Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Hayaaa

Chacha wazeee wa IJ na eterpise story wamechimbua wamekuja na kitu hot hot kabisaaaaaaaa
Investigators Journalist tulikuwa tunawasubiri mka dig hiyo kitu ili mtujie na real fact story
 
Tabu ikowapi kuhusu alipokulia mtu, hata kama alikulia juu ya mti nyie inawawasha nini? Hata kama alioga ziwani au kwenye maji ya barabarani inawawasha nini? Alipo now ni juhudi zake na maarifa maishani mwake na kuwa na wazazi waliomuongoza vyema na wanampenda sana sana, nae anawapenda sanaaaaaa. Mwisho wa siku hata kama alikuwa anaokota makopo, sasa hivi ni Kiongozi mchapa kazi.

Wengi mmekalia na vi digrii vyenu vya hata sijui wapi kusoma kwa raha ila mnasota hata skills za uongozi hamna mnabebwa tu, mfwyuuuuu

Na bado vita vya madawa ya kulevya vitaendelea jijini Dar na huku kwenye miji mingine.

Mkae mkao wa kuanza kwenda zile nyumba za kuwasaidia, mpo wengi wauzaji, wanunuzi na mliokuwa kama madalali. Mtanyooka tu


Makonda oyeeeee
 
Koromije kuanza kupokea watalii wa ndani, asante Bashite!
 
HUYU GWAJIMA MBONA ANA VISASI VYA KIJINGA ? TANGU ATAJWE KWENYE TUHUMA ZA UNGA KILA SIKU MAHUBILI YAKE, MAKONDA,MAKONDA!? VYETI,VYETI, UNABOA BWANAA !!

Kama unavyoboa wewe kuleta ushuzi tu. Daudi kwishney.
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
 
umesoma chuo? baasss kwa watu wajanja kama bw dere.....nikitu rahisi kama mtu kaweza kutumia cheti cha mtu kwa vidato vyote atashindwa kumuomba mtu amfanyie assignment? wanakuwaga ni janjajanja......kama umepita chuo hopes unajua vile vilaza wanafanyagaaaaa......
 
Jaman tanzania pekee div 0 ameweza mtu kuibadilisha pitia mmarafiki na kesho ukapata nafasi kubwa kitaifa. Mm nasema hii nilaana tunaitaji kunyonga watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…