Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
Kimoyomoyo nikasema hivi huyu binti kukaa nje tumiaka tuchache tu kisha sahau mila zetu, je akikaa miaka 10, si atasahau hadi wakweze?Duhhh huyo kaka yako awe makini na kumchunga huyo bibie Bujibuji tunavyokujua kwa kupenda wadada,kaka yako akizubaa kidogo tu anakatwa kidizaini!
Mwanangu akija kutambulisha mchumba wake na huyo mchumba awe wa kiume au wa kike akalipuliza mbele yetu,nitawafukuza kwa kweli
Kimoyomoyo nikasema hivi huyu binti kukaa nje tumiaka tuchache tu kisha sahau mila zetu, je akikaa miaka 10, si atasahau hadi wakweze?
Ni kweli kwetu Mbeya, Uswazi,Soko Matola,Mtaa waHuu ni umbea na hao wakwe ni waswazi.
Mchumba amefanya jambo jema na ni jasiri. mchumba anatekeleza sera ya UWAZI na UKWELI.
Hataki matatizo baada ya commitment.
Ni utamaduni wetu kujumuika pamoja, sisi na wake zetu na watoto wetu na wazazi wetu kipindi cha mwisho wa mwakaHajasahau kuongea kiswahili?? msubiri makubwa zaidi ya hayoo!!!
Bujibuji bado unaishi kwenuu!!
Huu mti vp?? Anatumia?? Manaake wadada wengi wakibongo tena wanaotoka nje ndio wanaojifanya kupinda
Ni kweli kwetu Mbeya, Uswazi,Soko Matola,Mtaa wa
kanisa, nyumba namba 4, jirani na makaburi ya
Loleza.
Issue ni moja, kuvuta sigar hadharani ni kosa la jinai na sio ustaarabu. Ningekuwa wifi yako hizo chafya 30 zingezofuata angeona aibu mwenyewe.