Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kwa mtu mwenye akili timamu kwa sasa hawezi tena kuuliza swali kama hili maana kila kitu kimeshawekwa wazi mpaka majina ya watu aliosoma nao Msingi,Secondary na hata chuoni na wala yeye mwenyewe hajakanusha.

Hakuna kilichowekwa wazi.

Kilichopo ni maneno tu.

Hata huyo anayedaiwa kuwa ndo Paul Makonda mwenyewe sura yake haijulikani.

Hayo majina ya watu unaodai walisoma naye hayajathibitishwa na mwingine yeyote zaidi ya wapinzani wake ambao hawawezi kuaminika kivile.

Hata huyo Gwajima wenu licha ya kudai anavyo vyeti vya Makonda huko ofisini kwake bado hajatuonyesha kama kweli anavyo. Na anaweza kabisa kuwa anatudanganya tu.

Na yeye Makonda kutokukanusha chochote mpaka sasa hivi [kama unavodai] si ushahidi wa chochote wala lolote lile.

Bado kabisa sijaiona hiyo jinai unayodai kaitenda. Sisemi kuwa hajatenda jinai. La hasha. Nasema kuwa sijaona ushahidi wowote ule wa kunishawishi kuwa katenda jinai. Maneno yenu pekee si ushahidi wa kunishawishi mtu kama mimi.

Na hii mada yako wala haina jipya zaidi tu ya kujaribu kuipa uhai habari ambayo inaelekea kaburini.

Mwambieni Gwajima wenu atuonyeshe hivo vyeti alivyonavyo ofisini kwake maana Makonda mwenyewe hataki.
 
Nenda kajipige mabao jitambue kama umekosa maisha, unaandika kwa hasira kama vile Kiongozi Jembe ndie alikuweka kwenye aisha unayoishi.

Eti nani na nani mna majina yao? Eeeeh kituko cha karne zote. Si muwaite mapaparazi waongee mubashara au?

Je pakuripoti pamefungwa milango 24/7?

Kweli akili timamu zilishasepa

Mvivu, mjaa wivu, pundwa, njaa kali, tamaaa inahusu
 
Ni dhahiri political carreer ya Daudi haiwezi kuwa zaidi ya vile alivyo kwa sasa, hawezi kupewa dhamana kubwa zaidi maana kila mtu ameona na amejua ukweli wake, lakini pia hata ukiingia utawala mwingine ni vigumu kwa Daudi kuwemo maana story yake ni liability na si asset.
Lakini kibaya zaidi kuendelea kukalia kile kiti kimevunjavunja mafanikio ya vita dhidi ya vyeti feki!. Lakini pia kumeexpose weakness katika delivery ya justice, maana watu wengine rungu linawaangukia, wengine wala haliwagusi!
 
We kiboko Nyuzi ya bashite ikitupiwa tu humu hata kama umelala usingizi usiku wa manane utashtuka kuja kumtetea, inaonekana hii kazi inakulipa si mchezo.😀
 
Nimeipenda hiyo kauli "jinai haifi.."..naongezea hivi "jinai haifi na anaekupa kiburi ana miaka nane tu imebakia kabla nae kugeuka kuwa nyoka wa kibisa a.k.a "mzee"
 
Hii nchi INA wenyewe mkuuu we uza mitumba yako familia iende chooni utapotezww
 
Nimeipenda hiyo kauli "jinai haifi.."..naongezea hivi "jinai haifi na anaekupa kiburi ana miaka nane tu imebakia kabla nae kugeuka kuwa nyoka wa kabisa a.k.a "mzee"
Masahihisho - amebakiwa na miaka mitatu tu , siyo 8 , hawezi kushinda uchaguzi wowote mwingine , chukua hili andiko mkuu , Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Msalimie bandugu Daudi Bashite.

Muulize kwa nini ameacha jina hili zuri la Daudi Bashite na kujipachika la Paulo Makonde?
 
Huyo Mch Gwajima amefurahi sana kutajwa jina ktk sakata la madawa maana ndiyo kama limempa kick nyingine ya Ku earn more and more baada ya kuwakamata watu akili zao na kuwaendesha kama anavyotaka.

Sasa hivi yeye Gwajima anatoa tu episode kila jpili na kuwatengenezea mazingira kwa kuwapa ahadi ya nini ataongea next jpili baada wafuasi wanaongezeka kila kukicha.

Mpaka sasa nasikia tu hawa walisoma naye,Mara huyu alimpa cheti,Mara huyu ni Dada yake Mara huyo ni Mwl wake Mara sijui huyu katoka kijijini kwake ili mradi ni story tu zisizokuwa na kichwa wala miguu.

Hakuna hata mmoja anayetuwekea ushahidi wa hiyo JINAI ilifanywa hata mmoja hakuna aliyethibisha kuweka hizo evidence.

Ngoja tusubiri next episode ya Gwajima INA nini!!?
 
Jinga la Dar es salaam bado linajifanya lina roho ya paka kumbe wameshashika panapouma bado tu kurudisha furniture za GSM
 
Acha ubishi wa kitoto joo
 
Evidence zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…