kivile.
Hata huyo Gwajima wenu licha ya kudai anavyo vyeti vya Makonda huko ofisini kwake bado hajatuonyesha kama kweli anavyo. Na anaweza kabisa kuwa anatudanganya tu.
Na yeye Makonda kutokukanusha chochote mpaka sasa hivi [kama unavodai] si ushahidi wa chochote wala lolote lile.
Bado kabisa sijaiona hiyo jinai unayodai kaitenda. Sisemi kuwa hajatenda jinai. La hasha. Nasema kuwa sijaona ushahidi wowote ule wa kunishawishi kuwa katenda jinai. Maneno yenu pekee si ushahidi wa kunishawishi mtu kama mimi.
Na hii mada yako wala haina jipya zaidi tu ya kujaribu kuipa uhai habari ambayo inaelekea kaburini.
Mwambieni Gwajima wenu atuonyeshe hivo vyeti alivyonavyo ofisini kwake maana Makonda mwenyewe hataki.
Nani kasemaMmeambiwa mlete ushahidi wa vyeti ila mmekalia maneno ya taarabu tu.
Unapojaza application forms lazima kuna sehemu ya wewe kukiri kwamba unachojaza ni cha kweli.Kwani katenda jinai gani mpaka sasa?
Wiki sijui ya ngapi hii wanapiga kelele za Bashite na Makonda lakini hakuna chochote wanachotuonyesha zaidi ya maneno tu.Uko sawa Mkuu....waache Maneno walete ushahidi....na siyo anaetuhumiwa kuleta ushahidi....nyambafu.
Mbona povu mwaya, ila nimecheka ulivyoandika inaonekana unajifunza kusoma na kuandika. Kama sikosei ni walewale kinabadhite, bidada jipange unatia aibu kutokujua kuandika vizuriNenda kajipige mabao jitambue kama umekosa maisha, unaandika kwa hasira kama vile Kiongozi Jembe ndie alikuweka kwenye aisha unayoishi.
Eti nani na nani mna majina yao? Eeeeh kituko cha karne zote. Si muwaite mapaparazi waongee mubashara au?
Je pakuripoti pamefungwa milango 24/7?
Kweli akili timamu zilishasepa
Mvivu, mjaa wivu, pundwa, njaa kali, tamaaa inahusu
Too low for you brodaKuhoji mambo ndo kujitoa ufahamu?
Get outta here..
Hujui naongelea nini?Inaelekea umekosea uliyetaka kumquote, as uliyoyaandika sijui unaongelea nini.
Fine and dandy.Unapojaza application forms lazima kuna sehemu ya wewe kukiri kwamba unachojaza ni cha kweli.
Jinai ya kwanza: wazazi/ walezi walipoamua mtoto asirudie shule na kumhamishia shule nyingine. Hapo lazima uongo uwe umetumika. Lakini siamini Kama records zitaonyesha. Naamini hapo ndipo wazazi walivyoamua destiny ya mtoto wao. Alikuwa hana msingi mzuri wa elimu.
Ya pili: sekondari aliendaje Kama alifeli (naamini alifeli na siyo kutokuchaguliwa). Sec ya serikali au private?
Ya tatu: kujiunga na chuo cha uvuvi kwa kutumia cheti ambacho sio cha kwake.
Ya nne: kubadilisha jina kutoka jina ambalo si lake (kwa kiapo) kwenda jina jingine
Ya tano: kujipatia hati ya kusafiria na vitambulisho vya kura na taifa kwa njia ya udanganyifu
Ya Sita: kuajiriwa kwa kutumia documents ambazo si zake kihalali.
Kuna wakati one small lie inazaa lies kubwa zaidi mpaka mwenyewe unajiaminisha kwamba maisha yako ni ya kweli, ukakosa unyenyekevu. Kumbe it is just a big fat lie, hujui hata utafanyaje one lie after another.
Kwa jinsi hii inabidi ukae kimya.
I'm actually going notches way up higher by demanding to see proof that shows he is not who he says he is.Too low for you broda
And you will have saved the nation so so much if your clansman Mr Daudi could have just done that!! No body is asking beyond that broda.!I'm actually going notches way up higher by demanding to see proof that shows he is not who he says he is.
Anapewa "Living Certficate" aka ChetiMchungaji kasema Ana vyeti viwili kimoja cha Daudi A. Bashite ambacho alipata zero na kingine cha Paul c. Muyenga, swali dogo hapo, Je mwanafunzi akipata zero o-level anapewa cheti!
Gwajima said he has the proof.An
And you will have saved the nation so so much if your clansman Mr Daudi could have just done that!! No body is asking beyond that broda.!
Evidence inayofanya hiyo uite hiyo Jinai.Evidence zipi?
Relax dude. If we leave it to Gwajima, it go a take help of time. Don't you see that your broda is in trouble?Gwajima said he has the proof.
So why won't he release what he claims to have?
And clansman? The hell is that...?
Relax dude. If we leave it to Gwajima, it go a take help of time.
Hakuna cheti kinatolewa kwa mwanafunzi aliyepata div 0.Mchungaji kasema Ana vyeti viwili kimoja cha Daudi A. Bashite ambacho alipata zero na kingine cha Paul c. Muyenga, swali dogo hapo, Je mwanafunzi akipata zero o-level anapewa cheti!