Mchungaji Faustine Munishi: Yanayofanyika Chato, Butiama inasikitika...

NIDA ndo babalao tunaanza kumhoji kwanza uraia wake,pengine ni mjaluo au mkikuyu
Hapa umenichokoza !! Katika makabila 120 ya Tanzania wajaluo hawamo ?!. Kama huwakubali wape na wilaya zao mbili (Tarime & Rorya) waende nazo
 
Madikteta ndivyo walivyo Mkuu kaiba Tausi Ikulu kuwapeleka hotelini kwake na si ajabu hiyo hoteli yake imejengwa na pesa za walipa kodi alizokwapua Ikulu 2.4 trillions alizogomea uchunguzi huru kufanyika na CAG Assad au kamati huru au zile $495 millions alizokwapua Ikulu bila idhini ya Bunge na kugomea CAG afanye audit.

Kwanini agomee uchunguzi huru au audit kama hakutenda maovu kwenye matrillions hayo Mkuu!? Tafakari kwa kina Mkuu. Hakuna yeyote tangu nchi ipate uhuru aliyewahi kuwaibia Watanzania pesa nyingi sana kama huyo nduli, dikteta na MUUAJI wa Ikulu. We are talking about trillions of shillings of the taxpayers’ money.

Ngosha anapeleka kodi zetu zote kujenga kwake.
 
Mwalimu Nyerere ambaye pia ni Baba wa Taifa hili na Kiongozi aliyeliongoza Taifa hili kwa takribani miaka 26 anapoinua macho yake na kuitazama CHATO ya Magufuli anasikitika na kushindwa kupumzika kwa amani ndani ya kaburi lake.

Licha ya Mwalimu Nyerere kuwa Rais wa Tanganyika na baadae Tanzania kwa miaka hiyo yote aliitazama Tanzania kama nchi na kuleta juhudi kuijenga Tanzania nzima bila upendeleo wa aina yoyote. Hakuiweka Butiama mbele zaidi kuliko Nachingwea, Namtumbo au Kishumundu.

Mwalimu Nyerere angetaka Butiama iwe paradiso ya Tanzania angeweza kufanya hivyo. Mwalimu Nyerere angetaka makao makuu ya Tanzania, Bunge, Ikulu vikae Butiama angeweza.
Angetaka Butiama kuwe na uwanja wa Kimataifa wa kutua Concord na Antonov angeweza.

Mwalimu Nyerere angetaka makao makuu ya Shirika la Posta na ATLC yawe Butiama angeweza kufanya hivyo.

Hata angetaka mitaa, vijiji na vitongoji vya Butiama viwe na barabara za lami na taa za kuongozea magari hadi Mwitongo angeweza kufanya hivyo.
Lakini Mwalimu Nyerere alifahamu kuwa yeye sio Rais wa Butiama bali ni Rais wa Tanzania. Hakuipendelea Butiama aliweka mgawanyo sawa wa shughuli za maendeleo hata kama haikuwa 100% lakini walau aliweza hilo kwa zaidi ya 90%.

Daniel Yona alipokuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Same mkoani Kilimanjaro wananchi wa same waliwahi kumuambia kuwa kwa nini hawaletei maji, umeme na barabara za lami hadi Vijijini ilihali yeye ni Waziri wa Fedha? Daniel aliwajibu kuwa yeye ni Waziri wa Fedha wa Tanzania nzima na wala sio Waziri wa Fedha wa Same hivyo hawezi kudhulumu maeneo mengine ili kuinufaisha Same.

Daniel Yona angetaka kutumia nafasi yake kama Waziri wa Fedha kuipendelea Same kwa gharama za kudhulumu maeneo mengine angeweza. Daniel pamoja na mapungufu yake mengine alitambua kuwa yeye ni Waziri wa Fedha wa Tanzania nzima na siyo Same.

Mwalimu Nyerere alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania nzima na sio Rais wa Butiama.

