Mchumba wangu anataka mahusiano ya siri

Mchumba wangu anataka mahusiano ya siri

Wanasemaga masingo maza wana frustrations sana, nashukuru umethibitisha hilo.
 
Mkuu Mimi naishi naturally zaidi.
Naamini Kuna super natural power(ambayo Ni Mungu) ilitufanya tuwepo duniani na kufaidi.
Ubinafsi wa binadamu ulipoingia ndio tukaanza kuwekeana masharti kibao na kuleteana dini.
Mungu hana dini.
Anha kwahiyo point yako ni kwamba hata wanawake kuambiwa kuwa wanatakiwa wawe na mwanaume mmoja napo waliwekewa masharti si ndiyo? Aisee hii ni ajabu.
 
mahari keshatoa,,, unataka wakina nani tena wawafahamu??? unataka maisha ya furaha au sherehe ya harusi ambayo ni single day only.....jiongeze wewe......ila chunguza anaweza kuwa na nke ingine hukooooo....
 
Dhambi Ni vile wewe unainterpret.
Unachoona wewe dhambi kwako mimi sioni kuwa Ni dhambi.
Ndio maana kila mtu anaambiwa ataubeba mzigo wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oohh basi acha kuwasema wanawake wa watu
 
Anha kwahiyo point yako ni kwamba hata wanawake kuambiwa kuwa wanatakiwa wawe na mwanaume mmoja napo waliwekewa masharti si ndiyo? Aisee hii ni ajabu.
Maisha ya mwanzo yalikuwa Kama nyani wa porini tu.
Unakamata yeyote akipata mimba atajijua.
Ubinafsi ulipoanza ndio kila mtu akawa anataka kumiliki chake.
Hata wewe Kama unaweza kuwahudumia wanaume watatu wahudumie tu.
Ila usitake wakuoe.!!
 
Mie hata sijali sherehe, nataka niwajulishe watu wangu natarajia kuolewa, hataki kabisaa.
Acha umbea yanayo faa kufanya kwa siri fanya kwani usipo wa ambia ndoa haitakubalika au unataka usifiwe?
 
Mwaka mzima yupo nae asijue kama ana ndoa nyingine?
acheni kumtisha akajuta
 
Mapenzi hayana siri,utaficha leo,kesho utaongea;mambo ya siri yabaki sehemu za siri tu
 
Maisha ya mwanzo yalikuwa Kama nyani wa porini tu.
Unakamata yeyote akipata mimba atajijua.
Ubinafsi ulipoanza ndio kila mtu akawa anataka kumiliki chake.
Hata wewe Kama unaweza kuwahudumia wanaume watatu wahudumie tu.
Ila usitake wakuoe.!!
Mimi siwezi ila mbona wapo wanawake wanaoolewa na mwanaume zaidi ya mmoja na hao wanaume wanakubali? Wengine wanatangazwa kabisa kwenye mitandao na inaonekana ni kawaida dunia tambara bovu kwangu mimi mwanaume malaya na mwanamke malaya wote sawa na wote kwangu ni wajinga
 
Wala mie sio wa kupost. Nahisi ana matatizo ya kisaikolojia. Shughuli ni watu.

Alisema haolewi mbona kaolewa x 2
Inaonekana walikua wanakwambia hivyo sasa unataka kuwatambia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1476] Joking
 
Kwa uelewa wangu mdogo Introvert aina ya watu wenye uwezo mkubwa kiakili (IQ)na wanaotafakari mambo kwa kina....mbwembwe za huko mbele nimeachana nazo....ila wapo watu wa aina hyo ya maisha pia
 
tulia, tengenezeni maisha ..! Una bahati umepata mwanaume mzungu.... usiombe upate mswahili mwenzio..!
 
Dada Uttara, nna imani wewe ni muislam. Uislam unasema ficheni uchumba na tangazeni ndoa.
Kama mahari keshalipa....wewe mwambie kuwa unawaambia watu wako wa karibu. Tatizo linakuja hapo tafsiri ya watu wa karibu. Wewe unataka mashost wote wajue....ukidhani ndio watu wa karibu.

Watu wa karibu ni wa ukoo wa baba na ukoo wa mama. Yaani wajomba wote na mama wadogo na mababu/bibi kama wapo. Baba wakubwa na wadogo na mshangazi na babu/bibi kama wapo....plus cousins. Marafiki wa karibu kwa kawaida hawazidi 5. Ukijiona una marafiki wa karibu zaidi ya 5 una shida mahali. Huwezi kuwa karibu na coworkers wote...probably 2 au 3. Unaweza kuja waambia siku 5 baada ya ndoa kwamba umeolewa.

Au dada unataka michango? Maana hii ndio yaweza kuwa sababu ya kutaka watu wengi wajue.
 
Back
Top Bottom