MANI Platinum Member Feb 22, 2010 7,320 6,376 Oct 10, 2012 #21 Boflo said: View attachment 67778 .......... Click to expand... Not only paper even water!
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Oct 10, 2012 #22 Baba V said: Mpe dadaako utakuwa umetimiza ndoto zako! Click to expand... Hahahaha....mimi namtaka snowhite Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: Mpe dadaako utakuwa umetimiza ndoto zako! Click to expand... Hahahaha....mimi namtaka snowhite
snowhite JF-Expert Member Aug 2, 2012 17,708 23,636 Oct 10, 2012 #23 Boflo said: Hahahaha....mimi namtaka snowhite Click to expand... tangaza nia kwa herufi kubwa wadau waidadavue!AAHAHAHHAHAHAHHAHAH umeagana na nyonga lakini?
Boflo said: Hahahaha....mimi namtaka snowhite Click to expand... tangaza nia kwa herufi kubwa wadau waidadavue!AAHAHAHHAHAHAHHAHAH umeagana na nyonga lakini?
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,444 Oct 10, 2012 #24 Baba V said: Mpe dadaako utakuwa umetimiza ndoto zako! Click to expand... Nataka nimiliki dadaake Boflo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: Mpe dadaako utakuwa umetimiza ndoto zako! Click to expand... Nataka nimiliki dadaake Boflo
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,444 Oct 10, 2012 #25 snowhite said: tangaza nia kwa herufi kubwa wadau waidadavue!AAHAHAHHAHAHAHHAHAH umeagana na nyonga lakini? Click to expand... Angalia snowhite usije ukamvunja mifupa Boflo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
snowhite said: tangaza nia kwa herufi kubwa wadau waidadavue!AAHAHAHHAHAHAHHAHAH umeagana na nyonga lakini? Click to expand... Angalia snowhite usije ukamvunja mifupa Boflo
snowhite JF-Expert Member Aug 2, 2012 17,708 23,636 Oct 10, 2012 #26 Fidel80 said: Angalia snowhite usije ukamvunja mifupa Boflo Click to expand... anayataka huyu!we mwache
Fidel80 said: Angalia snowhite usije ukamvunja mifupa Boflo Click to expand... anayataka huyu!we mwache
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,444 Oct 10, 2012 #27 snowhite said: anayataka huyu!we mwache Click to expand... Tukiona Boflo amechukua likizo ya gafla tutanyoka na wewe usije ukambemenda kijana wa watu hajawahi umesikia snowhite Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
snowhite said: anayataka huyu!we mwache Click to expand... Tukiona Boflo amechukua likizo ya gafla tutanyoka na wewe usije ukambemenda kijana wa watu hajawahi umesikia snowhite
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Oct 10, 2012 #28 snowhite said: anayataka huyu!we mwache Click to expand... Mimi muoga wa style za ajabu ajabu
snowhite JF-Expert Member Aug 2, 2012 17,708 23,636 Oct 10, 2012 #29 Boflo said: Mimi muoga wa style za ajabu ajabu Click to expand... hahahahahhahhaha !mbona unaanza kukimbia mwenyewe !
Boflo said: Mimi muoga wa style za ajabu ajabu Click to expand... hahahahahhahhaha !mbona unaanza kukimbia mwenyewe !
snowhite JF-Expert Member Aug 2, 2012 17,708 23,636 Oct 10, 2012 #30 Fidel80 said: Tukiona Boflo amechukua likizo ya gafla tutanyoka na wewe usije ukambemenda kijana wa watu hajawahi umesikia snowhite Click to expand... nimesiki mwaya na mi wala sitaki kesi!mambo ya kupigwa miaka 30 nayataka?
Fidel80 said: Tukiona Boflo amechukua likizo ya gafla tutanyoka na wewe usije ukambemenda kijana wa watu hajawahi umesikia snowhite Click to expand... nimesiki mwaya na mi wala sitaki kesi!mambo ya kupigwa miaka 30 nayataka?
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Oct 11, 2012 #31 Kaboflo hako tena,boflo hiyo draya kuchamba hakuhusiki.