Benjamin Mkapa alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania na siyo Rais wa Masasi Mtwara.

Jakaya Kikwete alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania na sio Rais wa Bagamoyo pekee.

Cleopa David Msuya alitambua kuwa yeye ni Waziri wa Fedha, Waziri wa Viwanda na Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio wa Mwanga Kilimanjaro pekee. Alilifahamu hilo na alilisimamia.

Edward Moringe Sokoine alitambua kuwa yeye ni Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio Monduli pekee.

Alilisimamia hilo na alikuwa mkali kweli kweli kuhakikisha hakuna upendeleo.
Fredrick Sumaye alitambua kuwa yeye ni Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio Hanang' pekee.

Sasa leo najiuliza kunani CHATO?CHATO kuna nini?

Hadi sasa Magufuli amekuwa Rais wa Tanzania kwa takribani miaka 4 pekee lakini ndani ya miaka hiyo 4 kijiji chake cha CHATO sasa hivi kinazidi mikoa mingi sana. Miradi mingi, mikubwa inakimbiziwa huko CHATO.

Machi 9, 2018 Rais Magufuli alifungua tawi la CRDB, CHATO Kijiji cha Kilimani alipozaliwa.

June 2016 Serikali ilianza rasmi kujenga uwanja wa ndege ambao leo hii Kigwangala amesema Rais Magufuli amesema uwe uwanja wa Kimataifa, hivyo utaitwa uwanja wa kimataifa wa CHATO kwa kimombo CHATO International Airport.

June 2, 2019 Serikali ilipandisha hadhi Pori la akiba la Burigi lililopo huko kijijini CHATO kuwa hifadhi ya taifa ya Burugi na kwa kuwa hakukuwa na hadhi ya kuwa hifadhi ya Taifa wanyama mbali mbali wakiwemo Twiga wakasafirishwa kwa magari kupelekwa CHATO.

Mwaka jana 2018 uwekaji wa taa za kuongoza magari ulikamilika huko kijiji cha CHATO. Na siku hii ya leo Serikali imesema itajenga uwanja mkubwa wa mpira huko CHATO. Uwanja huo unatajwa kuwa utakuwa wa Pili kwa ukubwa nchini baada ya ule wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam lakini utakuwa wa kwanza wa kisasa zaidi nchini.

Dikteta uchwara Mobutu wa Zaire aliponyakua madaraka kwa mabavu alijenga uwanja wa Kimataifa kijijini kwako. Uwanja huo ulikuwa una uwezo wa kutua ndege kubwa aina ya Concord. Kijiji chake alikijenga na kuwa paradiso ya Congo.

Mobutu aliamrisha kuwekwe Hifadhi ya wanyamapori kijijini kwake. Akajenga jumba la kifahari kijijini kwake msituni.
Ndege za kifahari zikatua kijijini kwake kutoka Ulaya na Marekani na kupora mali za Zaire kimya kimya.

Dikteta uchwara Mobutu alipokufa vitu vyote hivyo vilizikwa katika kaburi la sahau na kijiji chake kimesalia mahame. Hata ile Meli yake ya kifahari aliyozunguka nayo mto Congo haipo tena.

Kesho ni nzuri kuliko jana. Mwalimu Nyerere aliupinga ubaguzi na upendeleo si kwa maneno tu bali kwa vitendo. Aliuhubiri na kuuishi uzalendo. Hakuishia kuuimba uzalendo.
Mchungaji Munishi, Shayo, Tilya, Masawe, Kuwese, Lyimo, Ndesamburo, Munuo wote wanasikitika. Tuwaunge mkono, kwa sababu hakuna sehemu yoyote ya Tanzania inapaswa kuendelea haraka! Hawa watu walilala sasa kwanini wana amka?
 
