Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

unayetegemaea amtumbue bashite yupo bize kumsifia uzuri mke wa mtangulizi wake...
 
Kudadeki na standard seven yangu nikikusanya machapisho yote kumhusu Bashite hasa JF natunukiwa PHD kwahiyo nakuwa na kibwagizo cha Dk Kimeloki
 
You are wrong! Jamaa ataandika (yeye mwenyewe?) barua ya kujiuzulu ili "kupisha uchunguzi". Ombi lake litakubaliwa kisha atashukuriwa kwa kazi nzuri na kujitoa kwake mhanga hata kuhatarisha maisha yake kupambana na biashara haramu na hatari. Mwisho atapewa pole kwa masaibu yaliyomkuta na kutakiwa mafanikio mema kwenye majukumu yake mengine. Zikazofuata zitakuwa figisu tu ila mchezo utakuwa umeishia hapo.
 
Makonda oyeeeee

Kiongozi anayependwa na wananchi wengi, kuanzia wa humu JF wanaopenda kumrembeshea issues huku wakijua hawalali bila kumuwaza.

Mleta mada kajitokeza na jina lake, nyie mnaopinga fanyeni hivyo pia. Naona ameandika kiujanja janja fulani eeeeh Makonda.
 
You are wrong! Jamaa ataandika (yeye mwenyewe?) barua ya kujiuzulu ili "kupisha uchunguzi". Ombi lake litakubaliwa kisha atashukuriwa kwa kazi nzuri na kujitoa kwake mhanga hata kuhatarisha maisha yake kupambana na biashara haramu na hatari. Mwisho atapewa pole kwa masaibu yaliyomkuta na kutakiwa mafanikio mema kwenye majukumu yake mengine. Zikazofuata zitakuwa figisu tu ila mchezo utakuwa umeishia hapo.

Duh si usahihishe kama vile unaona amejibu swali la mtihani na kumpatia maksi zake, ujipunguzie hasira.

Makonda oyeee
 
Ukiusikiliza vizuri wimbo wa mwimbaji wa nyimbo za dini, Christiana Shushu "Kwa Neema Tu" utaelewa na kuamini Mungu yupo jana, leo, kesho na ata milele.

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ya Tanzania, Bw Gerson Msigwa ametoa taarifa kwa Waandishi wa habari na umma wa watanzania leo tarehe 04/03/2016 Jumamosi, juu ya uamuzi wa Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakutengua cheo cha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Christian Makonda, kisha nafasi yake kuchukuliwa na Mh Marzuku Salum atakayeanza kazi baada ya kuapishwa na Mh. Rais akitoka ziarani Lindi.

Uamuzi wa kutengua nafasi yake umekuja baada ya kujiridhisha na kugundulika, Mh. RC ana cheti cha daraja la mwisho (Division 0) alichokipata baada ya kuhitimu elimu yake ya kidato cha nne mkoani Mwanza, pia amegundua Mh. RC anatumia majina yasio yake halisi kwa muda mrefu kwenye masomo na majukumu, kosa lingine ni kutangaza wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya Dar es Salaam hadharani bila kufata sheria, na makosa kadha wa kadha aliyoyasoma kwenye mitandao ya kijamii.

Hii imekuja baada ya vijana makini na wanaoshinda mitandaoni muda wote kuona hayo na kumshauri Mh. Rais kufanya uamuzi huo, huku Askofu makini kuliko wote akichochea hali ya kuonesha uhalisia wa Mkuu wa Mkoa kutumia jina lisilo lake, pamoja nakutamka hadharani kuwa yeye Askof ana cheti cha Makonda cha daraja la mwisho kidato cha nne toka Pamba Sekondari kilichotolewa na NECTA, vyote hivi vilimfanya Mh. Rais kutengua nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Watu wamefulahishwa sana na uamuzi huo wa kuondolewa Mkuu wa Mkoa huyu, kwani aliendesha operasheni ya kukamatwa kwa kutangaza watumiaji na wauza madawa ya kulevya Dar es Salaam mpaka "untouchable figure", pia amealibu sana biashara za watu kama shisha, bange, viroba na madawa, miradi hewa ya serikali za mitaa kazuia, lakini amekimbiza watu nchini wakihofia kukamatwa baada ya kuwataja wanauza unga, na amefanya fujo za watu kutumia na kuuza unga zimepungua kabisa Dar, mwisho amesababisha kukosekana kwa mateja wa unga Dar kwa kasi ya zamani.

