Mchungaji Getrude Rwakatare amrithi marehemu Salome Mbatia


Aibu kubwa, hapa si mahali pa kukata michapo kama hii. Admin please do the needful.
 

Pundamilia,
Sita challenge unachosema. Inawezekana ni kweli kabisa huyu mama anafanya hayo yote unayosema na mengine mazuri zaidi. Lakini pengine wewe unajua shughuli zake za sasa hivi zaidi. Mimi najua alikotoka. Najua toka alivyoanzia kwenye maisha ya one bedroom apt pale Ilala flat mpaka kuwa na nyumba kila mtaa pale mikocheni B. Kifupi ni kwamba, mama Rwakatare amecheza faulo nyingi kufika alipofika. Kibaya zaidi amecheza hizo faulo kwa kupitia kivuli cha "utumishi" wa Mungu. Anachofanya sasa hivi ni ku-turn dirt money into good one. So far so good.
 
Huyu mama kwa sisi wanaomjua kwa karibu, ni mfanyabiashara wa hali ya juu. Ana ma.NGO's kibao ambayo hayalipi ushuru kwa serikali na yanamuwezesha kumapa dollars kibao ili kuyaendesha lakini kinachofanyika ni huyu mama kuendelea kufungua office zake binafsi kila mkoa. Wafadhadili wa shule zake kuna kipindi walilalamika kwamba walishasaidia huyo mama kupitia mashirika hayo ya dini pesa nyingi za kuwezesha kujenga shule bora kwa mikoa mingi ya Tanzania, lakini zinazojulikana ni hizo St.Mary na nyingine sijui zipi. Mama huyu aliwahi hata kumuamuru binti wake aondoke USA arudi TZ kwa ajili ya kuendesha biashara hizi kwa kuwa aliona huku USA anapoteza muda tu. Lakini kumbe alitaka bintiye huyo ataover uongozi wakati yeye anaingilia siasa ili alinde siri zake jinsi anavyotafuna hiyo mipesa.
Kwa uhakika tunamjua sana kuwa ni mama wa mjini ambaye pamoja na kuendeleza udini bado mume wake wa kihaya alimwacha kwasababu mama aliingiliwa na jinamizi la ufusika. Hiyo si issue ila issue ni kwamba biashara+dini+siasa= naomba jibu.
 
Kwa mtiririko wa thread hii, mtazamo wangu mie YNIM.....mama huyu ni mwizi, mwongo,guberi, mwenye uchu wa madaraka na mali,mzushi na mwenye kujificha kwenye kivuli cha dini ili kufanikisha malengo yake........ kwa neno moja mama huyu ni FISADI!!!!.

Hili ndio tatizo la bwana JK, hivi ni kwanini anapenda sana kukumbatia watu waliopinda kimaadili(maadili ya kila namna)??? Mie sijui ndio maana nimeuliza!!!.
 
Kwa uhakika tunamjua sana kuwa ni mama wa mjini ambaye pamoja na kuendeleza udini bado mume wake wa kihaya alimwacha kwasababu mama aliingiliwa na jinamizi la ufusika

Yote tisa, hapa tu ndio kumi, maana hata Kigogo anayejifua naye tunamjua ndio maana amepewa tu bure, tena inashangaza kuwa imemchukua muda mrefu hivi, labda huyo kigogo alikuwa hamuamini huyu mama!
 

JF kiboko, jamani sielewi elewi hapo inamaana huyu mama anayeongoza kondoo wa bwana kwenye ile department naye anatisha? Wekeni wazi basi anajirusha na KIGOGO yupi? na lile umbile lake nadhani sasa atapasuka kama mwenzake Mkapa..
 
Field Marshal ES
Taratibu mkuu. Hii ya mh mbunge dr. mchungaji kujirusha na kigogo nadhani ulikuwa anatania, tu au siyo mzee? Maana siwezi ku-imagine yule mama anawezaje kujirusha!
 
jamani hilo la kujirusha kama binadamu ni kawaida ..ili mradi hachukui mabwana za watu..anyway ingekuwa mfano bora kama mtumishi wa bwana akirudiana na mume wake..kwa kuwa hatumuelewi..kama hana mume na ni binadamu mwenye hisia ..hatachelewa kujirusha na dereva au..anyway kafanya kosa kubwa sana atakalojutia kujiunga siasa..unajua kumuumbuua mtumishi wa mungu inataka moyo ...lakini ukija kwenye anga za kisiasa tutakuchambua kama mwanasiasa ..utumishi wako tunaweka kando...hatukuangalii usoni!!!!
 
The next question ni je huyu mama RWAKATARE hatotumia nafasi yake kama mchungaji kundeleza UDINI kwenye mamabo ya kiserikali?

Je SHEIKH MBUKUZI au PONDA ISSA PONDA au SHEIKH BAWAZIR nao wakiteuliwa JF itakuwa kimya namna hii?


Inamaana kulikuwa hakuna akinamama wengine ambao wnanafasi ya kielimu na kadhalika mpaka ateuliwe huyu PADRE?

Something is wrong with our country na hasa pale tunapoteua ma religious fanatics ndani ya Serikali

Hii inatisha na nasubiri kwa hamu nakala ya MWNAKIJIJI kuhusu hili
 
JF ama kweli ni kiboooookooooo hata usalama wa taifa naona hawana data za watu kama humu......hasa watu maaruf!!!!mwee kina sie tusiojulikana ni bora tuendelee kuwa chini tuuu as siku ukiibuka tuu file lachimbuliwa hata sijui data huwa zatoka wapi
 
Taratibu mkuu. Hii ya mh mbunge dr. mchungaji kujirusha na kigogo nadhani ulikuwa anatania, tu au siyo mzee? Maana siwezi ku-imagine yule mama anawezaje kujirusha!

Hamna siri ya watu wawili mkuu wangu, na hapa mjini wala sio siri labda huko majuu!
 

Hili swala la kujivinjari na "mkubwa" kwa kweli silijui. Ninachojua kuwa enzi hizo (wakati kanisa lake bado changa) kulikuwa na tetesi kwamba alikuwa na katibia ka kulala na baadhi ya waumini wake. Kulikuwa na dereva wake mmoja alikuwa anaitwa Adam. Inasemekana huyu dereva, sio tu alijua siri za michongo yote ya huyu mama, bali pia alikuwa anapata mchezo kiainaa,

Kuhusu suala la kurudiana na mzee Rwakatare, sidhani kama ingewezeka. Huyo mzee alisha move on. Baada ya kuachana na mchungaji, alivuta kimwana mwingine na kuendeleza uongezaji wa population ya TZ.
 

mzee kabla ya waumini wake alianza na yule dereva wake ADAM ambaye aliona isiwe tabu bure na akamua kuuacha na huo UISLAM wake baada ya kupata akili ya kuachana na dini inayokataza mambo ya kula kiti moto na mengineyo aliyekuwa anaendesha ile TOYOTA HILUX double Cabin ya Njano au blue kama sikosei hii haina siri hata kidogo

Yote hayo tisa mimi bado namvyulia kofia yule mama kwa ku HUSTLE hivi unajua hata mama yale NAMBUA (RITA MLAKI) haoni ndani pale?

Kwa msie mjua mama mwenyewe huyu hapa:




na siku za nyuma huyu mama aliwahi kufunguliwa kesi na NSSF

Employer sued for failure to remit NSSF deductions
 
Jamani kwa sasa anajirusha na yule aliyekuwa mwenye Silent Club pale Mwenge ambaye pia ni muumini mmojawapo wa kanisa lake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…