Huo ndo ukweli japo unauma
Munishi Munishi kumbuka ya Nuhu ya shemu ,hamu na Japhet.Nuhu hata Kama alilewa hakutakiwa kuumbuliwa na kuchekwa unajua kikichomkuta mtoto aliyecheka na kusema baba Yuko uchi? Biblia inasema waheshimu baba yako na mama yako uwe na siku nyingi na zenye heri duniani bila kujali wazazi wako Ni walevi wasiomcha Mungu au la. , Wana kasoro au la.Munishi Wasukuma Ni wazazi wako waliokufikisha hapo ulipo umegoma kuwaheshimu rungu la Mungu litatua juu yako
 
Baada ya "kuihamisha" Burigi national park na kuibatiza jina jipya la Burigi-Chato, sasa imebaki kuhamishia huko Ziwa Victoria, Mlima Kilimanjaro, Bandari ya Mtwara na kila kivutio kikuu. Lazima tu ule uwanja ulazimike kuwa justified ila kila hatua anayopiga ndivyo anavyozidi kuharibu. Ndio hatukatai "kusambaza" maendeleo kwenye pembe za Nchi ila kasi hii kuelekea pande za Burigi-Chato sio za kawaida. Imagine Nyerere na yeye angefanya hivi, sasa hivi Butiama si ingekuwa jamhuri nyingine kabisa?
Kama hujui geografia ya Nchi yako heri usiandike maana hapa unajidhalilisha. Hujui Chato na Ziwa victoria kuna umbali gani? Kwa taarifa Pwani ya Ziwa Victoria ndipo ulipo mji wa Chato.
 
Mwalimu Nyerere ambaye pia ni Baba wa Taifa hili na Kiongozi aliyeliongoza Taifa hili kwa takribani miaka 26 anapoinua macho yake na kuitazama CHATO ya Magufuli anasikitika na kushindwa kupumzika kwa amani ndani ya kaburi lake.

Licha ya Mwalimu Nyerere kuwa Rais wa Tanganyika na baadae Tanzania kwa miaka hiyo yote aliitazama Tanzania kama nchi na kuleta juhudi kuijenga Tanzania nzima bila upendeleo wa aina yoyote. Hakuiweka Butiama mbele zaidi kuliko Nachingwea, Namtumbo au Kishumundu.

Mwalimu Nyerere angetaka Butiama iwe paradiso ya Tanzania angeweza kufanya hivyo. Mwalimu Nyerere angetaka makao makuu ya Tanzania, Bunge, Ikulu vikae Butiama angeweza.
Angetaka Butiama kuwe na uwanja wa Kimataifa wa kutua Concord na Antonov angeweza.

Mwalimu Nyerere angetaka makao makuu ya Shirika la Posta na ATLC yawe Butiama angeweza kufanya hivyo.

Hata angetaka mitaa, vijiji na vitongoji vya Butiama viwe na barabara za lami na taa za kuongozea magari hadi Mwitongo angeweza kufanya hivyo.
Lakini Mwalimu Nyerere alifahamu kuwa yeye sio Rais wa Butiama bali ni Rais wa Tanzania. Hakuipendelea Butiama aliweka mgawanyo sawa wa shughuli za maendeleo hata kama haikuwa 100% lakini walau aliweza hilo kwa zaidi ya 90%.

Daniel Yona alipokuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Same mkoani Kilimanjaro wananchi wa same waliwahi kumuambia kuwa kwa nini hawaletei maji, umeme na barabara za lami hadi Vijijini ilihali yeye ni Waziri wa Fedha? Daniel aliwajibu kuwa yeye ni Waziri wa Fedha wa Tanzania nzima na wala sio Waziri wa Fedha wa Same hivyo hawezi kudhulumu maeneo mengine ili kuinufaisha Same.

Daniel Yona angetaka kutumia nafasi yake kama Waziri wa Fedha kuipendelea Same kwa gharama za kudhulumu maeneo mengine angeweza. Daniel pamoja na mapungufu yake mengine alitambua kuwa yeye ni Waziri wa Fedha wa Tanzania nzima na siyo Same.