Sasa Makonda atakabidhi ofisi yake kesho kwa maafisa wa Ikulu mpaka aliyechukua nafasi yake kuhapishwa.

Aha! Teh teh Kumbe naota ndoto mpurula ya vuta nkuvute yenye usingizi wa pono, huku ubongo wa kumbukumbu ukiwa umezima kabisa, nilishituka nakujikuta nikiwa chini ya kitanda baada ya kukoloma sana kisha kupolomoka.

HII JUU NI NDOTO TU!

Tunajifunza nini hapo juu kwenye ndoto hii, kama ingekuwa kweli na hakika watu wangefulahishwa sana bila wao kupata wala kuongeza chochote kwenye maisha yao.

Watu wa mitandao ya simu wangeuza sana vocha na bando juu ya watu kupeana taarifa hii, wauza unga wangechekelea sana mpaka sherehe, wanasiasa wa mitandaoni wangepata "Comments na Like" nyingi sana na mambo mubashara mengi tu mpaka tungesahau kama mafuta sasa yamepanda bei, kama Ben Saanane hayupo, kama Lema katoka sasa, Mvua kama zinanyesha sana na mambo ya kimaendeleo.

Lakini watu wema wanaopenda Taifa hili wangesikitika na kulia saaaana.

Sasa tumeamisha gia toka operasheni ondoa wauza unga na watumiaji unga Dar, na kutaka vyeti na uhalali wa majina ya Paul Christian Makonda, ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, operasheni ya kutaka vyeti vyake na jina lake inaendeshwa kupitia mitandao ya kijamii kwa kasi ya 4G Ha ha ha ha!

Sote tunataka kuona vyeti, tumesahau mazuri yake, tunawaza mabaya yake tu mpaka sasa kisa ametugusa, ametualibia dili zetu na mambo yetu ya mahaba niue.

Tunataka vyeti vyake havioneshe kwa umma wa watanzania, wakati huo huo tunashangilia na kushahau kuwa Askofu Gwajima amesema anavyo vyeti vyake RC tena cha kidato cha nne kina daraja la mwisho (Division 0) kabisa, sikumbuki kama NECTA kuna mwaka walitoa vyeti vywa ziro?

Tuachane na Makonda tumuombe Gwajima aweke cheti alichonacho hadharani, badala ya kusema Makonda aweke cheti huku mwenye nacho sasa anajulikana ni Gwajima hili mchezo tumalize kweupe kabisa dakika hii ya 62.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM.

Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam yupo kwa mujibu wa sheria za nchi, kupitia kifungu 61(4) na (5) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vifungu 5, 6 na 7 vya Sheria ya Tawala za Mikoa Na. 19 ya 1997.

Mkuu wa Mkoa ana wajibu wa kusimamia kazi na shughuli zote za Serikali ya Muungano wa Tanzania katika mkoa wa Dar es Salaam. Natakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge.

Kwenye ofisi yake pale Boma kuna mtekelezaji mkuu wa Serikali (Katibu Tawala wa Mkoa) sambamba na watumishi wasiozidi 83

Huyu ndio Mkuu wa Mkoa na ofisi yake kiujumla, sifa zake zikiwa ni kusoma na kuandika vizuri kama kiongozi, lakini busara za mamlaka ya uteuzi uweka elimu au uelewa kama kipaombele.

Pia anafanyakazi zake chini ya Sheria zinazotaja majukumu yake kama sita (6) hivi mpaka sasa.

PAUL CHRISTIAN MAKONDA

Kwa mujibu wa historia yake, amezaliwa tarehe 15/02/1982 huko Kolomije wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza, katika Zahanati ya Kolomije siku ya Jumatatu saa 1:30 Asubuhi, ni mtoto wa kipekee wa kiume katika familia ya Mzee Makonda na Bi. Suzan.

Amesoma shule ya msingi ya Kolomije, sekondari huko Mwanza na kisha kwenda chuoni Mbegani kusomea Uvuvi mjini Bagamoyo, Pwani kwa cheti na Diploma kisha Chuu Kikuu cha Ushirika Moshi kwa shahada, mkoani Kilimanjaro.

