Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,270
- 6,343
Huyu mzee haya maneno ni yake au analishwa/anasemewa na watu?
huyu amezdiKila mtu na mapungufu yake jamani hata hao waliopita walikuwa na mapungufu yao ingawa madhara yake huwa ni tofauti
NIDA ndo babalao tunaanza kumhoji kwanza uraia wake,pengine ni mjaluo au mkikuyuUhamiaji
TRA
NEMC
Wanakusubiri
Huyo Munishi shenzi kabisa kiwimbo chake Cha malebo kingemfikisha Nje ya nchi bila upako wa msukuma Moses Kulola? Huyu Munishi ni mtu mbaya Sana wa siku za mwisho wanaotajwa kitabu Cha 2Timotheo 3 :1-3 kuwa siku za mwisho kutakuwa na watu wabaya wanaojipenda wenyewe na wasio na shukrani.Munishi Hana shukrani kwa wasukuma na anapenda kabila lake tu hataki wengine waendelee ni mtu mbaya wa siku za mwisho asiye na shukrani .Laana ya Moses Kulola musukuma na iwe juu yakeJikite kwenye kujibu hoja badala ya personal attack.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni kweli kabisa.. Ila CCM huwa hawaupendi kauli hii.. So imefutwa kwenye ARCHIVESHuyu mzee haya maneno ni yake au analishwa/anasemewa na watu?
View attachment 1150710
Ni kweli kabisa.. Ila CCM huwa hawaupendi kauli hii.. So imefutwa kwenye ARCHIVES
Believe thatMkuu sure? Imefutwa archives?
Believe that
Muulize huyo Munishi mchaga mwenzio Moses Kulola msukuma alivyotumia umaarufu wake kuwajenga waimbaji wawili wa kichaga mzungu four na huyo Munishi ambao nyimbo zao hata ukipiga Leo they are crap.Leo Munishi ni.mtu wa kuponda wasukuma serious? Of all the people Munishi Ni mtu wa kuwaponda wasukuma kweli? Huyu aliyeokotwa jalalani na msukuma Moses Kulola?Ngosha anapeleka kodi zetu zote kujenga kwake.
Munishi kumbe? Nyie Notherners mnaumia sana na hizi mambo za Chato ambayo ni ya kawaida mno.
Kilichotokea Burigi wala siyo kipya,kisiwa cha Saanane(Mwanza) kilivyopandishwa hadhi kuwa National park wanyama walipelekwa hapo kwa njia hiyo hiyo lakini hakuna aliyeongea.
Karne ya 21 watu mnaona Traffic lights ni issue sana?
Heri hata ya Magufuli anajenga kwao,huyo Nyerere alitapanya rasilimali za nchi kwa ajili ya manufaa yake tu kwenye the so called Ukombozi wa Nchi Kusini mwa Africa of which hatunufaiki kwa vyovyote vile.
Nani anakuthamini wewe mtz huko Kusini mwa Africa leo? Msumbiji tu hapo mnafurushwa kama kenge hadi SA yenyewe.
Hiyo Vita ya Uganda yenyewe ukweli hausemwi tu.
Msoga kuna Bandari, Uwanja wa ndege, kulikuwa na mradi wa kujenga uwanja wa mpira?Kwani rais wa awamu ya nne yeye hakujenga msoga na bagamoyo?? ?kama Nyerere hakujenga butiama na hilo kwake ni tatizo.au unataka iwe kama vile baba anakufa hajawachia chochote watoto wanaenda kutandika fimbo kaburi lake!! Acheni wivu!! Tungemuomba kwamba mzee ukimaliza huko jenga kule na kule!!
wafaransa wanasema" la charte bien ordonnee commence par c,oi meme""