Mchumba wangu anataka mahusiano ya siri

Mchumba wangu anataka mahusiano ya siri

Hapana sitaki sherehe. Ningependa kuwajulisha watu wangu wa karibu (sio ndugu) kwamba naolewa jamani. Ndoa ni baraka mbona. Hataki niwaambie watu wetu wa karibu.
Angelegeza kamba walau kidogo. Wazazi na dada,Kaka au wadogo zako kuhudhuria me sijaona Kama iko na tatizo anywhere.
 
Dada tuliza kipochi uolewe...mwanaume akitoa mahari ujue kadhamiria na jua kuwa nafasi yako kwake ni ya kuheshimika vinginevyo angekuweka mpango kando (mchepuko) mpaka uchakae.
Sio kila mtu anapenda masherehe ya masifa (kwa washikaji wako) kwani mara ya kwanza wewe kuolewa???!!!
Unataka ulete wavua madera ndio uone raha?!
Hizo pesa tumieni kulea.
N.B: una mawazo yaki under 20's (kukomaa na sherehe n.k)

Noted with thanks.

By the way siko interested na sherehe, my doubts ni vile hataki niwaambie watu kwamba naolewa. Inatia mashaka.

Naweza kusema naolewa jamani ila hakutakua na sherehe, shamrashamra au mapicha picha.
 
Hapana sitaki sherehe. Ningependa kuwajulisha watu wangu wa karibu (sio ndugu) kwamba naolewa jamani. Ndoa ni baraka mbona. Hataki niwaambie watu wetu wa karibu.
kwahiyo unawaamini sana watu wako wa karibu kuliko ndugu, hujui kama kikulacho kinguoni mwako

We tulia upate ndoa kwani wakija kujua ushaolewa wewe utapungukiwa nini
Au ndo unataka michango waje wakutunze bibi harusi..
Wadada mnakwama wapi.. Ila any way happy marriage mungu akutangulie.
 
Angelegeza kamba walau kidogo. Wazazi na dada,Kaka au wadogo zako kuhudhuria me sijaona Kama iko na tatizo anywhere.

Mie hata sijali sherehe, nataka niwajulishe watu wangu natarajia kuolewa, hataki kabisaa.
 
kwahiyo unawaamini sana watu wako wa karibu kuliko ndugu, hujui kama kikulacho kinguoni mwako

We tulia upate ndoa kwani wakija kujua ushaolewa wewe utapungukiwa nini
Au ndo unataka michango waje wakutunze bibi harusi..
Wadada mnakwama wapi.. Ila any way happy marriage mungu akutangulie.

Noted with thanks.
 
Mkuu mimi kutetea kuoa mke zaidi ya mmoja sio umalaya ila ndio uhalisia wa mwanaume wa kiafrika.
Hao waume zenu wanaojifanya wana mke mmoja na mitaani wana misululu ndio Malaya.
In any way mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume.
Anamdumaza na akili pia.
Challenge husababisha akili kukaa sawa.!!
Mimi siku zote nitakurudisha kwenye maandiko tu na nilishakwambia nipe andiko hata moja linaloruhusu kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja na siyo mifano ya kina Solomon au David ambao baada ya kufanya huo uchafu wao walikuja kutubu na mimi nilishakupa maandiko yanayokataza kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja ukayakataa

Wanaume wanaosaliti ndoa na wanaooa mke zaidi ya mmoja wote wana dhambi na tena hawana tofauti na wanawake wanaosaliti ndoa na wanaoolewa na mume zaidi ya mmoja sasa wewe fanya halafu usitubu na endelea kujipa moyo kuwa Mungu anawaza kama binadamu hadi awaruhusu kutenda dhambi na hiyo mifano muendage mkatoe hadi huko mbinguni mkiulizwa
 
Sasa huyu alishaolewa akaachika, Bado anataka mbwembwe za sherehe Tena?
Si ujinga huu!?
Mtu uko naye mwaka mzima hujajua kama ana mke mwingine kwa mienendo yake!?
Kwani kuolewa na kuachika ndo inadetermine ukubwa au udogo wa sherehe?
 
Humu ukiongea uhalisia unaonekana muhuni.
Wanapenda kuonekana watakatifu wakati gizani wazinifu wakubwa
Hatukatai huo ndo uhalisia uliopo wanaume wengi ni malaya na hata wanawake pia wapo wengi ambao ni malaya ila kinachoshangaza ni kwamba mnakataa kukubali kwamba ni dhambi

Badala yake mnatafuta sababu za kuhalalisha ili ionekane ni sawa halafu mbaya zaidi mnapiga hizi porojo kwa binadamu wenzenu tu ambao hawana mamlaka yoyote sasa huyo mwenye mamlaka sijui mnadhani na yeye ni binadamu kama sisi?
 
mi nachoona jamaa huenda ana ndugu pasua kichwa ama wazazi controlling so anataka kupiga tukio kimya kimya kuepusha ngendembwe zao ama diss kuwa kwanini anaoa single mom.

Another ishu pengine ni kweli hafagilii show offs ama anataka tittle ya married chap ili kufanikisha michongo yake flan flani ila isijulikane kuwa hakuwa na mke before. That means alidanganya ana mke ila hakuwa na ndoa so boss ama co-workers wasijue na tukio liwe fasta wasije wakaunguza.
Anhaa sasa naanza kupata picha
 
je umeeet minimum requirement kwake? chunguza kwanza bibiee wanaume uwa tunaona haibu kutoka na bebe ambaye ajameet requirement kama yule wa Kwanzaa aliyekuepo naye
 
Unataka ndoa ifungishwe au unataka kuutangazia umma kwamba unaolewa???? Kama unataka ndoa olewa tu ila isiwe batili.... Hayo mengine mtajua mbele huko cha msingi muingizane vitu hivyo kwa halali muepuke dhambi ya zinaa
 
Back
Top Bottom