Ni mwanasiasa kupitia chama cha mapinduzi (CCM), amekuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, na sasa ndio Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

DAUD ALBERT BASHITE

Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii na watoa tuhuma za kuiba jina la Paul Christian Makonda huyu bwana Daud Albert Bashite, kwamba Daud alizaliwa tarehe 15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

Alisoma shule ya msingi huko kijijini, mwaka 1991 alifeli darasa la 4 akarudia, alimaliza darasa la saba na kujiunga na shule ya Pamba Sekondari Mwanza kisha kupata daraja la mwisho kabisa, mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi Mwanza kwa Cheti na Mbegani kwa Diploma kisha Chuo cha Ushirika kwa shahada.

Alimaliza chuo mwaka 2012 kwa majina ya Paul Christian Makonda.

Hii ndio sintofahamu ya majina sahihi ya RC wa Dar, kwani vinakinzana na uhalisia wa yeye anachosema kama historia yake na watoa tuhuma, kwa kuangalia watu wawili Paul Christian Makonda na Daud Albert Bashite.

VYETI VYWA MAKONDA HUYU!

Wadukuzi na watoa tuhuma wanasema cheti chake cha kidato cha nne kina majina ya Paul C. Muyenge, na vingine vina Paul C. Makonda baada ya kuhapa mahakamani kuogeza jina la Makonda.

Ukiangalia hizi ni hoja kinzani sana, leo tunaomba Mh. aweke vyeti vywake mezani? Sindio?

Je ni nani ata vihakiki kama ni halali au sihalali? NECTA au nani?

Je NECTA simnasema viongozi wao uteuliwa na CCM na kusahau kama ni ofisi ya Rais? Kisha kusahau kama ni Taasisi huru?

Je huko NACTE, TAFIRI, MBEGANI, MCU, Koromoje Shule si ya serikari? Watatoa taarifa sahihi kama tunavyotaka? Nani atawauliza? Wana kasima ya kutunza kumbukumbu vizuri?

Je akilete leo au kuweka kwenye mitandao mtamini vip kama ni vyenyewe au si vyenyewe?

Je unazani sifa za mkuu wa mkoa ni elimu ya darasani? au uelewa wa majukumu yake?

Je tunataka vyeti? au tunataka nafasi yake atumbuliwe?

Je Pamba Sekondari ipo mbinguni mpaka mshindwe kuweka matokeo yake hapa?

Je mnadhani hii ya kutaka elimu yake na majina ndio chachu ya kufukuza wauza unga na watumiaji unga Dar?

Je Makonda Mkuu wa Mkoa, amesoma huko Mbegani? Nyegezi? Moshi? Kama ni kweli shida ni ipi wakati yeye kasoma huko mpaka shahada? Kama kidato cha nne alipata ziro? je alijiungaje na elimu ya Cheti? Kama alinunua cheti je huyo aliyeuza cheti yupo wapi? Na alilipwa sh ngap? Na je huyu tunayemuona sasa kasoma mpaka shahada ya kwanza Moshi?

Hapa naona ugumu wa kuamini yeye au nyie mnaotaka cheti chake, kikubwa tufunge mjadala tumuachie Mh. Rais uamuzi wa kuona anavyoona kupitia vyombo vywake vywa ushauri na maamuzi.

Tufanye kazi kujenga Taifa la mama Tanzania, "ukiuza toa risiti na ukinunua omba risiti"

KWA HILI MH. RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ANATAKIWA?

Rais ni mtu makini sana, tunajaribu kumlisha maneno kupitia maisha yetu binafsi na Mkuu wa Mkoa.

Najua nimpenzi wa mitandao ya kijamii na Magazeti, naamini haendeshwi na matamko ya kwenye mitandao, tumpe muda wa yeye kufanya atakaloamua juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, sisi tupige kazi na kulipa kodi.

Tuendele na mazuri anayoyapigania Dar es Salaam, kama kufukuza wauza unga na watumiaji wa madawa ya kulevya wote, wauza shisha, ombaomba kwenye mataa ya magari, miradi mizuri mbalimbali na mazuri mengi anayofanya.

