Mchumba wa kizungu, nitampataje..!!

Mchumba wa kizungu, nitampataje..!!

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,366
Reaction score
2,151
Habari ya jumapili wanaJF hasa wa jukwaa hili la MMU.
Kijana mwenzi nina nia ya kuopoa mchumba wa kizungu ambapo hapa maeneo ninayoishi kuna wadada watatu wa kizungu huwa ninawaona wapo wapo sana hivyo basi nimeonelea nimtafute mmoja wao aingie kwenye anga zangu.
Mara kwa mara huwa tunakutana kwenye cafe moja hv wakipiga misosi na vinywaji kibao.
Siku ya kwanza nimekutana nao tukatambulishana mmoja katokea German, mwingine Sweden na mwingine uswisi, age between 23-33, mimi 28 tukapigana sana story.
Hebu tusaidiane waungwana ukiamua kumtokea mzungu ni mbinu gani nizitumie atue kifuani kwangu hata kumuoa hapo baadae..!!
Tusaidiane.
 
Ramadhan Kareem.
 
Funga rasta,vaa mashati na vikaptula vya kitenge,anza kupiga marimba,ngoma watakuja
 
Valia nguo za vitenge.. Viatu vya kimasai.. Mpe zawad za kiasili if you can chora picha yake umpe.. Ukipiga nae story show her how you care and mwambie in case of any problem your there for her
 
Funga rasta,vaa mashati na vikaptula vya kitenge,anza kupiga marimba,ngoma watakuja

kwa hiyo niwe cultural zaidi.!?

kwani wasio na rasta hawapendwi na wazungu??
 
Hehehe lol, kila mtu ana mtu wake usije ukavamia vya watu
 
Kwaiyo Unataka Umsalit Mchumb Wako Mwafrka Ksa Wazungu? Inavoonekana Una Tamaa Sana Kaka,! Yan Hata Hujui Yupi Unampenda,et Yeyote Yule Unataka Kumtongoza!! Kwan Uzungu Ndo Nn??unazugka Na Rang?
 
kaka african girls are so beauty, n sweet if u do not blv ask white men thmselves! kwani wa zamani yuko wapi au tamaa za fisi!
kaka au umeambiwa kwa mzungu kuna some content zinaongezeka?.......... hahahaaaa.... umebugi meeeen kitu ni kilekile!
 
kweli naanza kuamini jf kuna under age
 
Nenda pale kwenye Ubalozi wa Uingereza nchini wapo wengi sana.
 
waendee kwa mganga ili wakutongoze wenyewe......
 
ni pm nikuunganishie kuna rafik zangu wazungu wapo tz wanataka kuolewa uku uku na kuwekeza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom