Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,564
- 88,573
Hapana ila nishabishana naye sana kwenye posts mbali mbali yaani anasupport sana umalaya huyu jamaa na inaonekana ndivyo alivyoMkuu kwani jamaa unamfahamu
Hapana ila nishabishana naye sana kwenye posts mbali mbali yaani anasupport sana umalaya huyu jamaa na inaonekana ndivyo alivyoMkuu kwani jamaa unamfahamu
Ukiingia kwenye ndoa achana na washikaji la sivyo watakupotezaKwa ndugu hana neno, neno ni kwa washkaji zangu, wafanyakazi.
Huwezi amini hata marafiki hawajawaambia kwamba katoa mahari.
Anataka ndoa early next month, two weeks from now.
Hapana ila nishabishana naye sana kwenye posts mbali mbali yaani anasupport sana umalaya huyu jamaa na inaonekana ndivyo alivyo
Akiendelea kukupa frustration. Nione nikupe dawa.Ye single baba wa mtoto wa kike na mi single mama wa mtoto wa kike tukubaliana tuyajenge tulee mabinti zetu.
Cha ajabu hataki nimwambie yeyote kuhusu huu uhusiano wetu.
Kanivisha pete mbele ya wanetu tu.
Katoa mahari.
Tunatarajia kufunga ndoa mwezi ujao.
Anataka ndo ihudhuriwe na wanetu na mashahidi 2 tu ambao atawasuggest yeye.
Hataki sherehe, get together wala shamra shamra yeyote.
Hataki marafiki wowote wajue anataka kunioa.
Anasema yeye ni introvert!
Naombeni ushauri ndugu zangu, wake kwa waume... kuna mahusiano ya hivi? I mean ya siri hata baada ya mahari kutolewa?
Is this a red flag au kuna wanaume wa hivi?
I am confused and frustrated.
Hapana mkuu mtu ambaye hayuko hivyo ungekuta anafika sehemu anaacha kubisha ila huyu anatafuta kila namna na kila hoja ili atetee umalaya hata kama hizo hoja ni za uongo ataziletaHuwezi jua labda hayuko hivyo, ukute hapa anazingua tu watu
Hapana mkuu mtu ambaye hayuko hivyo ungekuta anafika sehemu anaacha kubisha ila huyu anatafuta kila namna na kila hoja ili atetee umalaya hata kama hizo hoja ni za uongo atazileta
Yaani ili mradi abishe tu sasa mtu kama huyo utasema siyo tabia yake? Anyway kwa sababu JF hatujuani tabia basi lazima tuishie kumjudge mtu kutokana na posts zake sasa swala la kwamba yupo hivyo au hayupo hivyo sisi hatujui sababu hatuwezi kuota
ThanksSawa sawa Mkuu you got a unique name Edelyn
Nilishaolewa nikaachika, sitaki kuolewa tena ndoa yenye mashaka. Bora niishi peke yangu kama mambo yenyewe ndio haya.
Mkuu mimi kutetea kuoa mke zaidi ya mmoja sio umalaya ila ndio uhalisia wa mwanaume wa kiafrika.Hapana mkuu mtu ambaye hayuko hivyo ungekuta anafika sehemu anaacha kubisha ila huyu anatafuta kila namna na kila hoja ili atetee umalaya hata kama hizo hoja ni za uongo atazileta
Yaani ili mradi abishe tu sasa mtu kama huyo utasema siyo tabia yake? Anyway kwa sababu JF hatujuani tabia basi lazima tuishie kumjudge mtu kutokana na posts zake sasa swala la kwamba yupo hivyo au hayupo hivyo sisi hatujui sababu hatuwezi kuota
Sasa huyu alishaolewa akaachika, Bado anataka mbwembwe za sherehe Tena?We jamaa ni muhuni sana yaani muda wote unawaza uhuni uhuni tu
Humu ukiongea uhalisia unaonekana muhuni.Mkuu kwani jamaa unamfahamu
Ye single baba wa mtoto wa kike na mi single mama wa mtoto wa kike tukubaliana tuyajenge tulee mabinti zetu.
Cha ajabu hataki nimwambie yeyote kuhusu huu uhusiano wetu.
Kanivisha pete mbele ya wanetu tu.
Katoa mahari.
Tunatarajia kufunga ndoa mwezi ujao.
Anataka ndo ihudhuriwe na wanetu na mashahidi 2 tu ambao atawasuggest yeye.
Hataki sherehe, get together wala shamra shamra yeyote.
Hataki marafiki wowote wajue anataka kunioa.
Anasema yeye ni introvert!
Naombeni ushauri ndugu zangu, wake kwa waume... kuna mahusiano ya hivi? I mean ya siri hata baada ya mahari kutolewa?
Is this a red flag au kuna wanaume wa hivi?
I am confused and frustrated.
😂😂😂😂😂We jamaa ni muhuni sana yaani muda wote unawaza uhuni uhuni tu
mi nachoona jamaa huenda ana ndugu pasua kichwa ama wazazi controlling so anataka kupiga tukio kimya kimya kuepusha ngendembwe zao ama diss kuwa kwanini anaoa single mom.Aiseee kwani Extrovert anasemaje kuhusu huyo mwanaume ambaye ni Introvert?
mi nachoona jamaa huenda ana ndugu pasua kichwa ama wazazi controlling so anataka kupiga tukio kimya kimya kuepusha ngendembwe zao ama diss kuwa kwanini anaoa single mom.
Another ishu pengine ni kweli hafagilii show offs ama anataka tittle ya married chap ili kufanikisha michongo yake flan flani ila isijulikane kuwa hakuwa na mke before. That means alidanganya ana mke ila hakuwa na ndoa so boss ama co-workers wasijue na tukio liwe fasta wasije wakaunguza.
Sio wa kwako peke yako, ni sawa anaweza asifanye public sana, ila yeye kaenda extreme kwa kweli,na hapo kuna sababu....huna haja ya ku complicate maisha ya binti yako kwa kuishi naye maana hakika utakuja kujua yupo mke mwingine mahali.
Sasa huyu alishaolewa akaachika, Bado anataka mbwembwe za sherehe Tena?
Si ujinga huu!?
Mtu uko naye mwaka mzima hujajua kama ana mke mwingine kwa mienendo yake!?
Dawa gani?!Akiendelea kukupa frustration. Nione nikupe dawa.
Nipo serious