Tumutenganishe yeye na cheo chake, tutaenda vizuri sana kwani sote ni wamama moja Tanzania.

USHAURI.

Nimemkumbuka sana Bwana Suleiman Mchama rafiki yangu, siku moja alikuwa akitokea Kongowe Mbagala kwenda Kigamboni, akiwa anaendelea na safari yake kwa gari lake binafsi.

Mbele kidogo alikutana na mtoto wa shule kwa kumuangalia tu ni mchafu akitoka shule, kijana alimpiga mkono dereva kwa lengo la kuomba lift alisimama na kumpakia.

Wakiwa wanaelekea na safari yao ghafula gari lilizima kabisa, Mchama alijua ni mafuta ndio tatizo alimpatia pesa na dumu la mafuta yule kijana akachukue Kongowe Kituo cha Mafuta ni hatua kiasi kutoka pale.

Muda kiasi kijana akarudi na kuweka mafuta kwenye gari, gari haikuwaka na kumfanya Mchama kuchanganyikiwa zaidi huku kijana akiwa amesimama pembezoni mwa gari akimtazama kwa jicho la huruma rafiki yangu.

Kijana alishika boneti ya gari na kuanza kukagua kwenye injini tatizo, kisha kumwambie aingia kwenye gari awashe, Mchana alipata mshangao mkubwa kwani gari liliwaka.

Waliendelea na safari kwa upendo na fulaha ingawa kijana alikuwa mchafu sana huku gari lake likiwa safi.

Vyeti sio sifa za kuwa Mkuu wa Mkoa. Majina halisi ya Viongozi wengi ni majanga tu hasa waliosoma miaka ya 2000 kushuka chini, na wapo kila ofisi za chama na ofisi mbalimbali

Tuimize sana Askof Gwajima aweke cheti mezani cha Paul Makonda huyu kwani kasema anacho, na NECTA utoa cheti kimoja tu kama Gwajima anacho basi Makonda huyu hana kabisa lakini cha daraja la mwisho (Division 0) sijui kama kipo kweli? Tuombe sana tukione sasa.

Tumpe nafasi kijana wetu Paul Christian Makonda kufanyakazi kwa mujibu wa sheria mpaka pale mteule wake akiona ametenda makosa au hafai na kumtumbua kweupe kwa utaratibu au kumpa majukumu mengine.

Mvua inanyesha sasa nchi nzima ni Neema hii, tuitumie kuliko kushinda kwenye mitandao ya kijamii 24/07.

Mwisho.
Kweli hiyo ni ndoto. Hivi ukipata Div 0 form four unapewa cheti?
 
Riwaya ya kufunga mjadala? Au zoezi la uhakiki wa vyeti Nchini ni kwa wanyonge tu?
 
Uongozi haupo hivyo, sio kila unachosikia unakurupuka kutoa maamuzi. Uongozi mzuri ni lazima ujiridhishe kitakwimu na kivielelezo na ushahidi wa kutosha ndio utoe hukumu, hauwezi kutoa hukumu kwa kuangalia tu hisia za watu juu ya mtu fulani. Kama ikijiridhisha na kelele za humu itachukua hatua. Ila fahamu hatuwezi kumlazimisha mkuu aamue kama tunavyotaka ili atufurahishe
 
Riwaya ya kufunga mjadala? Au zoezi la uhakiki wa vyeti Nchini ni kwa wanyonge tu?
 
Matendo ya Mungu ni makuu na ya ajabu sana. Why? Mh Rais wakati wa kampeni alizunguka nchi nzima hii kuomba kura. Moja ya kauli aliyo iongea kwa dhati ya moyo wake ni hii, "msema kweli mpenzi wa Mungu" Wananchi wakanuamini wakamchagua na akawa Rais wa JMT.

Takribani mwaka mmoja na ushee haiingii akilini kuwa atakuwa kaisahau hii kauli. Ukweli kuhusu hili suala la vyeti vya ndugu yetu mkuu wa mkoa utajidhihiri tu hata iweje kama si leo basi kesho.

