Mchungaji Anthony Lusekelo: TB Joshua ni tapeli

Mchungaji Anthony Lusekelo: TB Joshua ni tapeli

Siku hizi kuna "Nabii" hapana huyo alijibandika tu, au ndio wale wanachama wenzetu wa chama cha wajenzi huru
 
He is trying to take out a speck in his brother's eye while he has a log in his eye, you worth for northing man take care.
 
Hivi na yeye utabiri wake wa waandishi waliomwandika vibaya kututoka mwezi Machi, 2017 kama usipotimia ataenda kuuza gondo au? hahahahaha naipenda Tanzania yangu na watu wake wote
Naipenda pia, nawe pia nakupendaga mwanawane!
 
Pombe mbaya sana,ukitenda dhambi haifai kuwaona wengine kama wewewewn lusekelo ndio tapeli sadaka kala lakini umaskini kama kawa
 
Wameenda kumuhoji wakati kishapiga lusekelo mbili
 
Ingekuwa vizuri angejisafisha Kwanzaa na kuacha pombe, wafuasi wake wapate pa kujifunzia m
 
Back
Top Bottom