kaka african girls are so beauty, n sweet if u do not blv ask white men thmselves! kwani wa zamani yuko wapi au tamaa za fisi!
kaka au umeambiwa kwa mzungu kuna some content zinaongezeka?.......... hahahaaaa.... umebugi meeeen kitu ni kilekile!
Kwaiyo Unataka Umsalit Mchumb Wako Mwafrka Ksa Wazungu? Inavoonekana Una Tamaa Sana Kaka,! Yan Hata Hujui Yupi Unampenda,et Yeyote Yule Unataka Kumtongoza!! Kwan Uzungu Ndo Nn??unazugka Na Rang?
Jipange tu kuanzia muonekano wako, uongeaji wako, na hata style yako ya maisha. Mfanye kwanza aakuamini kwamba wewe si tapeli, then piga mambo ya kikacha kacha na mengine kama ulivyoambiwa hapo juu. Pia Ujiandae kumpa kupitia mtandao wa tigo.
Hahaha...haya mambo ya wazungu haya mmh we acha tu.
Nakumbuka mwaka jana kuna true story fulani niliisikia kuna mpishi mmoja wa Golden Tulip kama sio Sea Cliff Hotel...aliingizwa mkenge na mwanamke wa Kiitaliano.
Jamaa baadaye akapelekwa Italiano, kufika huko yule mwanamama akamgeuka yule mshikaji, baada ya muda yule mshikaji akaanza akageuzwa choko ukuta na kuanza kuingiliwa na kaka wa huyo dada wa kizungu...
Ilikuwa ni story ndefu...nikipata wasaa nitaiandika kwa kirefu...
Pls share nasi ili wajifunze hawa madogo wanaodhani ulaya tambarare. Mmasai mmoja yalimshinda huko scandinavia, daily kuamrishwa, kufanywa baby seater, kupika na zamu kabisa mweeehhh akasema mimi hapana pikia mwanamke wala kushinda iko bembeleza yoyooo...alizua varangati hadi walimrudisha bongo mwaka juzi.
Fuga rasta tu uwe unazurula beach utadaka wengi.
Samahani hapa nipo siriaz hivi wazungu wana testje.
Kila siku nikiingia humu sioni nichangie nini watoto wamejimwaga balaa na mimada yao ya fb aaaarghkweli naanza kuamini jf kuna under age
kwani chai ipi tamu ya maziwa au ya rangi?
Na atakayekutana nae amwambie "jambo" atawapata wengi tu