Wala haingia akili na haiwezekani kwa mtu mwenye dhamana ya urasi, mwenye hofu ya Mungu, anaye jihimiza yeye mwenyewe na wananchi wake kumtanguliza Mungu kwa kila jambo eti leo aje kupotezea suala la vyeti vya mmoja wa wateule wake linalo sambaa katika jamii kama moto wa nyasi kavu nyikani. Narudia haiwezekani na haingii akilini kwa walio na akili timamu.

Na washawasha!

Ukiusikiliza vizuri wimbo wa mwimbaji wa nyimbo za dini, Christiana Shushu "Kwa Neema Tu" utaelewa na kuamini Mungu yupo jana, leo, kesho na ata milele.

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ya Tanzania, Bw Gerson Msigwa ametoa taarifa kwa Waandishi wa habari na umma wa watanzania leo tarehe 04/03/2016 Jumamosi, juu ya uamuzi wa Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakutengua cheo cha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Christian Makonda, kisha nafasi yake kuchukuliwa na Mh Marzuku Salum atakayeanza kazi baada ya kuapishwa na Mh. Rais akitoka ziarani Lindi.

Uamuzi wa kutengua nafasi yake umekuja baada ya kujiridhisha na kugundulika, Mh. RC ana cheti cha daraja la mwisho (Division 0) alichokipata baada ya kuhitimu elimu yake ya kidato cha nne mkoani Mwanza, pia amegundua Mh. RC anatumia majina yasio yake halisi kwa muda mrefu kwenye masomo na majukumu, kosa lingine ni kutangaza wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya Dar es Salaam hadharani bila kufata sheria, na makosa kadha wa kadha aliyoyasoma kwenye mitandao ya kijamii.

Hii imekuja baada ya vijana makini na wanaoshinda mitandaoni muda wote kuona hayo na kumshauri Mh. Rais kufanya uamuzi huo, huku Askofu makini kuliko wote akichochea hali ya kuonesha uhalisia wa Mkuu wa Mkoa kutumia jina lisilo lake, pamoja nakutamka hadharani kuwa yeye Askof ana cheti cha Makonda cha daraja la mwisho kidato cha nne toka Pamba Sekondari kilichotolewa na NECTA, vyote hivi vilimfanya Mh. Rais kutengua nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Watu wamefulahishwa sana na uamuzi huo wa kuondolewa Mkuu wa Mkoa huyu, kwani aliendesha operasheni ya kukamatwa kwa kutangaza watumiaji na wauza madawa ya kulevya Dar es Salaam mpaka "untouchable figure", pia amealibu sana biashara za watu kama shisha, bange, viroba na madawa, miradi hewa ya serikali za mitaa kazuia, lakini amekimbiza watu nchini wakihofia kukamatwa baada ya kuwataja wanauza unga, na amefanya fujo za watu kutumia na kuuza unga zimepungua kabisa Dar, mwisho amesababisha kukosekana kwa mateja wa unga Dar kwa kasi ya zamani.

Sasa Makonda atakabidhi ofisi yake kesho kwa maafisa wa Ikulu mpaka aliyechukua nafasi yake kuhapishwa.

Aha! Teh teh Kumbe naota ndoto mpurula ya vuta nkuvute yenye usingizi wa pono, huku ubongo wa kumbukumbu ukiwa umezima kabisa, nilishituka nakujikuta nikiwa chini ya kitanda baada ya kukoloma sana kisha kupolomoka.

HII JUU NI NDOTO TU!

Tunajifunza nini hapo juu kwenye ndoto hii, kama ingekuwa kweli na hakika watu wangefulahishwa sana bila wao kupata wala kuongeza chochote kwenye maisha yao.

Watu wa mitandao ya simu wangeuza sana vocha na bando juu ya watu kupeana taarifa hii, wauza unga wangechekelea sana mpaka sherehe, wanasiasa wa mitandaoni wangepata "Comments na Like" nyingi sana na mambo mubashara mengi tu mpaka tungesahau kama mafuta sasa yamepanda bei, kama Ben Saanane hayupo, kama Lema katoka sasa, Mvua kama zinanyesha sana na mambo ya kimaendeleo.

Lakini watu wema wanaopenda Taifa hili wangesikitika na kulia saaaana.

