Mchungaji Anthony Lusekelo: TB Joshua ni tapeli

Mchungaji Anthony Lusekelo: TB Joshua ni tapeli

Mungu akusamehe Mchungaj A....C vzuri kumsema mtumishi mwenzako coz Hata ww hujakamilika...Mungu akusamehe!
 
Viroba vinamuharibu uyu mzee pole yake hana kiki nyingine zaidi ya hiyo mtu mwenyewe hata hamjui maskini yake mfyuu kweli bapa sio chai badala awaze mkorogo anaopaka unavo muharibu na konyagi zake ana weweseka na tb j hahaa vyuma vimekaza mbona mkulu wako wa nchi anaendaga na familia yake kiki imebumaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkulu wa nchi hata kwa mzee wa upako alienda
 
Awe wa ukweli au uwongo Mungu alisema atatuma hata mawe kuhubiri neno lake.Sasa leo UPOPO nabii analia lia na kusema tapeli atutajie hao ambao si matapeli .Yeye badala ya kushughulika nayake yuko busy na wenzie hata aileweki yuko wapi.Piga injili watu wakusikie na siporojo.Tangu akumbwe na kashfa anajitahidi kurudisha hadhi yake.Wakristo wa kweli huna haja kuja kwamedia unaingia faragha unamlilia bwana Mungu wako naye atatenda kama ni kweli itajulikana kama ni uongo itajulikana.
 
Kwa sasa anataka kutembeleo nyota ya Tb Joshua.Baada yamuda atamsema mwingine anayevuma.Kazi kwelikweli.
 
Hivi na yeye utabiri wake wa waandishi waliomwandika vibaya kututoka mwezi Machi, 2017 kama usipotimia ataenda kuuza gondo au? hahahahaha naipenda Tanzania yangu na watu wake wote

Kaka ilikuwa ni tarahe ngapi ya march? lazima tuweke kumbukumbu hapa!
 
huyu LUSE anasumbuliwa na mkorogo wa ubongo na bapa. mbona yeye kashindwa kusaidia kukomesha mauaji ya albino?
Yeye pia tutamuona tapeli ikiwa utabiri wake wa kwamba waandishi waliomtaja kuwa ni cha pombe watakufa April mwaka huu hautatimia.

mIMI nimeishaandaa pesa ya rambirambi
 
Kuna aliyewahi kumwona na jibapa au ni yaleyale ya Makonda na Unga
 
Kamtapeli nani? Nini maana ya utapeli?.BWANA YESU APEWE SIFA
 
ukweli tb joshua ni tapeli namba moja Mungu huwa hakosei hata mara moja inakuwaje mtu anayejiita nabii wake anafanya makosa
 
Nabii siyo lazima uonyeshwe kila kitu kinachotokea katika eneo lako
 
Back
Top Bottom