Mwalimu Nyerere alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania nzima na sio Rais wa Butiama.

Benjamin Mkapa alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania na siyo Rais wa Masasi Mtwara.

Jakaya Kikwete alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania na sio Rais wa Bagamoyo pekee.

Cleopa David Msuya alitambua kuwa yeye ni Waziri wa Fedha, Waziri wa Viwanda na Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio wa Mwanga Kilimanjaro pekee. Alilifahamu hilo na alilisimamia.

Edward Moringe Sokoine alitambua kuwa yeye ni Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio Monduli pekee.

Alilisimamia hilo na alikuwa mkali kweli kweli kuhakikisha hakuna upendeleo.
Fredrick Sumaye alitambua kuwa yeye ni Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio Hanang' pekee.

Sasa leo najiuliza kunani CHATO?CHATO kuna nini?

Hadi sasa Magufuli amekuwa Rais wa Tanzania kwa takribani miaka 4 pekee lakini ndani ya miaka hiyo 4 kijiji chake cha CHATO sasa hivi kinazidi mikoa mingi sana. Miradi mingi, mikubwa inakimbiziwa huko CHATO.

Machi 9, 2018 Rais Magufuli alifungua tawi la CRDB, CHATO Kijiji cha Kilimani alipozaliwa.

June 2016 Serikali ilianza rasmi kujenga uwanja wa ndege ambao leo hii Kigwangala amesema Rais Magufuli amesema uwe uwanja wa Kimataifa, hivyo utaitwa uwanja wa kimataifa wa CHATO kwa kimombo CHATO International Airport.

June 2, 2019 Serikali ilipandisha hadhi Pori la akiba la Burigi lililopo huko kijijini CHATO kuwa hifadhi ya taifa ya Burugi na kwa kuwa hakukuwa na hadhi ya kuwa hifadhi ya Taifa wanyama mbali mbali wakiwemo Twiga wakasafirishwa kwa magari kupelekwa CHATO.

Mwaka jana 2018 uwekaji wa taa za kuongoza magari ulikamilika huko kijiji cha CHATO. Na siku hii ya leo Serikali imesema itajenga uwanja mkubwa wa mpira huko CHATO. Uwanja huo unatajwa kuwa utakuwa wa Pili kwa ukubwa nchini baada ya ule wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam lakini utakuwa wa kwanza wa kisasa zaidi nchini.

Dikteta uchwara Mobutu wa Zaire aliponyakua madaraka kwa mabavu alijenga uwanja wa Kimataifa kijijini kwako. Uwanja huo ulikuwa una uwezo wa kutua ndege kubwa aina ya Concord. Kijiji chake alikijenga na kuwa paradiso ya Congo.

Mobutu aliamrisha kuwekwe Hifadhi ya wanyamapori kijijini kwake. Akajenga jumba la kifahari kijijini kwake msituni.
Ndege za kifahari zikatua kijijini kwake kutoka Ulaya na Marekani na kupora mali za Zaire kimya kimya.

Dikteta uchwara Mobutu alipokufa vitu vyote hivyo vilizikwa katika kaburi la sahau na kijiji chake kimesalia mahame. Hata ile Meli yake ya kifahari aliyozunguka nayo mto Congo haipo tena.

