- Thread starter
- #21
Labda bado ana ujaribu na mzazi mwenzie, asije sikia huko akaja kutibua mambo
Sijui, siwezi mlia yamini.
Labda bado ana ujaribu na mzazi mwenzie, asije sikia huko akaja kutibua mambo
Exactly my thoughts. Lakini najiuliza anaenda kwa huyo mwingine muda gani? Nyendo zake sio za kutilia shaka.
Husafiri nje ya nchi mara moja au mbili kwa mwaka. Hatuwi pamoja muda wote kwani sote wafanyakazi.Kwani muda wote mnakuwa naye pamoja? Huwa anasafiri kwenda mikoani?
Husafiri nje ya nchi mara moja au mbili kwa mwaka. Hatuwi pamoja muda wote kwani sote wafanyakazi.
Na mahari katoa kwa mwanao ili ibaki siri. Si ndio ?
Maana kama mahari ilipelekwa kwa wazee wako hapo hakuna siri tena labda kama tafsiri ya Neno siri imebadilika.
Weee kama anampango ili wewe usijue no ngumu sana huwezi jua kule Kaambiwa niniExactly my thoughts. Lakini najiuliza anaenda kwa huyo mwingine muda gani? Nyendo zake sio za kutilia shaka.
Weee kama anampango ili wewe usijue no ngumu sana huwezi jua kule Kaambiwa nini
Itakua ana taka muanzishe hostel ya wasichana tu
Nilishaolewa nikaachika, sitaki kuolewa tena ndoa yenye mashaka. Bora niishi peke yangu kama mambo yenyewe ndio haya.
We jamaa ni muhuni sana yaani muda wote unawaza uhuni uhuni tuWanawake bhana, sijui huwa mnataka mbwembwe za sherehe za Nini!?
Mtu katoa Hadi mahari aafu unajiuliza maswali ya kijinga jinga hivi!!
Wenye akili angekuwa alishabeba hata mimba baada ya mahari kutolewa
Namaanisha huyo mwongozo kama yupo , anaogopa asije tibuaSijui, siwezi mlia yamini.
Why usili? Be care,but angalia mlikotoka na mlipoYe single baba wa mtoto wa kike na mi single mama wa mtoto wa kike tukubaliana tuyajenge tulee mabinti zetu.
Cha ajabu hataki nimwambie yeyote kuhusu huu uhusiano wetu.
Kanivisha pete mbele ya wanetu tu.
Katoa mahari.
Tunatarajia kufunga ndoa mwezi ujao.
Anataka ndo ihudhuriwe na wanetu na mashahidi 2 tu ambao atawasuggest yeye.
Hataki sherehe, get together wala shamra shamra yeyote.
Hataki marafiki wowote wajue anataka kunioa.
Anasema yeye ni introvert!
Naombeni ushauri ndugu zangu, wake kwa waume... kuna mahusiano ya hivi? I mean ya siri hata baada ya mahari kutolewa?
Is this a red flag au kuna wanaume wa hivi?
I am confused and frustrated.
Unampenda na anakupenda? Mmekuwa pamoja kwa muda gani?
Kwa ndugu hana neno, neno ni kwa washkaji zangu, wafanyakazi.
Huwezi amini hata marafiki hawajawaambia kwamba katoa mahari.
Anataka ndoa early next month, two weeks from now.
We jamaa ni muhuni sana yaani muda wote unawaza uhuni uhuni tu