Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Hakuna kutembelewa mpaka graduation. Kwanini asiendelee na kazi yake au kujiunga nawe Uingereza?
hapa tunavyoongea ameshaenda CCP tayar ,Duh kwahyo hata ndugu hawawatembelei? duh mbna hatar
 
Dah pole mkuu...we endelea na shuhuli zako zingine tu ..au tafuta mwingine. Najua kwanini naongea hivi.
sio kwel wacha nimsubirie tu miez tisa sio mingi mkuu ,namjua hawez kubadilika
 
Hapa kilichobaki kwako ni kupiga punyeto tu, huyu si wako tena na hivi kaenda kusoma huko atakutana na wajanja zaidi na wenye kazi ya uhakika. Anza tu mazoezi ya punyeto uyazoeee.
 
Kakudanganya
In take yao hawaendi ccp bali wanaenda kilele pori kule bomang'ombe.
 
Huyo kwisha habari yake, kishaenda kujifunza kuua na kuteka bado unamuhesabia kuwa mchumba kweli? Huyo anarudi kukuteka na kukutesa tu kama si kukuua.
 
Pumbavu! Kumbe we ni mgeni wa mapenzi na ndio unaanza kupenda! Ndio una balehe nini? Huu ni ugeni kwenye mapenzi, ngoja uyazoe, ukishayazoea na kuwajua wanawake tabia zao hutakaa uandike njozi hizi za mapenzi. Hizi ni njozi za mapenzi kwa vijana wanaoanza kupenda huona mwanamke fulani wanapendana sana kumbe ni kipindi cha mwanzo tu na cha mpito kwenda kwenye mapito ya milima na mabonde ya mahusiano ya kimapenzi, huwa kuna nyakati ngumu na ni lazima penzi lipitie changamoto hiyo mpaka wapenzi hujuta kufahamiana na kukutana, ila endelea na njozi zako za kupenda maana uko kwenye kipindi cha awali kuyajua mapenzi kama kijana mdogo anayebalehe
 
Alichokifanya ni sahihi 200%

1. Mapenzi yanapungua na kuisha kabisa, hapo ndipo umuhimu wa kazi utakuja

2. Ungemuoa wewe mwenyewe ungemuona mzigo kama ambavyo wengi tunaona baada ya ndoa

3. Huwezi kumeet demand zake na za familia yake ( ungemchoka mapema tu hasa kama familia ina mategemeo makubwa sana kwake)

MWISHO
Ni upumbavu mkubwa Kuacha kazi kwa ajili ya mwanaume ambaye badaye akikuchoka anakufanyia vitimbi na kukuona huna thamani kisa huna kazi nk.

Wanawake kibao wameachishwa kazi kisha baadae wakatelekezwa na hao wanaume wao.

Tafufa mwanamke anayefanya kazi unayoipenda, ila mimi siwezi kuruhusu mtoto wangu aache kazi kisa mwanaume ambaye hana guarantee ya kuisha naye muda wote
 
Wanaowana na kukulana wao kwa wao ...huyo sio wako tena maana moja kupangiwa ulipo ni kipengele.
 
Ngoja amalize six week kama hata atakumbuka jina lako kwa usahihi. Labda kama hawana hicho kipindi huko CCP.
Kifupi angalia uelekeo mwingine mkuu maisha ya kozi yana mambo mengi sana.
 
mwanzo niliovereact tu ila sasa hivi nishakubali ,siwezi kumuacha ntakua naenda kumtembelea
Hilo sahau, kule mambo ya mapenzi ni hakuna kabisa

Sheria ni kali kinoma hata kwa walio pale, kukaa na mwanamke ni jau.



Pia kama una plan naye miezi 6 mpaka mwaka mmoja sio muda mwingi

Maana hata ukienda huwezi kugonga,

Kama upo serious vumilia tu
 
Hizo ni hisia tu, wanaume tukishaoa hata kumuhudumia mke mda mwingine tunaona mzigo mzito

Kuna mda hadi unajiuliza mwenyewe, haya yote kisa K?

Kuhusu ndugu ndio kabisa

Hili jambo ukitaka uone uhalisia wake, chukulia huyo demu ni mtoto wako

Ungekubali aache hiyo kazi kisa mwanaume?

Mwanaume akipiga pumbu mwaka ashamchoka anaanza kumdharau na kutafuta michepuko mingine

Hata hizo huduma kwa mke tu zinaanza kutoka kwa masharti
 
Humu Kuna watu wanaropoka tu ila uhalisia hawaujui

Wanaona pale ni sehemu ya uzinzi

Pale Kuna mapacha (me/ke) walifukuzwa miaka 2 iliyopita kisha kukaa pamoja kwa muda mrefu wakiongea

Pale sheria kama rula, watu wanafukuzwa sana kwa mambo ya uzembe uzembe ikiwemo uzinzi
 
Anaitwa nani na ametokea mkoa gani tumepokee hapa chuoni?
 
Ni sahihi maisha ya mwanamke kubaki nyumbani ndio asili.

ila sio kwa wanaume sisi wa generation hii

Watu wanapiga K mwaka mmoja wanazalisha wanaacha kisha mwanamke anaanza kutangatanga hajui nini cha kufanya

Katika kizazi hiki ambacho ndoa imechukuliwa ni kitu simple, Kuachana sio issue kubwa

Bora mwanamke afanye kazi, lolote likitokea asianze kupata presha ya vitu vidogovidogo kama kula nk .

NB
Wanaume wanaosapoti wake wabaki nyumbani ndio hao hao wanaoenda watoto zao wasome wawe na kazi ili wasiwe wategemezi wa waume zao.

Katika hili wanawake ndio wanajua zaidi kutokana na manyanyaso wanayopata kwa waume zao kwa kutokuwa na kazi /kuwa wategemezi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…