Sasa tumeamisha gia toka operasheni ondoa wauza unga na watumiaji unga Dar, na kutaka vyeti na uhalali wa majina ya Paul Christian Makonda, ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, operasheni ya kutaka vyeti vyake na jina lake inaendeshwa kupitia mitandao ya kijamii kwa kasi ya 4G Ha ha ha ha!

Sote tunataka kuona vyeti, tumesahau mazuri yake, tunawaza mabaya yake tu mpaka sasa kisa ametugusa, ametualibia dili zetu na mambo yetu ya mahaba niue.

Tunataka vyeti vyake havioneshe kwa umma wa watanzania, wakati huo huo tunashangilia na kushahau kuwa Askofu Gwajima amesema anavyo vyeti vyake RC tena cha kidato cha nne kina daraja la mwisho (Division 0) kabisa, sikumbuki kama NECTA kuna mwaka walitoa vyeti vywa ziro?

Tuachane na Makonda tumuombe Gwajima aweke cheti alichonacho hadharani, badala ya kusema Makonda aweke cheti huku mwenye nacho sasa anajulikana ni Gwajima hili mchezo tumalize kweupe kabisa dakika hii ya 62.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM.

Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam yupo kwa mujibu wa sheria za nchi, kupitia kifungu 61(4) na (5) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vifungu 5, 6 na 7 vya Sheria ya Tawala za Mikoa Na. 19 ya 1997.

Mkuu wa Mkoa ana wajibu wa kusimamia kazi na shughuli zote za Serikali ya Muungano wa Tanzania katika mkoa wa Dar es Salaam. Natakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge.

Kwenye ofisi yake pale Boma kuna mtekelezaji mkuu wa Serikali (Katibu Tawala wa Mkoa) sambamba na watumishi wasiozidi 83

Huyu ndio Mkuu wa Mkoa na ofisi yake kiujumla, sifa zake zikiwa ni kusoma na kuandika vizuri kama kiongozi, lakini busara za mamlaka ya uteuzi uweka elimu au uelewa kama kipaombele.

Pia anafanyakazi zake chini ya Sheria zinazotaja majukumu yake kama sita (6) hivi mpaka sasa.

PAUL CHRISTIAN MAKONDA

Kwa mujibu wa historia yake, amezaliwa tarehe 15/02/1982 huko Kolomije wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza, katika Zahanati ya Kolomije siku ya Jumatatu saa 1:30 Asubuhi, ni mtoto wa kipekee wa kiume katika familia ya Mzee Makonda na Bi. Suzan.

Amesoma shule ya msingi ya Kolomije, sekondari huko Mwanza na kisha kwenda chuoni Mbegani kusomea Uvuvi mjini Bagamoyo, Pwani kwa cheti na Diploma kisha Chuu Kikuu cha Ushirika Moshi kwa shahada, mkoani Kilimanjaro.

Ni mwanasiasa kupitia chama cha mapinduzi (CCM), amekuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, na sasa ndio Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

DAUD ALBERT BASHITE

Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii na watoa tuhuma za kuiba jina la Paul Christian Makonda huyu bwana Daud Albert Bashite, kwamba Daud alizaliwa tarehe 15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

Alisoma shule ya msingi huko kijijini, mwaka 1991 alifeli darasa la 4 akarudia, alimaliza darasa la saba na kujiunga na shule ya Pamba Sekondari Mwanza kisha kupata daraja la mwisho kabisa, mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi Mwanza kwa Cheti na Mbegani kwa Diploma kisha Chuo cha Ushirika kwa shahada.

Alimaliza chuo mwaka 2012 kwa majina ya Paul Christian Makonda.

Hii ndio sintofahamu ya majina sahihi ya RC wa Dar, kwani vinakinzana na uhalisia wa yeye anachosema kama historia yake na watoa tuhuma, kwa kuangalia watu wawili Paul Christian Makonda na Daud Albert Bashite.

VYETI VYWA MAKONDA HUYU!

Wadukuzi na watoa tuhuma wanasema cheti chake cha kidato cha nne kina majina ya Paul C. Muyenge, na vingine vina Paul C. Makonda baada ya kuhapa mahakamani kuogeza jina la Makonda.

Ukiangalia hizi ni hoja kinzani sana, leo tunaomba Mh. aweke vyeti vywake mezani? Sindio?

