Huyu mtu hatufai watanzania hata kidogo!!
Bwashee kwani chato hakuna watanzania wanaohitaji maendeleo kama watanzania wa machame na rombo?!Nyambaf..!
Another poyoyo...!!Jikite kwenye hoja siyo kuzungumzia mtu..!! Hatutaki kujua huyu ni Munishi yupi...haituhusu!!!
Hoja hapa ni Magufuli kwanini anatumia KODI ZA WATZ KUNEEMESHA CHATO..??This is the thing!
Maumivu yako yanapona tu utakapokuwa unaenda Chat kuhemea unarudi kwenu MisenyiMimi kinachoniuma kama mwanakagera ni kuporwa Mbuga na kubatizwa Burigi-Chato. Bora ingebaki Burigi labda maumivu yangepungua.
huu ni uhuni tuamke watanzania tusije tukanyweshwa pombe woteNgosha anapeleka kodi zetu zote kujenga kwake.
Huyu Munishi ndio yule aliyetapeliwa na Malebo ?!
Tajiri sana huyu bwashee kama ndiye yeye!
Mtaongeya hadi mnye wawe subiri wakati wenu nanyiy mjenge makwenu..
Kumbe mchaga sijui kwa nini wachaga wanaichukia ccm
Naona unavyojitahidi kutoa porojo, ok ukishamaliza nenda pale Ufipa ukachukue kadi ya ugombea jimbo la Singida Mashariki, wahi mapema maake nafasi ni chache.
Nilitaka kujua kama ndiye!Hoja?
Jikite kwenye kujibu hoja badala ya personal attack.Munisi mchaga wa chadema roho mbaya akiona mtu asiye mchaga kaendekea roho inamuuma wakati yeye kapandishwa chati na Moses Kulola msukuma.Laana ya Moses Kulola msukuma na iwe juu yako munisi