Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Exactly, asimuamini mwanamke

Vice versa is true

Mwanamke pia asimuamini mwanaume

Anaweza akaachwa, akatelekezwa, akapata huduma kwa masimango, akatafutiwa mke mwenzake nk

Usiangalie kwa mwanaume tu wakati wanawake ndio waathirika wakubwa

Mimi dada yangu alikuwa muhasibu katika taasisi binafsi, akampata mwanaume akamuachisha kazi kwa ahadi atakuwa anampa kiasi fulani kila mwisho wa mwezi.

Alivyoacha tu kazi, hizo hela hakuwahi kupewa, mwanaume katafuta manzi mwingine, ndoa ikawa taabani hadi Kuachana

Huku sister akaanza kuhangaika kutafuta kazi bila mafanikio, mwisho kaja kupata kazi hapati hata nusu ya pesa aliyokuwa anapata mwanzo ila akakubali kufanya

Familia imejifunza
 
Police siyo mke, endelea na maisha yako
 
Kwanza Hapo mke huna,kwa Sheria za kijeshi mambo ya kuoana au kuolewa ni hadi ipite miaka mitatu ya ajira labda umuoe kimila then ikipita miaka hio mitatu ndo unaruhusiwa kumuoa.
Visiting day ni baada ya miezi mitatu.
Miezi mitatu ya mwanzo kambini huwa ni ya kuwaondolea uraia so hawarusiwi kuchangamna na maraia.
 
Ikifika kipindi hicho ndio hata kutoa hela kwa ajili ya huduma anakuwa mzito

Huyo mwanamke ndio ataanza kujilaumu Kwa nini aliacha kazi
 
Tabia ya mtu huwezi ijua akiwa under control ya wazazi ni hadi awe kwenye uhuru fulani mfano hostel.
Ukitaka kuijua tabia halisi ya mtu muulize rafiki yake au house girl wao,kuna tabia za kwenye uchumba na kuwa tabia za akishakuwa ndani ya ndoa na anakamata pesa.
 
Ulitaka binti asiende huko kisa ni girlfriend tuu.. maana huyu hata posa hajatoa. Kuna guarantee gani huyu jamaa akirudi toka huko anakoenda scholarship atakuja kumuoa?
 
Ulitaka asisikilize familia yake akusikilize wewe boyfriend ambae hana uhakika na future yenu
 
Kijana, nitajie jina lake ili niwe nakusaidia kumlinda dhidi ya mbwa wakali waliojaa eneo hili.
 
Usishawishike kumwacha abadan. Hawa watu wakishavua sare wengi huwa ni wangwana sana. Nimeshuhudia familia nyingi bora za maaskari. Endelea kutusaidia kuhakikisha anasalia kuwa mwema na kutuongezea idadi ya askari wema
Hao ni vibaka tu kama vibaka wengine mtu anaota usiku anakuuliza KWA NINI HUNA LESENI TAIRI YAKO KIPARA haya Shuka kumbe mko kitandani ndotoni πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ikifika kipindi hicho ndio hata kutoa hela kwa ajili ya huduma anakuwa mzito

Huyo mwanamke ndio ataanza kujilaumu Kwa nini aliacha kazi
stage za kuyajua mapenzi huwa zinabadilika kadri mnavyozoeana na muda unavyoenda. Mtajikuta mnaonana kama kimba ukifika muda wake!
 
Nimependa huo utenzi wa mwisho "Japo usichana wake ni........
 
Kule maafande wanawagalagaza kama wanavyotaka. Hakuna demu wa kukaza kule,lazima aachie kitumbua la sivyo
 
Acheni kuchumbia wanawake ambao hawajajipata, bado wanajitafuta. Hawa hubadili gia angani wakishajipata wanabadili mawazo ya kuolewa. Oeni wanawake ambao wametulia kwenye shughuli zao na wanahitaji wa kuwaoa bila tamaa
Waliotulia ndo hawa single mothers. Yaani kote ni pa moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…