Je ni nani ata vihakiki kama ni halali au sihalali? NECTA au nani?

Je NECTA simnasema viongozi wao uteuliwa na CCM na kusahau kama ni ofisi ya Rais? Kisha kusahau kama ni Taasisi huru?

Je huko NACTE, TAFIRI, MBEGANI, MCU, Koromoje Shule si ya serikari? Watatoa taarifa sahihi kama tunavyotaka? Nani atawauliza? Wana kasima ya kutunza kumbukumbu vizuri?

Je akilete leo au kuweka kwenye mitandao mtamini vip kama ni vyenyewe au si vyenyewe?

Je unazani sifa za mkuu wa mkoa ni elimu ya darasani? au uelewa wa majukumu yake?

Je tunataka vyeti? au tunataka nafasi yake atumbuliwe?

Je Pamba Sekondari ipo mbinguni mpaka mshindwe kuweka matokeo yake hapa?

Je mnadhani hii ya kutaka elimu yake na majina ndio chachu ya kufukuza wauza unga na watumiaji unga Dar?

Je Makonda Mkuu wa Mkoa, amesoma huko Mbegani? Nyegezi? Moshi? Kama ni kweli shida ni ipi wakati yeye kasoma huko mpaka shahada? Kama kidato cha nne alipata ziro? je alijiungaje na elimu ya Cheti? Kama alinunua cheti je huyo aliyeuza cheti yupo wapi? Na alilipwa sh ngap? Na je huyu tunayemuona sasa kasoma mpaka shahada ya kwanza Moshi?

Hapa naona ugumu wa kuamini yeye au nyie mnaotaka cheti chake, kikubwa tufunge mjadala tumuachie Mh. Rais uamuzi wa kuona anavyoona kupitia vyombo vywake vywa ushauri na maamuzi.

Tufanye kazi kujenga Taifa la mama Tanzania, "ukiuza toa risiti na ukinunua omba risiti"

KWA HILI MH. RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ANATAKIWA?

Rais ni mtu makini sana, tunajaribu kumlisha maneno kupitia maisha yetu binafsi na Mkuu wa Mkoa.

Najua nimpenzi wa mitandao ya kijamii na Magazeti, naamini haendeshwi na matamko ya kwenye mitandao, tumpe muda wa yeye kufanya atakaloamua juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, sisi tupige kazi na kulipa kodi.

Tuendele na mazuri anayoyapigania Dar es Salaam, kama kufukuza wauza unga na watumiaji wa madawa ya kulevya wote, wauza shisha, ombaomba kwenye mataa ya magari, miradi mizuri mbalimbali na mazuri mengi anayofanya.

Tumutenganishe yeye na cheo chake, tutaenda vizuri sana kwani sote ni wamama moja Tanzania.

USHAURI.

Nimemkumbuka sana Bwana Suleiman Mchama rafiki yangu, siku moja alikuwa akitokea Kongowe Mbagala kwenda Kigamboni, akiwa anaendelea na safari yake kwa gari lake binafsi.

Mbele kidogo alikutana na mtoto wa shule kwa kumuangalia tu ni mchafu akitoka shule, kijana alimpiga mkono dereva kwa lengo la kuomba lift alisimama na kumpakia.

Wakiwa wanaelekea na safari yao ghafula gari lilizima kabisa, Mchama alijua ni mafuta ndio tatizo alimpatia pesa na dumu la mafuta yule kijana akachukue Kongowe Kituo cha Mafuta ni hatua kiasi kutoka pale.

Muda kiasi kijana akarudi na kuweka mafuta kwenye gari, gari haikuwaka na kumfanya Mchama kuchanganyikiwa zaidi huku kijana akiwa amesimama pembezoni mwa gari akimtazama kwa jicho la huruma rafiki yangu.

Kijana alishika boneti ya gari na kuanza kukagua kwenye injini tatizo, kisha kumwambie aingia kwenye gari awashe, Mchana alipata mshangao mkubwa kwani gari liliwaka.

Waliendelea na safari kwa upendo na fulaha ingawa kijana alikuwa mchafu sana huku gari lake likiwa safi.