Kesho ni nzuri kuliko jana. Mwalimu Nyerere aliupinga ubaguzi na upendeleo si kwa maneno tu bali kwa vitendo. Aliuhubiri na kuuishi uzalendo. Hakuishia kuuimba uzalendo.
Nauliza huo uwanja wa kisasa wa mpira Watazamaji watakuwa wanatoka Mwanza,Shinyanga, Musoma kwenda kuangalia mpira. Sasa hapa ndio mjue kuwa MAGUFULI siyo mtu wa kuachia madaraka leo wala kesho. Inabidi watanzania bila kujali itikadi zetu tumkatae huyu mapema 2020 bila hivyo watanzania wengi watauwawa
 
Walilala kuhusu kitu gani? Lini kulikuwa na wizi wa trillions hazing? Lini CAG alizuiliwa kufanya ukaguzi wa pesa za walipa kodi? Lini Watanzania walitekwa, kuteswa na hata KUUWAWA kusiwe na uchunguzi? Kiongozi yupi alijichotea trillions za pesa za walipa kodi hazina bila idhini ya Bunge? Ni kiongozi yupi alitishia kuwapoteza Watanzania kwa kuimba tu!? Tia akili kichwani wewe!!!

Mchungaji Munishi, Shayo, Tilya, Masawe, Kuwese, Lyimo, Ndesamburo, Munuo wote wanasikitika. Tuwaunge mkono, kwa sababu hakuna sehemu yoyote ya Tanzania inapaswa kuendelea haraka! Hawa watu walilala sasa kwanini wana amka?
 
Mwalimu Nyerere ambaye pia ni Baba wa Taifa hili na Kiongozi aliyeliongoza Taifa hili kwa takribani miaka 26 anapoinua macho yake na kuitazama CHATO ya Magufuli anasikitika na kushindwa kupumzika kwa amani ndani ya kaburi lake.

Licha ya Mwalimu Nyerere kuwa Rais wa Tanganyika na baadae Tanzania kwa miaka hiyo yote aliitazama Tanzania kama nchi na kuleta juhudi kuijenga Tanzania nzima bila upendeleo wa aina yoyote. Hakuiweka Butiama mbele zaidi kuliko Nachingwea, Namtumbo au Kishumundu.

Mwalimu Nyerere angetaka Butiama iwe paradiso ya Tanzania angeweza kufanya hivyo. Mwalimu Nyerere angetaka makao makuu ya Tanzania, Bunge, Ikulu vikae Butiama angeweza.
Angetaka Butiama kuwe na uwanja wa Kimataifa wa kutua Concord na Antonov angeweza.

Mwalimu Nyerere angetaka makao makuu ya Shirika la Posta na ATLC yawe Butiama angeweza kufanya hivyo.

Hata angetaka mitaa, vijiji na vitongoji vya Butiama viwe na barabara za lami na taa za kuongozea magari hadi Mwitongo angeweza kufanya hivyo.
Lakini Mwalimu Nyerere alifahamu kuwa yeye sio Rais wa Butiama bali ni Rais wa Tanzania. Hakuipendelea Butiama aliweka mgawanyo sawa wa shughuli za maendeleo hata kama haikuwa 100% lakini walau aliweza hilo kwa zaidi ya 90%.

Daniel Yona alipokuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Same mkoani Kilimanjaro wananchi wa same waliwahi kumuambia kuwa kwa nini hawaletei maji, umeme na barabara za lami hadi Vijijini ilihali yeye ni Waziri wa Fedha? Daniel aliwajibu kuwa yeye ni Waziri wa Fedha wa Tanzania nzima na wala sio Waziri wa Fedha wa Same hivyo hawezi kudhulumu maeneo mengine ili kuinufaisha Same.

Daniel Yona angetaka kutumia nafasi yake kama Waziri wa Fedha kuipendelea Same kwa gharama za kudhulumu maeneo mengine angeweza. Daniel pamoja na mapungufu yake mengine alitambua kuwa yeye ni Waziri wa Fedha wa Tanzania nzima na siyo Same.

Mwalimu Nyerere alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania nzima na sio Rais wa Butiama.

Benjamin Mkapa alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania na siyo Rais wa Masasi Mtwara.

Jakaya Kikwete alitambua kuwa yeye ni Rais wa Tanzania na sio Rais wa Bagamoyo pekee.

