Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Sio rahis mtu kutoka na kusema nilisoma na Daudi Bashite, ni nani asieogopa serikali hii ya kukamia. Kuna yule mzee alkuja kutoa ushuhuda nadhani kila mtu anajua yaliomkuta aliemleta.
Mzee kajitoa mhanga na Gwajma kesho na yy atamwaga vyote kwani na yy kaapa kufa hata kama makonda atanunua sumu ile iliyotumika kumuua kijana wa Rais wa korea kasikazini kule Airport, Mkulu atamlinda makonda wee,, na makonda anayenini shetani kwa sasa ataamini Gwajma atafeli, ndipo maajabu yanakuja yaani Mmiliki wa kamati za Ufundi Makonda vs mtumishi wa mungu.
 

Link Mchakamchaka wa Polisi, Askofu Gwajima waendelea. Akamatwa tena, ahojiwa na kuachiwa | FikraPevu

Link2. MBEYA: Wauguzi, mume na mke waacha kazi wakati Tume ikichunguza vyeti bandia
 
Na kama makonda anajiamini iweje pale kwake kujae waganga wa kienyeji? iweje wazee wa BAKWATA wanapishana kuchukua pesa? Sasa anatumia pesa nyingi kulinda hicho cheo cha RC kaamua kujitoa fahamu kila akinusa mtu anamsaidia Gwajma wanaenda kumsachi ni hatari kwani makonda anajiongezea maadui pasipo sababu yeyote kwani angeonyesha vyeti yote yangekwisha.
 
Kinacho nishangaza sana ni pale wanaume wajinga mnapo kaza misuli kumjibia mtu anaye jua kuongea na kujielewa au nyie ni wake zake?maana hatuwaelewi yeye mwenyewe yupo kimya mibaba na mabusha yenu mnakaza misuli huku.
 
Tulitegemea na wewe utaweka hapa hivyo vyeti vyake

Kumbe bado unaleta Ubashite wa Kolomije hapa JF?

Time will tell...

Hata wewe ajili hazikutoshi. Kaema ubishi wa nyaraka humalizwa kwa nyaraka. Aliyeanzisha upuuzi atoe nyaraka zake kwanza zinazompa nguvu ya kusema.
 
Kuhakiki vyeti ni mkakati wa serikali yenyewe kwa watumishi wake hili limetolewa ufafanuzi hata na Raisi mwenyewe sasa endapo Makonda anasimamia zoezi hilo kwa wengine shida iko wapi na yeye akihakikiwa? ni kama zoezi la kuhakiki uhalali wa umiliki wa silaha mbona hata Rais alihakikiwa na hakuna aliyekuwa na tashwishi?
 
Kesho tunaenda kwenye ibada ya kuabudu na kusifu!!!!!!
 
watu wanaacha kufuatilia mambo ya msingi wanafuatilia elimu ya makonda, why elimu yake iwe issue sasa na si 2014 alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, au kipind kile alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au pale issue ya vyeti ilipoibuka why hao wanajua elimu yake hawakuibuka na hili jambo,

ila pale alipoibuka na madawa ya kulevya na elimu yake ikawa deal na habari ya mjini, tuache kuwa bendera kila siku tunachezeshwa ngoma tusiyoijua, tuanze kuhoji vzr ili tujue mantiki ya mada husika

acha kijana adeal na wauza unga then akimaliza ntajumuika kuhoji elimu yake, ila for now namsapport sana huyu jamaa
 
Kinacho nishangaza sana ni pale wanaume wajinga mnapo kaza misuli kumjibia mtu anaye jua kuongea na kujielewa au nyie ni wake zake?maana hatuwaelewi yeye mwenyewe yupo kimya mibaba na mabusha yenu mnakaza misuli huku.
Ndugu hao ni wanogeshaji wa mjadala wa vyeti hewa. Mengi yanaibuka katika hoja zao na kupiga sound wanayoifanya.

Wao wanafikiri wanamsaidia lakini ukweli ni kwamba wanasaidia kuweka wazi umuhimu wa kuvifanyia uhakiki vyeti vya elimu vya RC na kama aliwahi kubadili jina baada ya elimu ya kidato cha 3.

Hii issue ya uhakiki wa vyeti ni mkakati wa Awamu ya 5 kuhakikisha mwenye elimu ya darasa la saba anafanya kazi na kupata cheo na mshahara kulingana na elimu yake.

Kwa upande mwengine hii issue ya RC na tuhuma ya vyeti feki(hewa) inatishia uadilifu wa aliyemchagua.Uadilifu kwenye uhakiki wa vyeti hewa(feki). Je mkulu atatumia dabo standardi au atampatia cheo kingine kulingana na uhalisia au uhewa wa vyeti vya mteuliwa wake?

Wakati ndio utatoa majibu.

Tatizo kubwa linaloikabali Tanzania ni unafiki na kulindana. Hiyo ndio sababu tunaendelea kugawiana " "maisha bora"(umasikini) kwa hapana kazi tu na kwa mwendokasi".

 
Haya maswali yako yote yatapata majibu thabiti siku Makonda akiweka hadharani uhalali wa vyeti vyake hapo jamii itauona uongo au ukweli wa Gwajima.
 
Leave alone hao wadada wanaotoa rushwa ya ngono huko underground, Hon. Makonda is a model and a sign post to the society hivyo Integrity kwake is a must.
 
Maswali yaliyoulizwa hapo hayajajibiwa hata moja zaidi watu wanatokwa povu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…