Vyeti sio sifa za kuwa Mkuu wa Mkoa. Majina halisi ya Viongozi wengi ni majanga tu hasa waliosoma miaka ya 2000 kushuka chini, na wapo kila ofisi za chama na ofisi mbalimbali

Tuimize sana Askof Gwajima aweke cheti mezani cha Paul Makonda huyu kwani kasema anacho, na NECTA utoa cheti kimoja tu kama Gwajima anacho basi Makonda huyu hana kabisa lakini cha daraja la mwisho (Division 0) sijui kama kipo kweli? Tuombe sana tukione sasa.

Tumpe nafasi kijana wetu Paul Christian Makonda kufanyakazi kwa mujibu wa sheria mpaka pale mteule wake akiona ametenda makosa au hafai na kumtumbua kweupe kwa utaratibu au kumpa majukumu mengine.

Mvua inanyesha sasa nchi nzima ni Neema hii, tuitumie kuliko kushinda kwenye mitandao ya kijamii 24/07.

Mwisho.
 
Utaratibu wa kuchukua passport uko makini sana ndio maana unaambatana na viapo mahakamani, Affidavity za wazazi kukutambua, uhakika wa Uraia wako na mengine mengi. Hili suala la mtu aitwaye Daudi kuja kwenu na viapo na nyaraka za wazazi wake (maana wako hai) na kujiita Paulo kisha nyie mkampa Passport ya Taifa nijuavyo mie ni kosa kubwa sana la jinai na adhabu yake ni kifungo.
Adhabu hiyo sio kwa aliyepewa passport pekee bali hadi kwa wazazi walio toa taarifa za uongo na wadhamini ambao wanajua kuwa muombaji X sio yeye bali ni Y.
Kurudisha heshima ya Idara hiyo jee huyu Daudi na wazazi wake watachukuliwa hatua kwa kuidanganya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuipatia passport ya kusafiria kwa majina ya uongo?
Kazi mnayo, hilo jambo sio siasa ni uhalifu. Na ili watu wasiendelee na tabia hiyo lazima tetesi zilizopo muzifanyie kazi na kuweka hadharani jambo hilo.
Hili halimuhusu DAUDI pekee bali na WAZAZI na WADHAMINI wake. Fanyeni kazi yenu vinginevyo muache hata zile mbwembwe zenu sijui tumeshika wahamiaji haramu vijakazi na manamba mashambani au wachina wauza mahindi Kariakoo
 
Mkuu hao ndio wakubwa wenyewe. Jaribu wewe uone utakavyorukiwa kama mzoga mbele ya fisi
 
Nataka kjua km jumapili hii ya tarehe 5-march 2017 Mchungaji Gwajima atakuwepo kwenye kanisa la ufufuo na uzima Mwenye habari za uhakika anijuze wajemeni nataka nikasikilizu neno
 
Fede Masolwa ,yote uliyoandika haimfutii kosa la jinai la kutumia cheti cha mtu mwingine
Kuna watu wamefungwa na wengine kufukuzwa kazi kwa kosa hilo,je unadhani Bashite yupo juu ya sheria kwa kuwa tuu ametoka Kolomije jirani ya Chatto?
 
mkuu hicho cheti feki umekiona? una evidence zozote au umeamini anachosema "kila mtu mwingine" wewe binafsi umekiona?

yeye ndio katuhumiwa, na mtuhumu ambao ni sisi tuwe na evidence.....matokeo ya jesca magufuli yalipatikana yote....kwa nini huyu?

mi binafsi nimemaliza form four 1995- far way back matokeo yetu. aidha uende shule husika, uyapate magazetini n.k: huyu wa 2000 kweli hayaonekani??

mnaotuona tunataka evidence ni utashi kwa sababu akili zetu ni kubwa haziendani na average Tanzanian! hata kama tunaishi na nyie, wengine IQ zetu zinagoma kuamini kila kitu....

zitakubali vizuri ukiweka evidence hilo tu
Ingekua tuhuma za uongo ninavyomjua bashite mtu wa media ungemuona tayari radio mawingu au TV mawingu akikanusha, kwani issue ya kukanusha vyeti si dk chache tu sasa yeye mbona anachukua mda mrefu? Au ndio wanamsaidia kutengeneza vingine, mimi ninavyo original ukitaka kuviona nitafute
 
Back
Top Bottom