Cleopa David Msuya alitambua kuwa yeye ni Waziri wa Fedha, Waziri wa Viwanda na Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio wa Mwanga Kilimanjaro pekee. Alilifahamu hilo na alilisimamia.

Edward Moringe Sokoine alitambua kuwa yeye ni Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio Monduli pekee.

Alilisimamia hilo na alikuwa mkali kweli kweli kuhakikisha hakuna upendeleo.
Fredrick Sumaye alitambua kuwa yeye ni Waziri Mkuu wa Tanzania nzima na wala sio Hanang' pekee.

Sasa leo najiuliza kunani CHATO?CHATO kuna nini?

Hadi sasa Magufuli amekuwa Rais wa Tanzania kwa takribani miaka 4 pekee lakini ndani ya miaka hiyo 4 kijiji chake cha CHATO sasa hivi kinazidi mikoa mingi sana. Miradi mingi, mikubwa inakimbiziwa huko CHATO.

Machi 9, 2018 Rais Magufuli alifungua tawi la CRDB, CHATO Kijiji cha Kilimani alipozaliwa.

June 2016 Serikali ilianza rasmi kujenga uwanja wa ndege ambao leo hii Kigwangala amesema Rais Magufuli amesema uwe uwanja wa Kimataifa, hivyo utaitwa uwanja wa kimataifa wa CHATO kwa kimombo CHATO International Airport.

June 2, 2019 Serikali ilipandisha hadhi Pori la akiba la Burigi lililopo huko kijijini CHATO kuwa hifadhi ya taifa ya Burugi na kwa kuwa hakukuwa na hadhi ya kuwa hifadhi ya Taifa wanyama mbali mbali wakiwemo Twiga wakasafirishwa kwa magari kupelekwa CHATO.

Mwaka jana 2018 uwekaji wa taa za kuongoza magari ulikamilika huko kijiji cha CHATO. Na siku hii ya leo Serikali imesema itajenga uwanja mkubwa wa mpira huko CHATO. Uwanja huo unatajwa kuwa utakuwa wa Pili kwa ukubwa nchini baada ya ule wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam lakini utakuwa wa kwanza wa kisasa zaidi nchini.

Dikteta uchwara Mobutu wa Zaire aliponyakua madaraka kwa mabavu alijenga uwanja wa Kimataifa kijijini kwako. Uwanja huo ulikuwa una uwezo wa kutua ndege kubwa aina ya Concord. Kijiji chake alikijenga na kuwa paradiso ya Congo.

Mobutu aliamrisha kuwekwe Hifadhi ya wanyamapori kijijini kwake. Akajenga jumba la kifahari kijijini kwake msituni.
Ndege za kifahari zikatua kijijini kwake kutoka Ulaya na Marekani na kupora mali za Zaire kimya kimya.

Dikteta uchwara Mobutu alipokufa vitu vyote hivyo vilizikwa katika kaburi la sahau na kijiji chake kimesalia mahame. Hata ile Meli yake ya kifahari aliyozunguka nayo mto Congo haipo tena.

Kesho ni nzuri kuliko jana. Mwalimu Nyerere aliupinga ubaguzi na upendeleo si kwa maneno tu bali kwa vitendo. Aliuhubiri na kuuishi uzalendo. Hakuishia kuuimba uzalendo.
Si kweli. Angedai Uhuru kutokea Butiama kama ni rahisi kufanya yote kama unavyo jaribu kutuaminisha.

Hivi Rais Magufuli kuijenga Chato tatizo ni nini?

Mlitaka akajenge Hai?
 
Kuna mbunge mmoja enzi za Nyerere aliomba Barbara ya lami kujengwa toka Musoma hadi Butiama, Mwalimu akusubiri alimtimua mazima. Baada ya Mwita kutimuliwa ubunge alirudi kijijini kulima na hadi Mwalimu anatoka madarakani hakuwahi kumfikiria nafasi yoyote
 
Back
Top Bottom