Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

Aisee!!
Huyo demu unauhakika yuko huko Arusha??
Yawezekana yuko Dar kwa jamaa tayari!
Hebu fuatilia huko kwao alikoenda kama Ni kweli yuko huko!!
Jana nimempandisha bus la Dodoma yupo kwao singida
 
[emoji24] bado tu unatuomba ushauri lea tu maana mpka sasa hujachukua hatua
 
Waaaooo mapenzi yana furahisha...


Mm nisiyejua kupenda ningesha mkataa siku tangu akiwa huko huko
Sitakagi ujinga ,


kwann hakusema kabakwa mpk aje huku ndo aseme?!

Kwakweli una moyo wa kupenda,
Huo baki nao mm siutaki[emoji19]
Sawa mkuu
 
Hili jambo huenda likawa ni kweli hivyo nishauri hivi; Kwanza, huyo binti hakutaka kukudanganyia hiyo mimba. Kabla hujamwingia alikuambia hali yake ilivyo na weye ukasema; Nipo tiyari kukuchukua kama ulivyo. Kumbuka, hajakulazimishia, hajakudanganyia. Sasa weye mbona unataka kuyakana maneno yako?? Hakukulazimisha bali kwa utashi wako umemkubali. Nakushauri, endelea kuusimamia msimamo wako kuwa; Unamkubali yeye pamoja na alichokibeba. Mambo ya kwamba unailea mimba ya mwanaume mwingine ni shombo tu. Angeamua kukuzushia wala usingalimuwazia hayo yote.
Nasema, usisikie la mtu. Muoe haraka, weka ndani, lelea vizuri. Utashangaa, siku ya siku huyo mtoto akaja kukuinua mahali. Wanaokuambia akaitoe, hawakutakii mema. Hiyo ni dhambi mbaya sana. Hao wakuu wote unaowajua walikuwaga mimba ka hiyo. Je wazazi wao wangelizitoa tungeliwapata wapi hao viongozi?? Usiue mwanangu. Kaza buti, oa.
 
Mkuu kama unaendelea kuwa naye huyo binti fanya mchakato mkacheki Afya.
Siku alipokuja alinionyesha majibu yake aliyopima ukimwi nikalala nae mpaka asubuhi akagoma tufanye mapenzi ila asubuhi sana nikaenda kupima majibu nikamuonyesha ndio tukafanya mapenzi.
 
Back
Top Bottom