Ndo maana nasema Tanzania hatuna opposition parties....vyama gani vya kutetea na kupokea wauza na watunia mihadarati????
Vyama gani vya kusubiri matukio na kujishikiza hapo??? Hii inaonesha havina mikakati yaani mpango kazi. Vinacheza ngoma ya CCM. Aibu sana
(Hasinge)We umezaliwa mwaka gan? Mbowe amesoma, na kama hana elimu kubwa hasingequalify kwenye tume ya uchaguzi kugombea urais mwaka 2015.....
Ficha upumbavu wako
Jifunze kutumia alama katika mashairi yako
(Hasinge)
(Urais 2015)
Tye tye tye
Kweli kuongozwa na ZERO nawe unakuwa ZERO
Lowassa aligombea urais mwaka gani!!
Sorry..nmemaanisha 2005, nadhani unaelewa basi tu unajitoa ufahamu(Hasinge)
(Urais 2015)
Tye tye tye
Kweli kuongozwa na ZERO nawe unakuwa ZERO
Lowassa aligombea urais mwaka gani!!
Unamaanisha wale watumishi waliofungwa kwa kugushi vyeti na kufungwa na wengine kukimbia warudishwe makazini?Bashite aachwe for sure anatia huruma asamehewe kama alikosea sehemu na zero yake anafanya na atafanya mambo makubwa mazuri kuzidi hao wenye mavyeti na mavyeti
Mbowe kagombea urais 2005, kama unabisha utakua chiziiiii, Ebu ntajie vigezo vya kugombea urais Tanzania(Hasinge)
(Urais 2015)
Tye tye tye
Kweli kuongozwa na ZERO nawe unakuwa ZERO
Lowassa aligombea urais mwaka gani!!
Hivi ulienda shule kusomea ujinga!!
hujui kituo kikubwa wala mkato vinawekwa wapi!!
Rudi shule
Salary, uko makini na sahihi. Lakini ni kwa watu wanaojitambua! Sio TZKwa mtazamo wangu yafuatayo yanaweza kuwa madhara ya kufumbia maccho jambo hili.
1.Waliokuwa wamebakiza imani ndogo kwa Mkuu wa Kaya sasa wamebakiza imani "zero" kwake
2.Waliokuwa bado wanamuamini sasa imani yao kwake nayo imeanza kushuka
3.Imani ya wananchi kwa chama tawala inazidi kushuka
4.Chama tawala kitapoteza viti vingi vya ubunge hasa katika jiji la Dar-es-laama na majiji mengine makubwa ya nchi hii.
5.Zoezi zima la uhakiki limepoteza maana na limedharaulika.
6.Mazoezi mengine yoyote yatakayofuta watu watayadharau
7.Waliokuwa bado wanavutiwa na hotuba zake sasa wataacha kumsikiliza.
8.Ni mfano mbaya kwa wanafunzi walioko mashuleni.
9.Vijana wengi wataamini mafanikio katika maisha ni ujanja wako tu na kwamba kusoma sio issue.
10.Ukijuana na wakubwa wewe ni utouchable.
11.Baadhi ya vijana watakuwa insipired kufuata nyayo za RC huyu kufikia hapo alipo bila kujali hatari inayowakabili.
12.Baadhi ya watu hawatakuwa comfortable kuumpa mtuhumiwa heshima yake kama kiongozi na wengine hawatajisikia amani kuhudumiwa na mtuhumiwa.
13Mthumiwa nae hatakuwa comfortable kupokea heshima anayopewa na atajihisi hastahili tena heshima hiyo.
14.Hadhi ya jiji husika na watu wake kushuka thamani.
15.Mtuhumiwa kujihisi kusemwa na kila mtu hasa pale anapoona watu walio karibu yake au anaofanya nao kazi ofisi moja wanapiga story katika vikundi na hata wawapo maofisini...
16.Athari za kisaikolojia kwa muhusika katika siku za baadae.
17.Ajenda na turufu ya upinzani mwaka 2020
Jana upuuzi huu
leo umerudia ku copy !!
Imesha buma
mwambieni kwanza Mbowe aonyeshe vyeti walau vya lasaba tu
Weye acha ung'ombe yakhe!Mwambie maalim Bashite aoneshe vyeti atii!Jana upuuzi huu
leo umerudia ku copy !!
Imesha buma
mwambieni kwanza Mbowe aonyeshe vyeti walau vya lasaba tu
Well articulated...cjui keshamtumbua?Kwa mtazamo wangu yafuatayo yanaweza kuwa madhara ya kufumbia maccho jambo hili.
1.Waliokuwa wamebakiza imani ndogo kwa Mkuu wa Kaya sasa wamebakiza imani "zero" kwake
2.Waliokuwa bado wanamuamini sasa imani yao kwake nayo imeanza kushuka
3.Imani ya wananchi kwa chama tawala inazidi kushuka
4.Chama tawala kitapoteza viti vingi vya ubunge hasa katika jiji la Dar-es-laama na majiji mengine makubwa ya nchi hii.
5.Zoezi zima la uhakiki limepoteza maana na limedharaulika.
6.Mazoezi mengine yoyote yatakayofuta watu watayadharau
7.Waliokuwa bado wanavutiwa na hotuba zake sasa wataacha kumsikiliza.
8.Ni mfano mbaya kwa wanafunzi walioko mashuleni.
9.Vijana wengi wataamini mafanikio katika maisha ni ujanja wako tu na kwamba kusoma sio issue.
10.Ukijuana na wakubwa wewe ni utouchable.
11.Baadhi ya vijana watakuwa insipired kufuata nyayo za RC huyu kufikia hapo alipo bila kujali hatari inayowakabili.
12.Baadhi ya watu hawatakuwa comfortable kuumpa mtuhumiwa heshima yake kama kiongozi na wengine hawatajisikia amani kuhudumiwa na mtuhumiwa.
13Mthumiwa nae hatakuwa comfortable kupokea heshima anayopewa na atajihisi hastahili tena heshima hiyo.
14.Hadhi ya jiji husika na watu wake kushuka thamani.
15.Mtuhumiwa kujihisi kusemwa na kila mtu hasa pale anapoona watu walio karibu yake au anaofanya nao kazi ofisi moja wanapiga story katika vikundi na hata wawapo maofisini...
16.Athari za kisaikolojia kwa muhusika katika siku za baadae.
17.Ajenda na turufu ya upinzani mwaka 2020
Hata humu nimepost ikafutwa, sijui tukimbilie wapiCLOUDS nao si ndio wale wale wakina bashite kasolo siku na tarehe tu