Makonda uchunguzi wake utakuwa kama ifuatavyo.
tunajua amesoma shule gani primary na secondary(PAMBA)
tunahitaji kuona cheti chake au result slip yake ya secondary
- je result slip au cheti chake cha secondary kinaonyesha amemaliza shule gani?
- JE alivyoenda kuapa mahakamani kubadilisha jina alienda kubadlisha jina gani
- alienda kubadilisha kutoka DAUDI BASHITE to PAULO MAKONDA au ni vipi
- je cheti chake cha form 4 kina jina la DAUDI BASHITE au PAULO MAKONDA
- mzazi wake nae pia alibadili jina PIA ?
- SiKu aliyokuwa anahOjiwa na ZAMARADI alikuwa anajitambulisha kama mzee MAKONDA.
- Ikiwa result slip/cheti chake cha form four kinaonyesha amemaliza PAMBA
- Je hiyo result slip/cheti kinaonyesha amepata DIVISION GANI?
- Ikiwa amepata division BASHITE je? ilikuwaje akajiunga na chuo? alitumia cheti cha mtu au chuo kilimkubalia hivyo hivyo na BASHITE YAKE?
- saasa ikiwa amepata division 3 tena hapo itakuwa amri kutoka majuu itakuwa imefanya kazi au GWAJIMA AU MANGE wametuletea habari ya uwongo.
- sasa mahakama makini ya wananchi haitoishia hapo tutawatafuta waliomaliza mwaka ule aliomaliza MAKONDA
- hawa waliomaliza na MAKONDA /BASHITE watatuambia muongo ni nani