Mchumba wa kizungu, nitampataje..!!

Mchumba wa kizungu, nitampataje..!!

kwa hiyo niwe cultural zaidi.!?

kwani wasio na rasta hawapendwi na wazungu??

Usiulize maswali mengi kijana, unachoambiwa ndo siri ya mafanikio yenyewe hiyo... shauri yako
 
Vaa singland , malapa na kikaptura kifupi , ukiweza fuga rasta, kisha zungukia mitaa ambayo wazungu wanaipenda! mungu si atthumani hata wazungu wa kiume wanaweza kukuzimikia!

wazungu wa kiume tena.
Mmhhh.!!!
 
habari ya jumapili wanajf hasa wa jukwaa hili la mmu.
Kijana mwenzi nina nia ya kuopoa mchumba wa kizungu ambapo hapa maeneo ninayoishi kuna wadada watatu wa kizungu huwa ninawaona wapo wapo sana hivyo basi nimeonelea nimtafute mmoja wao aingie kwenye anga zangu.
Mara kwa mara huwa tunakutana kwenye cafe moja hv wakipiga misosi na vinywaji kibao.
Siku ya kwanza nimekutana nao tukatambulishana mmoja katokea german, mwingine sweden na mwingine uswisi, age between 23-33, mimi 28 tukapigana sana story.
Hebu tusaidiane waungwana ukiamua kumtokea mzungu ni mbinu gani nizitumie atue kifuani kwangu hata kumuoa hapo baadae..!!
Tusaidiane.

tusaidiane kwa kweli
 
tusaidiane kwa qweliii,,,,,
 
Kwanza hakikisha huna Elimu, wakijua kama una elimu nzuri sahau kumoata mzungu rabda awe kizee.
Uwe na tabia za kiswahili, Usiwe unajisifu, hutakiwi kuwaonesha kwamba uko interest kimapenzi bali kirafiki.

Ila kama wako watatu kwa -amoja kila wakati nakushauri tafuta mwengine maana njia pekee ya kumpata mzungu ni kumpa kampan pale anapokuwa alone. Uwe mwembamba sio kibonge, uwe mweusi sio maji ya kunde. LAKINI PIA WANAPENDA PAIPU INAYOANZIA NCHI 6 KWENDA MBELE. sasakama kidude chako ni kidole cha mwisho itakula kwakoooo.
 
kumbe!!?
Na hz nywele za kipilipili rasta zitakuja lini?

jamani zingefaa kuazimwa ningekuazima
rasta zangu maana ni ndefu mpaka zinakera
ungekua na rasta wangejileta wenyewe aisee chaliii yangu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom